olonyor engai
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 173
- 49
..hii reply itakula like nyingi kwa sababu ndio ukweli wa sasaUnazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha
"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"
Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!
Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
Hahahaaaa!!kama yote!!! Yaani mpk kilipotupwa kitovu chakooHahaha da mange hide my ID, hatumtaki mama Mchungaji wetu na mafile yake ni haya hapa khaaaaa
KabisaPesa mbele
Hii mbinu ndo huwa namba moja kumpata mtoto wa kike kiurahisi hata baba yake akiwa raisTuma tu hela kakaa!!usitubaniee
Napata kichambo cha mbwa koko na kujiuzulu juuuuuuuu. Ngoja niendelee tu kuwa muumini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama mchungaji nimecheka sana
Hapana kweli tenaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu mnaoongeaga hivi ndo inakua kinyume chake
unadhani kuna mwingine kama si wewe maana ulinikataa hadi nikastop miezi miwili kutupia ndoano
Ulimlenga 100%[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] wewe usinisingizie Mimi....sikuwa namlenga yeye miyeee!!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wewe!!tena Mimi new id ndo sizipi attention kabisaa..bora ungekuja front na I'd yako hiii hii labda tungehata chatinimekumbuka na wewe upo kwenye list yangu nilitumia hizi mbinu nikaangukia pua kwenye back up id yangu😎
Wa nani?[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Huoni upaja ulivojaa supu?
Mkuu naona umeanza kupractice mbinu au veeepeMbona uko vzuri tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki kupasikia siyo watu wazuri wale.. nikienda tena mbwembwe zote mfukoni [emoji23][emoji23][emoji23] sitaki tena kujifanya mjuaji wa miji ya watu
makini sanaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Baki huko hukoo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Napata kichambo cha mbwa koko na kujiuzulu juuuuuuuu. Ngoja niendelee tu kuwa muumini
ndugu yangu ndio naingia jf naona mmeniundia tume kabisaHivi we jamaa ndo umetufanyia nini kuwakimbia wageni?
Hapana hao way back tuna chat chat humuMkuu naona umeanza kupractice mbinu au veeepe
Kwa izoefu tu mabinti wazuri wanapenda kuambiwa wao wabaya au kujisema wabayaHapana kweli tenaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
HahahahhaahaHahaha da mange hide my ID, hatumtaki mama Mchungaji wetu na mafile yake ni haya hapa khaaaaa
Binamu sijawahi kupata ngekewa hiyo jamani, unashangaa "laki si pesa" limuamala hilooooo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]binamu bwanaa
Jamani ebu nipe mahela badili mbinu sasa za storyunadhani kuna mwingine kama si wewe maana ulinikataa hadi nikastop miezi miwili kutupia ndoano