Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
hahaaaaaaahhaahhhhSasa si ndo akaanza na xaxa kipande ip, mixhe znaxoma![]()
hahaaaaaaahhaahhhhSasa si ndo akaanza na xaxa kipande ip, mixhe znaxoma![]()
Inaumaga ila mnajifanya hamjuimbona povu kaka!hahahaha!kwan umelazimishwa kuja pande hii my dear!poyeee
Mkuu jaribu kutuma labda zina tv ndaniNitume nigundue nini kwanini yaani....kuna kipi nisichokijua za humu jf zina tv ndani???
dah!inauma nn sasa? kumpa hicho ki elf 50?Inaumaga ila mnajifanya hamjui
Hapa wababe sisi tusio tongoza tu.yaan km umenisoma ungeleewa!sijjasema mm nikutegemee wewe kwa kila kitu...point iliopo hapa ni jinsi ya kumuwin mwanamke fast..mm hustle zangu ht ww huweki pua... ila tunapenda kuwa aprecciated.. unajua huyu mwanamke anajiweza na ww unamtaka!kwan ukimpa zawad itakucost nn ww..! ala!
Hey Gorgeous ,is that Seats already taken?hahaaaaaaahhaahhhh
Hicho kielfu 50 unachoona kiduchu kina nunua kilo za unga na mchele mzee baba anakula mwezi mzima, au mwezi na nusu, sio kadogo mkuu kanasaidia maishadah!inauma nn sasa? kumpa hicho ki elf 50?



Hey Gorgeous ,is that Seats already taken?
Ohooo then am so luckytaken...

Ni kweli, kwenye msafara wa mamba hukosi kengeSio hasira,wengi wenu humu sio wote hamna hadhi ya kutumiwa hiyo laki moja...huo ndo ukweli mchungu masikioni kwenu
nimetania tu...sio lazima iwe pesa wewe! sijui y wazito... wewe siku 1 mpelekee demu wako ht chupi tu uone atakavofurahia!Hicho kielfu 50 unachoona kiduchu kina nunua kilo za unga na mchele mzee baba anakula mwezi mzima, au mwezi na nusu, sio kadogo mkuu kanasaidia maisha![]()
Miamala yetu inaishia kunnua bando, luku, na kumwambia weita pale jikoni kuna niniHapa wababe sisi tusio tongoza tu.
Namtoaga out weekend tunarudi home j2 jioni,nimetania tu...sio lazima iwe pesa wewe! sijui y wazito... wewe siku 1 mpelekee demu wako ht chupi tu uone atakavofurahia!


wewe wafaaNamtoaga out weekend tunarudi home j2 jioni,![]()
Sio povuuu...tunajaribu tu kuwekana sawa...mnashindwa kujibu mna nini haswa cha kufanya mtumiwe iyo laki moja wakati wengi wenu humu tunawafahamu hamna tofati na wasichana tunaoishi nao huku mtaani na hawa fake maisha kama nyinyi...eti sjui you need real men...real men atokee wapi kwa watu kama nyinyi ambao most of you are fakembona povu kaka!hahahaha!kwan umelazimishwa kuja pande hii my dear!poyeee
Xaxa huo si ni upimbi tehSasa si ndo akaanza na xaxa kipande ip, mixhe znaxoma![]()
Mkuu kapicha basi au jiwe la gizaniLeo lazima tuambiane ukweli mchungu humu ndani...unakuta mtu analeta mashauzi kibao...."ohhh mi bila laki sijibu pm zako"....most of them are fake...ndo hao wanaoongoza kwa kupigwa free P....yaani limtu ukiliangalia haijulikani sjui kiuno kiko wapi wala kifua vyote vimeungana but ulikute humu jf linavyojishaua sasa
Sio povuuu...tunajaribu tu kuwekana sawa...mnashindwa kujibu mna nini haswa cha kufanya mtumiwe iyo laki moja wakati wengi wenu humu tunawafahamu hamna tofati na wasichana tunaoishi nao huku mtaani na hawa fake maisha kama nyinyi...eti sjui you need real men...real men atokee wapi kwa watu kama nyinyi ambao most of you are fake

