Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,135
Hivi we no mmmakonde
Mie sijui kilugha na sio nyumbani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] , ila nilikuwa napaona kwa mbaliHuko ndo nyumbani mkuu? Baa Mipa aimayi ulongeya chimaraba....
Kuna sehemu nje ya mji mtwara kuna ofisi, chuo, hivyo nilikuwa napaona nikiwa naishi huko sio mbali na mjiniSawa huko mi sijafika bila shaka ni vijiji vya Mtwara vijijini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dunia inavituko, kuna mama alikuwa analia vibaya msibani mpaka anashikiliwa, na sio ndugu kumbe kabla ya kwenda alitupia bia kadhaa nilipogundua duu niliishia kicheka mpaka anavuka mafua[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Yaani watu wanavituko yunajua no huzuni kumbe pombe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
hatarii sanYaani watu wanavituko yunajua no huzuni kumbe pombe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanza kwa wazazi wenuUko wapi Mkuu?
Wa nyie makonde, wasukuma si baba zenu mkuu?Wazazi wa nani?