Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Nahisi haujamuelewa kush
Haaa..jamaniii mi ndo nlisema yule ni mumu...?!serious 1 kush!!!rudi tena kwenye ule Uzi bwanaa!!!

Aiseeh!zigo waniangushia miye Leo kaka!!

Wakati kuna yule Carlos nilimkuta anaongea mule!!

BTW nakuheshimu halafu hata shunie hajawahi kukusema kwangu vibaya wala kukudiss...so usijitetee ili uniharibie...na shunie huyo hatujwahi kukuongolea hataa...kaka relax!!usinizulie bwanaa..nakuheshimuu
 
Si unaona tunavyo nyooshwa mzee??

Ukiona mtu anaitwa sweetheart jua anaundugu na bashite au magufuli
Hahahaha, umeanza.

Sina utani nawe.

Mimi nimetesa kabla Magufuli hajaja mjini.

Na sababu pekee anatesa sasa hivi ni vile nimemuachianchi tu.

Hahaaa.
 
Hapana huyo nina malalamiko yake ndio mana nilikuwa namwambia sababu hata akimquote mumu hataki anajua snitch nimemwambia ili ajue
Malamiko yake ndo aniingize mimi?Kwani shunie mimi nlivyokufata nlisema Fulani kasema si nilisimama mimi na uzuri ulivonambia si yeye nkaelewa nkatoka kwenye Uzi nkakuambia niombee radhi na nkafata mwenyewe kwenye Uzi habari na hoja mchanganyiko nkamupologize kuepusha shetanii ..

Sisi watu wazima no need to quarell kwa vitu vya kipumbavu!!halafu miye sina mda wa kuweka mabifu yasiyo na kichwa wala miguu now we r in good terms na mumu!!!
 
wengine wana flirt tu hapa JF,wakifunga computer zao ni baba/mama/mume/mke wa mtu...likes zisikuhadae ..mtu anaweza akakukubali kwa points zako na hivyo kukupa likes bila kuwa na maana nyingine Zaidi ya hio like tu...
Naona umeongea kiutu uzima zaidi. Umewaacha wale wanaondekeza utoto.

Thumb up dear.
 
Ebu tuachane na hii mada sasa sawa

Back
Top Bottom