Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,681
- 46,362
Chuo Kikuu haitakiwi ku solve past papers kama wanafunzi wa sekondari.
Chuo kikuu haitakiwi kusoma madesa yaliyorahisishwa bali vitabu halisi.
Chuo kikuu inatakiwa ufanye research mwenyewe, sio kuwapa wengine wakufanyie.
Chuo kikuu hutakiwi kuibia kwenye mitihani.
Chuo kikuu nchi Tanzania inatakiwa uijue lugha ya Kingereza na Kiswahili kwa ufasaha.
Ukimaliza chuo kikuu inatakiwa ujue kujenga hoja kwa logic.
Ukimaliza chuo kikuu unatakiwa ujue kuandika CV na barua ya maombi ya kazi mwenyewe.