Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,021
- 1,738
Karne hii mnafundishana kutongozana
Loooooh! Hata shetani hapendi. Can u practice a fair play? Mimi nakufungia safari.hhahahah bahat mbaya npo mbali na mikoa maarufu!nadamshi tu !wa kunifungia safari ajipange !maana its far
Unajua matusiMsg kumi zote salamu, hadi unatamani umtusi.
cute b njoo umchukue mumeo hebu kwanzaLoooooh! Hata shetani hapendi. Can u practice a fair play? Mimi nakufungia safari.
Unahitaji hii programme "ICP"....😀😀😀 nimeamua kumuokoa mwanamke mwenzangu!lol
Ulistahili ile tuzo mkuu.Evelyn Salt ameongea kitu ambacho tuliteseka nacho zamani ila kwa sasa kimerahisishwa na hii mitandao.
Research, information availability. Back then ulikuwa huwezi kujua mtu unayetaka kumuapproach ni mtu wa namna gani, anapendelea nini, michezo, siasa, udaku, urembo etc mpaka akwambie mwenyewe. Humu kwenye mitandao taarifa zipo, msome mwelewe...
Unapomfata unakuwa unataarifa kamili juu yake, mistari inakuwa direct to point, hata mkichat siku nzima hamchoshani, tengeneza mazingira ya mtu kuisubiri reply yako kwa hamu, akitaka kujua umeandika nini.
Be interesting, learn how to listen what she wants you to hear, na uwe na kumbukumbu ya details ndogo kulingana na ulivyomsoma.

Vijana wa magogoni wengi wameipitia mkuu. Niconsult kwa msaada zaidi🙄ni pgm gan hyo mkuu

😉😉😉Vijana wa magogoni wengi wameipitia mkuu. Niconsult kwa msaada zaidi![]()
Kuna siku nitakuandikia pm kwa kilatini ushinde unagoogleWazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
Ukianiandikia kilatini nakujibu "xaxa, kipande ip"Kuna siku nitakuandikia pm kwa kilatini ushinde unagoogle
KaribuAsante kwa somo zuri...!
Hadi kieleweke, mambo yanyooke, tuanze kupeana kadi za harusi tena bila jukwaa la love connect....pm moja tu hadi ndoaDarsa na ilmu bado inaendelea?
Duh, hongera kwa darsa/ilmuHadi kieleweke, mambo yanyooke, tuanze kupeana kadi za harusi tena bila jukwaa la love connect....pm moja tu hadi ndoa
Hii comment plus hicho ki avatar ha ha ha haNITAPATA TU WA KUNITULIZA HUMU 🤔
Asante sana my Johnny.Kwa ajili ya kukufanya uwe Na furahi.. Nimeipokea Ofa yako