Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,403
Ngoja nijifunze kwa waliopita ili nikianza kuingia PM kwenu nateleza tuXaxa huo si ni upimbi teh
Ngoja nijifunze kwa waliopita ili nikianza kuingia PM kwenu nateleza tuXaxa huo si ni upimbi teh
Sawa madam but lazima tuelezane ukweli japo sometimes unauma...wengi wenu humu ni fake..u fake everything but mnataka a real men...so how comes a fake woman meet a real man...haiwezekaniNi kweli, kwenye msafara wa mamba hukosi kenge
Leo lazima tuambiane ukweli mchungu humu ndani...unakuta mtu analeta mashauzi kibao...."ohhh mi bila laki sijibu pm zako"....most of them are fake...ndo hao wanaoongoza kwa kupigwa free P....yaani limtu ukiliangalia haijulikani sjui kiuno kiko wapi wala kifua vyote vimeungana but ulikute humu jf linavyojishaua sasa
Sio povuuu...tunajaribu tu kuwekana sawa...mnashindwa kujibu mna nini haswa cha kufanya mtumiwe iyo laki moja wakati wengi wenu humu tunawafahamu hamna tofati na wasichana tunaoishi nao huku mtaani na hawa fake maisha kama nyinyi...eti sjui you need real men...real men atokee wapi kwa watu kama nyinyi ambao most of you are fake
Hahaha, humu wadada JF ,elf 50,laki moja sio pesa kabisa kwao ,sasa sisi wagonga ulimbo acha tuendelee kujifunzaHicho kielfu 50 unachoona kiduchu kina nunua kilo za unga na mchele mzee baba anakula mwezi mzima, au mwezi na nusu, sio kadogo mkuu kanasaidia maisha![]()
Ila ujue hadi kuja kuwinda mtandaoni nawe ni feki tu...kweli woooote huko mtaani hujaona?Sawa madam but lazima tuelezane ukweli japo sometimes unauma...wengi wenu humu ni fake..u fake everything but mnataka a real men...so how comes a fake woman meet a real man...haiwezekani
Mkuu hawana tofauti na hawa tunaoishi nao huku mtaani...wanachofanya wa humu jf ni kufake tu maisha..wanaleta maisha ya kwenye comment ambayo kiuhalisia hawayaishiMkuu jaribu kutuma labda zina tv ndani
😛😛😛 aisee!nilisemea tu...lolHahaha, humu wadada JF ,elf 50,laki moja sio pesa kabisa kwao ,sasa sisi wagonga ulimbo acha tuendelee kujifunza
Hahahahah aiseeeeWazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
We si umesema mishe zako zaidi ya hizo ,uzuri JF kila MTU yuko juu ,unga unga mwana tuko wachache sana ,nakuelewa Rafiki😛😛😛 aisee!nilisemea tu...lol
Ha ha ha approach ya wine imekutibua nyongo, hebu iache ufate approach ya kumwaga likes nacheka kama mazuriLeo lazima tuambiane ukweli mchungu humu ndani...unakuta mtu analeta mashauzi kibao...."ohhh mi bila laki sijibu pm zako"....most of them are fake...ndo hao wanaoongoza kwa kupigwa free P....yaani limtu ukiliangalia haijulikani sjui kiuno kiko wapi wala kifua vyote vimeungana but ulikute humu jf linavyojishaua sasa
Sio povuuu...tunajaribu tu kuwekana sawa...mnashindwa kujibu mna nini haswa cha kufanya mtumiwe iyo laki moja wakati wengi wenu humu tunawafahamu hamna tofati na wasichana tunaoishi nao huku mtaani na hawa fake maisha kama nyinyi...eti sjui you need real men...real men atokee wapi kwa watu kama nyinyi ambao most of you are fake
Ndio mkuu tujifunze tu maana elimu haina mwishoNaendelea kujifunza hapa
😀😀😀😀 pamojaWe si umesema mishe zako zaidi ya hizo ,uzuri JF kila MTU yuko juu ,unga unga mwana tuko wachache sana ,nakuelewa Rafiki
Kuwinda mtandaoni sio u fake...mtu anaweza penda labda the way unavyochangia topic humu or unavyojipambanua humu kuwa ni mtu wa namna fulani...u fake ni kuishi maisha tofauti na unavyojipambanua humu...yaani unajifanya wewe expensive mtu asiye na hela asikusogelee wakati huko mtaani unapigwa free P haswaaaIla ujue hadi kuja kuwinda mtandaoni nawe ni feki tu...kweli woooote huko mtaani hujaona?
Naam kiongoziNdio mkuu tujifunze tu maana elimu haina mwisho
hhaahahhaha !nahs tumemtibua sana sana!dah..mifano mingne sio ujue... lol!Ha ha ha approach ya wine imekutibua nyongo, hebu iache ufate approach ya kumwaga likes nacheka kama mazuri
AseeKuwinda mtandaoni sio u fake...mtu anaweza penda labda the way unavyochangia topic humu or unavyojipambanua humu kuwa ni mtu wa namna fulani...u fake ni kuishi maisha tofauti na unavyojipambanua humu...yaani unajifanya wewe expensive mtu asiye na hela asikusogelee wakati huko mtaani unapigwa free P haswaaa