Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Oooh
Sasa sio yeye na hata jf alikuwa hayupo msiwe mnasingizia watu vitu vya hovyo nyie ni mods hamjui tu mnavyowaumiza wenzenu
Aliyekufikishia habari naona ulimwamini, sema siku hiyo ulipigwa ban,,, ila kama ungerudi ktk ile nyuzi na ukaisoma mwanzo utaona sikumlenga mumu,, ila baada ya Raynavero kuthibitisha kuwa ni mumu kila mtu akaamini ni mumu,, kwa sababu huyo mumu na raynavero wanafahamiana,, ndio maama baada ya raynavero kupigilia msumari wote tukaamini ni yeye sio mm tu bali sotee tuliamini ivo,, lakini ww hukutres kwa nn watu wahisi mumu! Ungepekua hapo basi ungegundua kuwa raynavero alituaminisha na tukaamini ivo,,,
 
Aliyekufikishia habari naona ulimwamini, sema siku hiyo ulipigwa ban,,, ila kama ungerudi ktk ile nyuzi na ukaisoma mwanzo utaona sikumlenga mumu,, ila baada ya Raynavero kuthibitisha kuwa ni mumu kila mtu akaamini ni mumu,, kwa sababu huyo mumu na raynavero wamafahamiana,, ndio maama baada ya raynavero kupigilia msumari wote tukaamini ni yeyey sio mm tu bali sotee tuliamini ivo,, lakini ww hukutres kwa nn watu wahisi mumu! Ungepekua hapo basi ungegundua kuwa raynavero alituaminisha na tukaamini ivo,,,
Haaa..jamaniii mi ndo nlisema yule ni mumu...?!serious 1 kush!!!rudi tena kwenye ule Uzi bwanaa!!!

Aiseeh!zigo waniangushia miye Leo kaka!!

Wakati kuna yule Carlos nilimkuta anaongea mule!!

BTW nakuheshimu halafu hata shunie hajawahi kukusema kwangu vibaya wala kukudiss...so usijitetee ili uniharibie...na shunie huyo hatujwahi kukuongolea hataa...kaka relax!!usinizulie bwanaa..nakuheshimuu
 
Wala nilikuwa sijapewa ban basi tu nilikuwa nje ya jf anyway yamepita nilikuwa nakupa tu taarifa kuwa ulikosea kaka
Aliyekufikishia habari naona ulimwamini, sema siku hiyo ulipigwa ban,,, ila kama ungerudi ktk ile nyuzi na ukaisoma mwanzo utaona sikumlenga mumu,, ila baada ya Raynavero kuthibitisha kuwa ni mumu kila mtu akaamini ni mumu,, kwa sababu huyo mumu na raynavero wanafahamiana,, ndio maama baada ya raynavero kupigilia msumari wote tukaamini ni yeye sio mm tu bali sotee tuliamini ivo,, lakini ww hukutres kwa nn watu wahisi mumu! Ungepekua hapo basi ungegundua kuwa raynavero alituaminisha na tukaamini ivo,,,
 
Wala nilikuwa sijapewa ban basi tu nilikuwa nje ya jf anyway yamepita nilikuwa nakupa tu taarifa kuwa ulikosea kaka
Anahisi may be Mimi na wewe tumemuongelea masikini that's why anaongea yote hayoo...!!!!

Mbona halafu wala Mimi ulivyonisema wala yeye sikumuona ujueee....daah!binadamu siyeee!!!
 
Haaa..jamaniii mi ndo nlisema yule ni mumu...?!serious 1 kush!!!rudi tena kwenye ule Uzi bwanaa!!!

Aiseeh!zigo waniangushia miye Leo kaka!!

Wakati kuna yule Carlos nilimkuta anaongea mule!!

BTW nakuheshimu halafu hata shunie hajawahi kukusema kwangu vibaya wala kukudiss...so usijitetee ili uniharibie...na shunie huyo hatujwahi kukuongolea hataa...kaka relax!!usinizulie bwanaa..nakuheshimuu
Naona tusifukue makaburi,

Hata mm naheshimu sanaaa tu.
 
Hapana huyo nina malalamiko yake ndio mana nilikuwa namwambia sababu hata akimquote mumu hataki anajua snitch nimemwambia ili ajue

Back
Top Bottom