hahaaa!! Wengine tunajikubali na ubaya wetuu!!ndo tushaumbwa hvyooKwa izoefu tu mabinti wazuri wanapenda kuambiwa wao wabaya au kujisema wabaya
na wabaya wanapenda kuambiwa wao wazuri au kujisifia ivyo
haya sasa nimekuja na hii nianze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa au nikupe kumbukumbu number ya ule mtongozo[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wewe!!tena Mimi new id ndo sizipi attention kabisaa..bora ungekuja front na I'd yako hiii hii labda tungehata chati
ndugu yangu ndio naingia jf naona mmeniundia tume kabisa
Hahahahaha I was just kidding Mkuu wangu.Hapana hao way back tuna chat chat humu
Hahaaa!una vimaneno weyee kaah!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Binamu sijawahi kupata ngekewa hiyo jamani, unashangaa "laki si pesa" limuamala hilooooo
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] wewe usinisingizie Mimi....sikuwa namlenga yeye miyeee!!!!
Sitaki shida mimi.......Hahahaaaa!!kama yote!!! Yaani mpk kilipotupwa kitovu chakoo
Nakazi mkuu yaani nakaziaHii mbinu ndo huwa namba moja kumpata mtoto wa kike kiurahisi hata baba yake akiwa rais
Nipeeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nirudi pm maana sifutagiiihaya sasa nimekuja na hii nianze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa au nikupe kumbukumbu number ya ule mtongozo
Napata kichambo cha mbwa koko na kujiuzulu juuuuuuuu. Ngoja niendelee tu kuwa muumini
Ulimlenga 100%
Iyo avatar ni yako mkuuhahaaa!! Wengine tunajikubali na ubaya wetuu!!ndo tushaumbwa hvyoo
Hahahaaaa!!!!Sitaki shida mimi.......
Umepunguza kupiga kazi au kutoa ngawila?Sanaa tu, sema siku hizi siitwi tenaaa
Ofa yangu naomba uipokee.I missed you too Yemi alade..
Tell me sweetheart
[emoji23] [emoji23] ila sasa hii mbinu kwa ambao pesa tunazisaka kwa tochi inatupa tabu sanaNakazi mkuu yaani nakazia
[emoji23] [emoji23] ila sasa hii mbinu kwa ambao pesa tunazisaka kwa tochi inatupa tabu sana
Mimi?sawa...!!!!Ulimlenga 100%
Si unaona tunavyo nyooshwa mzee??Umepunguza kupiga kazi au kutoa ngawila?