Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,287
hahah .... yeeees 😂Woyoooooo
hahah .... yeeees 😂Woyoooooo

unasahau kabisa kama kuna kukulana
wiki moja ndogo kabisa.. ukishindwa kujizuia basi utakuwa ni sex maniac![]()
😂😂😂😂😂 eti unasahau kabisaWatu tunajizuia miezi mpaka mwakaunasahau kabisa kama kuna kukulana
Daaaah kumbe !Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.
So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.
Ila use this guideline and you might have a shot.
1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.
2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.
3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.
4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.
5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.
6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.
NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.
Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.
So go forth and prosper friends!
Unasahau babe instaeti unasahau kabisa

mbebez wako anageuka kuwa heineken tu hamu zikizidi unajilewea unalalaAsante kwa somo zuri...!Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
Huchelewi kupigwa !Ukiwa na pesa mkononi, you can afford to go straight to the point. Its good umewapa technique nyingine. Ila wengine waoga, kutuma hela kwa mtu usiemfahamu napo changamoto.
hahaha. Usiwe cockblocker...
Dawa bro usiende PM tu ! Jikaze tu.Ngoja nitulie hapa,labda nitapata mbinu, niepuke na vibuti vya humu
Usicheke
Nimecheka kwa sauti na kwangu ulikuja pia ngoja nikufungulie

Wallahhhh kweliBinamu kufunga Pm ni kupishana na gari ya mshaharaaa!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
heineken kampani tosha 😅😅😅😅Unasahau babe instambebez wako anageuka kuwa heineken tu hamu zikizidi unajilewea unalala
Huko siendi Mkuu ,mie ndugu msomajiDawa bro usiende PM tu ! Jikaze tu.
Kwani wake huo?we umejuaje km wake? Wkt wanasema avatar huwa haimaanishi ?Huoni upaja ulivojaa supu?
Vitambi vingine ,sio bi mdadaWenye vitambi ndo wana mahela haoo...
Tafadhali Fanya kunirushia mahela kama yoteee!!!
Hivi ndo inavyotakiwa, bas sawaaa, ngoja nianzeWherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.
So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.
Ila use this guideline and you might have a shot.
1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.
2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.
3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.
4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.
5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.
6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.
NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.
Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.
So go forth and prosper friends!
#1 nadhani inahusu wote me na ke au? Na ni mdada ana like zaidi inakuaje ,hebu toa mbinu zaidiWherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.
So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.
Ila use this guideline and you might have a shot.
1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.
2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.
3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.
4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.
5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.
6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.
NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.
Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.
So go forth and prosper friends!
Mimi nitakuwa ndugu mshangiliaji!Huko siendi Mkuu ,mie ndugu msomaji
Vzr piaMimi nitakuwa ndugu mshangiliaji!