Jinsi wanawake wanavyopanga kulia msibani

Jinsi wanawake wanavyopanga kulia msibani

Hakuna tofauti na wale wanaozimia huku wameshika simu sijui kitambaa
 
Kkkkkkkkkkkkk sishangai sana nishawahi kuambiwa nimemchana K huku miezi michache kajifungua bila upasuaji,wanawake mungu anawaona
 
  • Thanks
Reactions: BMC
Ukerewe nilishawah kuona wanawake wanajpaka pilipili machoni ili machozi yawatoke mengi na macho yawe mekundu sana,huko pia hupanga kulia pale anapokaribia kufika msibani
Duuh! sasa kwanini ulazimishe kilio? Hii kubwa kuliko!!
 
Siku moja tulikuwa na safari ya kusindikiza maiti kijiji Fulani, Pasipo Bahati
nilichelewa kwenye gari ambalo lilibeba wanaume. Nikalazimika kupanda
Landrover 110 pickup ukiacha dereva mimi ndiye pekee nilikuwa mwanaume
kwenye msafara huo.

Safari ilikuwa ya masaa kama matatu na nusu hivi, kuna sehemu tukafika
Mama mmoja akauliza:
"Tuanzi kwachi ukuta?"(Tuanzie wapi kulia?)
Mwingine akajibu:
"Apalaa pamnandi" (Palee kwenye Mti)
Watatu akasema:
"Apalaa mbali tukahwika karibu na kuchijiji navahaulila."
(Pale mbali tukifika karibu na kijijini nitawaambia)

Kweli baada ya kutembea dakika kadhaa tukafika mwanzo kabisa wa
kijiji ambapo yule aliyesema akaanza kuangusha kilio kikubwa ambacho
kilipokelewa na wenzake.

Hapo wanawake wa kijijini nao wakatupokea kwa vilio huku wakijigalagaza
chini.

Yaani badala ya kuhuzunika nilijikuta nacheka peke yangu.
Hii lugha gani mkuu?
 
Unazani wote wanaolia wanamlilia fresh marehemu! Hapana kila mtu analia na yake pale inakuwa no kutoa stress zake tu, mwenye msiba utamjua tu wala haitaji afike sehemu fulani, kwanza akionana tu na ndugu zake msiba unaanza, wengine usanii tu
 
Ha ha ha ha ha Duh mpaka sarakasi.
Dunia inavituko, kuna mama alikuwa analia vibaya msibani mpaka anashikiliwa, na sio ndugu kumbe kabla ya kwenda alitupia bia kadhaa nilipogundua duu niliishia kicheka mpaka anavuka mafua[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
wanawake mna mengi aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna mmoja umetokea mitaa yetu mama tuk nae nje tuna piga story kaingia ndani hiyo kelele hatari sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom