msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 297
- 407
Habari za muda wakuu.
Nimesikia mitafaruku kadhaa mtaani inayotokana na wanandoa kupata watoto wa jinsia moja. Pia, nimesikia mara nyingi sana watu wakizungumzia ni mtoto/watoto wa jinsia gani wanapenda kupata, au ni kwa mpangilio gani. Najua ni kazi ya Mungu kupanga yupi amtakaye.
Je, kuna namna yoyote mtu anaweza fanya ili kuongeza uwezekano wa kupata jinsia fulani(kiume/kike)? Ukitaka wa kiume unafanyaje? Ukitaka wa kike ufanyaje?