Jinsi watu wanavyotongozana JF



πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hii kali..kumbe kuna wengne wanaweka had dau!sasa na ww usituchanganyie habari !huwez kuniambia mtu km evelyn awe anajiuza!wanaojiuza lazima waje na matashititi kibao! na mbona wanajulikana hao m siwasemei...
mm nawasemea hao wengne wenye uwezo wa kutafuta ht 100 akaipata bila bugudha!πŸ˜•πŸ˜•
 
Hahahahah aiseeee
 
Ha ha ha approach ya wine imekutibua nyongo, hebu iache ufate approach ya kumwaga likes nacheka kama mazuri
 
Ila ujue hadi kuja kuwinda mtandaoni nawe ni feki tu...kweli woooote huko mtaani hujaona?
Kuwinda mtandaoni sio u fake...mtu anaweza penda labda the way unavyochangia topic humu or unavyojipambanua humu kuwa ni mtu wa namna fulani...u fake ni kuishi maisha tofauti na unavyojipambanua humu...yaani unajifanya wewe expensive mtu asiye na hela asikusogelee wakati huko mtaani unapigwa free P haswaaa
 
Asee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…