Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Hi JF, nimekuwa nikivuta sigara kwa miaka miwili, sasa nataka kuacha lakini nashindwa nikijitahidi nakaa hata siku tatu afu naendelea. Nimejaribu tangu January mwaka huu lakin nimeshindwa. Muda mwingine nahisi mapafu yangu yanauma na tatizo itzkuwa ni sigara. Naombeni ushauri wenu au kama kuna dawa naomba kujulishwa.

hii kitu ukishakuwa addicted ni kazi sana kuacha baba yangu ana zaidi ya miaka 20 anavuta sigara na ameshindwa kabisa kuacha jaribu kufuata ushauri wa king'asti.
 
Kama huwezi kusema NO - kwa kiu yako ya kuvuta sigara,,,,,,,, utakuwa pia huwezi kusema NO kwa kiu ya ngono, No kwa pombe, No kwa Uongo, No kwa chakula. Principle ni moja - Jenga uwezo wako wa ndani wa kusimamia unachoamini au unachotaka.

2. Amini kuwa unaendekeza udhaifu mbaya unaposhindwa kusema hapana.

3. Tatizo sio tu kwamba nicotine ni addictive lakini pia wewe mwenyewe ni dhaifu zaidi!

4. Ukiweza kusema hapana kwa sigara, utaweza kusema hapana kwa mambo mengi sana kwenye maisha yako.
 
hi jf, nimekuwa nikivuta sigara kwa miaka miwili, sasa nataka kuacha lakini nashindwa nikijitahidi nakaa hata siku tatu afu naendelea. Nimejaribu tangu january mwaka huu lakin nimeshindwa. Muda mwingine nahisi mapafu yangu yanauma na tatizo itzkuwa ni sigara. Naombeni ushauri wenu au kama kuna dawa naomba kujulishwa.

mbona rahisi sanaaa...fanya kama nilivyofanya mie.
1- acha kuvuta sigara anza kuvuta bangi ila akikisha unakula mmea dry..pusher wako asichanganye na sigara yoyote...kula mmea asilia.
2- hakikisha hauvutii bangi vijiweni..vutia bangi yako nyumbani na uwe unawasha mashada au udi ili usiwazinguwe majirani
3- uwe unavuta kwa kipindi maalumu hasa pale unapokuwa unajisikia hamu ya kuvuta.
4- anza kupunguza matumizi ya bangi taratibu
5- mwisho wa siku unakuwa umeacha sigara na uanatoka kwenye bangi tartiiibuuuuuuu.

Unaweza ukahisi ni ushauri wa kipuuzi ila kwa mujibu wa wataalamu..bangi haina nicortin kitu ambacho huwafanya wavuta sigara washindwe kuacha...kwa hiyo unaweza kuacha bangi kirahisi kuliko kuacha sigara kwa kuwa bangi haina uteja unaosababishwa na nircotini.

Kila la heri..kwa anayetaka kuacha pombe nayo ni rahisi nitafute nikupe mbinu...na hata kama kuna mwingine anataka kuacha mademu...munakaribishwa kwa ushauri....angalizo..sina ushauri na majibu kwa wanaotaka kuacha yafuatayo
1- unga/drugs
2- kupiga punyeto/nyeto
3- kupiga chabo
sina experience na mara nyingi huwa sipendi kumshauri mtu ili akajaribu..namshauri mtu kwa vitu nilivyovihakiki mie mwenyewe kama living example.
 
bange inategemea na kichwa chake si kila mtu anaweza vuta bange....back to your post me nataka niache mademu wananiumiza sana bora nisake mahela tu.
 
kuna dawa inaitwa bupropion inasaidia sana kuacha sigara, w atu wengi imewasaidia. k aonane na specialist wa maggonjwa ya akili umueleze kuhusu hili. uvutaji wa sigara ni tatizo kama uteja, unahitaji tiba.
 
nafanya sana mazoezi,kila siku lazma niende kukimbia coco beach asubuh na jioni napiga sana push up nikiwa chumbani...ila usiku nikila au nikinywa maji nakua na hamu sana ya sigara. Zaman nlivyokua secondary mpaka chuo nlikua navuta sana kijiti ila nkaweza kuacha nna muda wa miaka 2 sijavuta.tatizo lipo kwenye sigara tu nimekua addicted sana.
 
Kama ulivyoanza na kuacha ni hivyo hivyo, hakuna kanuni mkuu.
 
Wkt unajifunza ulifundishwa hapa jf???LA MAANA NI KUWA UNAFANYA Mazoez coco beach na unapiga pushap nyumban hilo ndilo geni kwetu
 
Vuta ww by the way cancer yake utapata ukiwa na miaka64 and ni not more than 20% wanaipata!vuta
 
Haya fanya hivyi anza kupunguza idadi ya sigara unazovuta kwa siku ukifanikiwa hapo uanze kuacha siku nzima halafu unavuta siku ya pili ukiona unafanikiwa uwe unaacha hata siku 2 au 3 na baadaye uache kabisa inawezekana wengi wamefanikiwa kuacha.
 
mimi ndo kwanza nataka nianze kuvuta sigara wadau,. Nisaidieni ndugu yenu
 
nafanya sana mazoezi,kila siku lazma niende kukimbia coco beach asubuh na jioni napiga sana push up nikiwa chumbani...ila usiku nikila au nikinywa maji nakua na hamu sana ya sigara. Zaman nlivyokua secondary mpaka chuo nlikua navuta sana kijiti ila nkaweza kuacha nna muda wa miaka 2 sijavuta.tatizo lipo kwenye sigara tu nimekua addicted sana.

Kwa mtazamo wako kijiti na sigara kipi kibaya zaidi mwilini?
 
nafanya sana mazoezi,kila siku lazma niende kukimbia coco beach asubuh na jioni napiga sana push up nikiwa chumbani...ila usiku nikila au nikinywa maji nakua na hamu sana ya sigara. Zaman nlivyokua secondary mpaka chuo nlikua navuta sana kijiti ila nkaweza kuacha nna muda wa miaka 2 sijavuta.tatizo lipo kwenye sigara tu nimekua addicted sana.

Bosi unamtihani najua ukiwa addicted na hiyo kitu unakuwa mtumwa kiasi gani. ila nia yako ya kuacha ni hatua muhimu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom