Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

Joe B
Screenshot_20210516-211009_1.jpg
 
Bongo kama huna aibu fursa kibao sana ndugu. Komaa na biashara za mazao kwa mfano unatoboa mapema asubuhi. Ni aibu kwenda kusafisha vyoo nchi za watu.
Nikipata kazi ya kusafisha vyoo kwa mshahara wa dola 50 tu kwa saa hapa tanzania nachanachana makaratasi yangu yote,sitahitaji kusafiri kwenda popote kupiga ukware tena,ntaenda kama mtalii,huko mbele umeambiwa ni $100ph
 
Wacongo wengi wanaendaga kenya kuna kambi ya wakimbizi,zimbabwe,mozambique.
Anko wangu aliendaga zimbabwe 2006 yeye na familia yake akajiandikisha kama mkimbizi mkongomani......amekaa kambini kwa miaka 10...ndio 2016 kafika marekani.

maisha ya kambini inabidi uvumile sana unaweza ishi miaka 5,7.9,10 ukisubiri kwenda ulaya na marekani.
ili uwe ktk list ya watakaosafiri inabidi uende kambini nakujitambulisha kama mkimbizi unaweza ukasema ni mrundi au mkongo utahojiwa na maafisa wakimbizi...wakijiridhisha unapatiwa kitambulisho cha ukimbizi hapo unaukana u Tanzania......ukisha pata id ya refugee unajichanganya na familia moja wapo hapo kambini ili kusajiliwa kwa safari za kwenda ulaya na marekani,sasa hapo unaweza subiri safari mpaka ukazeeka mzee inachukua muda sana lakini unaweza kuwa nje ya kambi ukiwa unaskilizia ikitokea wanakagua unaenda wakiondoka unarudi zako kitaa mpaka ikifikia sasa mnakaribia kuondoka ndio unahamia kambini.....hii ni kwa hapa bongo(kambi zilizopo Tanzania) kwa kenya sijui na huko zimbabwe na mozambique wanaruhu kukaa nje ya kambi.
Shida yote ya nini si bora kwenda kulima shamba la viazi
 
Nikipata kazi ya kusafisha vyoo kwa mshahara wa dola 50 tu kwa saa hapa tanzania nachanachana makaratasi yangu yote,sitahitaji kusafiri kwenda popote kupiga ukware tena,ntaenda kama mtalii,huko mbele umeambiwa ni $100ph
Ni Nani katika hao Diaspora wabeba mabox na kuosha vyoo karudi na kumjengea nyumba Mzazi wake? walienda kina Freeman Mbowe wakanunua na kuendesha Taxi kwa hela aliyotoka mayo TZ, walienda kina Le Mutus baharia, wamebski kina Kimambi, Mamuya waambie wakutumie hata gari ya dola 1000
Ndugu yangu kuna wakinga, wachagga na machinga kibao wanavuna mapesa bongo na wanaenda leta vichwa vya malori (kichwa ni 80m mpaka 120milioni) na kauza alizeti tu sasa wewe unazungumzia usomi wa vyeti ukafagie kwa mwenzako ni hadithi. Nina ndugu wawili walipata sijui ndio green card utawaonea huruma
Nashauri kaa bongo tafuta eneo piga chinga ya bongo kuliko box la USA
 
point mkuu
 
Nna mengi ya kuandika lakini naona uvivu kuandika hapa. Kufanya kazi state ni bora kuliko bongo jombaa
 
Sema kaka nilichojifunza kuhusu wewe sio kosa lako shida ulipoishi kigoma.

Watu wa kigoma huwezi kuwashinda wakiwa na mtazamo wao
Ni Mkongomani aliyeishi kambi za Kigoma
 
Wachaga wanabebana wewe! Acha za kuleta hapa mi wachaga ni jamaa zangu mnaweza mkawa wote mna struggle ila kamwe usije jilinganisha nae hata siku 1!

Yani dakika 0 utashangaa mwenzio kapata kazi huelewi imepatikanaje we unashangaa shangaa tu! The same as Indians ndio wana hio spirit sana...

Sie wangazija mtu utakuta anataka amiliki nissan Xtrail mafanikio kidogo nyie muwe watu wa kumsujudia tu! Awape hela na kuwachamba
Wangazija nendeni Komoro huko mkachukue uraia wa Ufaransa
 
Nna mengi ya kuandika lakini naona uvivu kuandika hapa. Kufanya kazi state ni bora kuliko bongo jombaa
  • Kosa kubwa ni kufanya kazi kwa mtu, kuna umri ukifika utaona tofauti yake kuna msemo wa kigeni wanasema mbwa mzee hatumwi, hata ukimrushia mnofu haufuati
  • jaribu kutafuta maisha yako mwenyewe kwa kufanya biashara au kilimo cha alizeti.nk upatapo pesa kata Visa na nauli uende
  • kuna baadhi ya makabila huu utwana na ubwana bado kwao ni jadi, yaani kwenda kufanya u/houseboy, kubeba mizigo kuosha mifugo na wazee kwao sio aibu kabisa, lkn kwetu sisi mwiko hata kuzibua vyoo
  • hakuna mtu mzima hata mmoja anabaki huko mfano Le Mutus mwenyewe karudi na kachoka kabisa tafuta maisha umri unapokuhitaji la sivyo ukifikisha 50 utajuta
 
unatuletea mfano kwa waliofail/le mutuz! waliofanikiwa huwaoni kabisa!?

kila mtu anaenda/ataenda ughaibuni kwa lengo lake.

je! le mutuz alienda ughaibuni kutafuta maisha au kula raha?

watu wenye mitazamo hasi km wewe mnazngua sana!

ndiyo maana hatutoboi kwa uchawi wenu wa maneno.
 
unatuletea mfano kwa waliofail/le mutuz! waliofanikiwa huwaoni kabisa!
kila mtu anaenda/ataenda ughaibuni kwa lengo lake. je! le mutuz alienda ughaibuni kutafuta maisha au kula raha?
watu wenye mitazamo hasi km wewe mnazngua sana. na ndiyo maana hatutoboi kwa uchawi wenu wa maneno.
mbona unajiu bila ya kutoa mifano? wewe unamjua nani katoboa kwa kubeba box au kuzibua vyoo? mtaje hata mmoja na mm nikushushie wote waliorudi bila chochote hata suruali kutoka USA
Post za nyuma nimekutajia Freeman Mbowe alikuwa dreva TAXI pale New York dada yake aliolewa na Msukuma kiongozi
nikakuongezea hao watoto wa Malecela, Mangekimambi, wengine kibao wapo humu JF
je utalinganisha na Bakharesa, Dewji, Mengi, Rugemalila, wapo kina Sanga na Mangi kibao wanapeta hapahapa Tanzania ndio wanaenda Nchi za nje kutumia pesa lkn USA sahau kabisa utarudi na bag au kurudisha na Diaspora ndani ya Bag
ACHA MAWAZO YA KITOTO KWAMBA KUBEBA BOX NI KUTOBOA MAISHA
Niwekee mtu mmoja tu aliyerudi Bongo kwa sasa mwenye maisha hata nyumba tu aliyojenga au gari, ni aibu tu maana hata kazi serikalini hawapokelewi hata siasa Ubunge na Uwaziri hawakubaliki
 
Mwamba harlewi kabisa yani anaamini katika kufrli kulikokitu kingine chochote linapokuja suala la kùsafiri nchi moja kwenda nyinie kutafuta ridhiki.

Sio kila anayetafuta maosha ana goals zakuwa billionaire wengine wanataka kiwa tu financially enough!!

mbona unajiu bila ya kutoa mifano? wewe unamjua nani katoboa kwa kubeba box au kuzibua vyoo? mtaje hata mmoja na mm nikushushie wote waliorudi bila chochote hata suruali kutoka USA
Post za nyuma nimekutajia Freeman Mbowe alikuwa dreva TAXI pale New York dada yake aliolewa na Msukuma kiongozi
nikakuongezea hao watoto wa Malecela, Mangekimambi, wengine kibao wapo humu JF
je utalinganisha na Bakharesa, Dewji, Mengi, Rugemalila, wapo kina Sanga na Mangi kibao wanapeta hapahapa Tanzania ndio wanaenda Nchi za nje kutumia pesa lkn USA sahau kabisa utarudi na bag au kurudisha na Diaspora ndani ya Bag
ACHA MAWAZO YA KITOTO KWAMBA KUBEBA BOX NI KUTOBOA MAISHA
Niwekee mtu mmoja tu aliyerudi Bongo kwa sasa mwenye maisha hata nyumba tu aliyojenga au gari, ni aibu tu maana hata kazi serikalini hawapokelewi hata siasa Ubunge na Uwaziri hawakubaliki
Huo ni mtazazmo wako mkuu, au una formula ya namna ya kufanikiwa katika maisha?? Wapo YouTubers /Diaspora katika webs mbali mbali kutoka Tz, na nchi mbali kama US /UK EU etc wapo wanaendela na maisha yao lowkey! Watoto wao wanasoma bure shule nzuri, huduma za afya bora, n.k

Suala la kufanikiwa au kuto kufanikiwa bado ni fumbo kwa namna moja au nyingine

Isitoshe mafanikio ni namna vile wewe utakavyo ya define kutokana na goals zako ulizoset..

Lengo la watu wengi kutoka nchi moja kwenda nyingine kutafuta maisha ni kufanikiwa kwa asilimia kadhaa kutimiza malengo yao na ndoto za katika maisha

Ni kama wewe ulivyotoka kazuramimba huko kigoma na kuja Dar kutafuta maisha ,siwezi kukucheka hata kama nikikuona unaosha kwenye chumba kimoja cha giza unauza madafu na baiskeli yako...! Respect the hustle,

Sio wote wana mali za kurithi kama huyo dewji uliyemtolea mfano na sio wote wana akili mbovu kama huyo lemutu!
Jaribu kufunguwa mind yako mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom