kelvin patrick
Member
- Feb 20, 2017
- 62
- 72
- Thread starter
- #21
Ndiyo,Dr Banda nmekutana naye mwezi wa kumi na mbili kabla ya krismas,,,then nkamwona dean of faculty+school,,Kwa tatzo nilonalo ,,walikubaliana nifanye hivo,,, kabla cjafanya mitihan ya semister ya KwanzA,,Duh! utakuwa umejipata kwenye jambo serious sana...maana kuahirisha masomo mwaka wa tatu, katikati ya semester ya kwanza! huwezi kabisa kuvumilia maana ni mwezi wa sita tu namaliza chuo Patric! Ulipata nafasi ya kushauriana na Dr Baanda juu ya hili, au hata Dean of students! Pole sana sana!