Jinsi watu wanavyotongozana JF

Safi sana
 
Ujidogoshe mpaka sura sasa. Maana unajidogosha hapa Mara paaap MTU anakutana na mamake mdogo wifi utakimbiwa
Hahahah najiamin bhn mm bado mdogoo ningeshakimbiwa kitambo ubitukinao nawaachia wengine
 
Aaaah wewe. Ukimuelewa MTU pesa kitu gani bwana. Sema MTU anaetanguliza hela unajua kuna kaconnection flan anakatengeneza. Ila MTU anaevutia hata bila hela roho nyeupeeee unajisogeza.
But most of you wakati mnachangia hii thread mlikuwa mnaonesha ili mtu akuvutie lazima atangulize pesa kwanza wakati sio kweli na kuwadhihaki wale wanaotoa salamu kila mara
 
Hakuna sehemu inabeba siri Kama pm. Siku nikidate huku lazima niombe pm ya bby maana kule mengi yanaendelea mkija jukwaani unadanganywa uko mwenyewe kumbe mmepangwa
Mmepangwa kama woteee uwiii nimekumbuka yule mdada alivyonisemea kuwa bwana ake anashinda pm kwangu huku jukwaani namchora tu ila akae akijua pm yake ninayooo [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Utamjuaje anavutia kabla hajaja PM ukamjibu kuwa atumw laki, ila ungemjua kabla asingetuma, au usingeomba ungekuwa unamiminiwa tu
Vingi tu. Kwanza michango yake. Kuna watu tukiona tu MTU anavyochangia tunadata. Wanaokujaga na nakutumia kidogo ya JD wanakuaga sio watu ambao wako active Sana. Wanasomaga kimya kimya. Hata like hawatoi. Hao wanaovutia ni wale tunaowasomaga jukwaani michango yao nyuzi zao utani wao. MTU anaendika pumba pumba tu hawezi kuvutia hata aje pm aseme anatuma laki 2 hutoi Namba maana unajua ni mjinga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…