Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Last time I checked mimi ni real man, so hawez mwanamke yeyote akaniambia mimi sio real man,Wewe ni Real Men? Hivi real men anakuaje kwanza ,
Halafu wapunguze hadi ngapi Mkuu, ili na sie tumudu
Hahahakwahyo husadiki wasemayo! kwan kupigwa free p dhambi?
πππ hv definition ya real women ni ipi!tujifunze wote piaHao waliokuwa wanacomment ni escorts, sio real women
Ha ha ha ha nmecheka mnooooHao waliokuwa wanacomment ni escorts, sio real women
Nami nasubiri kujua hiliπππ hv definition ya real women ni ipi!tujifunze wote pia
Mwanamke yeyote ni mzuri, depends anajitunzaje, mfano anavyoongea, anavyojiheshimu, adabu nk, hivyo ndo vitu naona vya kunipendeza, uzuri makeup tu, picha za kubinua makalio wala sio za uzuri hizo ni za kupiga na kuachaHa ha ha nawe unataka watoto wazuri, you see kila mtu anapenda vizuri
Mh ivo eeeh [emoji16][emoji16][emoji16]Yeah nmesema pia inatakiwa umsome unaemfata, sasa we utakuta mtu ye kila kitu yupo perfect, story zake kupika perfect, kitandani perfect, kutunza Mme anajiweza japo bado hajaolewa, kudanga anakwambia hawezi sipendi vya kupewa, yani everything perfect....shtuka babu huyo ni malaika ilitakiwa umkute mbinguni sio jf
Na hela haijahusika hata 100,
Hivi unajua kupigwa free p sio ishu, hivi mfano nimekutana na jamaa mkare nimemzimia hadi naumwa nikimuona naloa naanzia wapi kumuomba hela yani huyu ni atateleza bureeeee na nisipokua makini naenda hata vicoba kumkopea!!!!Mkuu ukiangalia kwa makini mi sijasema kuna mtu anajiuza humu...My point is"how comes a fake woman need a real man"...ukiangalia kwa makini michango ya watoto wa kike humu ilikuwa ni kuwa real man huwa hawaongei sana wanatuma tu pesa and wakazidi kuongeza kuwa wenyewe hawataki mazoea na mtu asiyejua kutuma pesa...nikawauliza wananini haswa tofauti na hawa tunaoishi nao mtaani ambao tunawapiga free P??? hawajanijibu na hawawezi kunijibu
Nami nasubiri kujua hili
Asee si mchezoHivi unajua kupigwa free p sio ishu, hivi mfano nimekutana na jamaa mkare nimemzimia hadi naumwa nikimuona naloa naanzia wapi kumuomba hela yani huyu ni atateleza bureeeee na nisipokua makini naenda hata vicoba kumkopea!!!!
πππππ huyu mm nimwelewa!amebase kwa waleee!sasa m na ww tpo kwingne kbs!hajui ugwadu huyu! wanaojiuza toka lin akawa na ugwadu!Hivi unajua kupigwa free p sio ishu, hivi mfano nimekutana na jamaa mkare nimemzimia hadi naumwa nikimuona naloa naanzia wapi kumuomba hela yani huyu ni atateleza bureeeee na nisipokua makini naenda hata vicoba kumkopea!!!!
Real woman anajua thamani yake na kwa jamii yake, sio kutumika km sex dollπππ hv definition ya real women ni ipi!tujifunze wote pia
πππ sawasawa!Real woman anajua thamani yake na kwa jamii yake, sio kutumika km sex doll
Ndo nilichomaanisha mkuu, kwa wengine mnalilia D ila kwa wengine mnakaza hatugusi hata begaHivi unajua kupigwa free p sio ishu, hivi mfano nimekutana na jamaa mkare nimemzimia hadi naumwa nikimuona naloa naanzia wapi kumuomba hela yani huyu ni atateleza bureeeee na nisipokua makini naenda hata vicoba kumkopea!!!!
Na hela haijahusika hata 100,
Mkuu ngoja nikae vizurimm kwa topic hii real men namaanisha aliowazungumzia pale juuuuu!jaman kuna wengn wanaboa jaman!masaa yoote anakuomba picha,mara akuibukie usiku anakuambia NAMBIE! asbh ht hujafika kibaruan kakpigia mselfie katoa na ulimi nje..yaan full tabu... anaweza kukutxt usimjibu akaanza kulaumu sik nzima..sasa wale tunawaongelea hapa akiona upo kmya atakusikilizia baadaye either akienda mbali atakutumia salio kbs!...haboi...hachefui..sasa ww kuutwa pm kunisalimia tuu eishhh!
ila mm pia i real women..coz kuna masela nawapiga tafu vile vile..!
Nimeelewa ,sasa ahsante kwa darsa, nadhani waenda PM watakua wamejifunzamm kwa topic hii real men namaanisha aliowazungumzia pale juuuuu!jaman kuna wengn wanaboa jaman!masaa yoote anakuomba picha,mara akuibukie usiku anakuambia NAMBIE! asbh ht hujafika kibaruan kakpigia mselfie katoa na ulimi nje..yaan full tabu... anaweza kukutxt usimjibu akaanza kulaumu sik nzima..sasa wale tunawaongelea hapa akiona upo kmya atakusikilizia baadaye either akienda mbali atakutumia salio kbs!...haboi...hachefui..sasa ww kuutwa pm kunisalimia tuu eishhh!
ila mm pia i real women..coz kuna masela nawapiga tafu vile vile..!