KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,551
- 813
Mkuu kutokuwa na kosa nalo ni kosa na lina adhabu yake.saizi hata asie na kosa hajui kama yuko salama hali ni tete,
Mkuu kutokuwa na kosa nalo ni kosa na lina adhabu yake.saizi hata asie na kosa hajui kama yuko salama hali ni tete,
SahihiKwanjia hizo mimi hapanaaaaaa.....
Humu kuna miss mmoja hivi huwa namtilia shaka sanaa...Jana kaja na stor kuwa kuna mwana jf alikutana nae sijui jamaa tajiri sijui nn....
Ila ni kuvuta tu watu....hey guys kwa wale makamanda wenzangu wazee wa kukosoa na kupinga usimwamini mtu humu jukwaaani
kwetu hapa Bongo hayo yote ni mengi sana.short cut ni kwenye Bar zetu na vibanda umiza tunaropoka sana ni rahisi sana .ila watanzania hatuzaoea hayo mambo ya kupigana chabo hivyo.hatujazoea hivyo!Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,
Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie
2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,
3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,
4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,
5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.
6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,
7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.
Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,
Muwe na mchana mwema
Britanicca encyclopedia
Inaonkana nawew ni mmjaa ya watu wasiojulikanaaHabari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,
Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie
2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,
3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,
4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,
5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.
6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,
7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.
Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,
Muwe na mchana mwema
Britanicca encyclopedia
haNjia rahisi ni kukaa chumbani kwako unaangalia kioo unatukana mpaka unachoka unatulia.
Labdanimemalizia uchunguzi wangu wakujua jinsi gani kauli ya rais kwamba watumia Mitandao wakiamua wanakupata nimetenga week nzima, kwanza kwa kuweka target yamaeneo ya kufanyia research yangu,
Taasisi nilizopita ni tatu, nimeenda wale wanaogawa gate ways kwa mitandao mingine ambao wako pale samora avenue, shirika kongwe la simu,
Pili nikaenda pale derm complex kijito nyama kuna ule mtandao wa wanafunzi,
Tatu nikaenda kule Mandela road taasisi ipo karibu na university road, kabla hujafika kituo cha simu 2000 kama watokea mwenge,
Taasisi zote hizo Nina watu wa karibu kizuri zaid taasisi mbili nimezifanyia kazi mda mrefu tu, najuan mambo mengi ya tracking,
Sasa tafiti yangu ilikuwa ni kwa zile forums ambazo server zake haziko nchini au Ni vigumu kupata IP address zao kutokana na anonymous issues,
Nimefanya kujua ni kwa njia ipi wanaweza kutrack mtu wakampata,
1. Wanatumia attached adverts kwenye forums husika, yaan mfano unakuta umetumia jina fake lakin katika forum iliyopo kuna tanzagazo la biashara Fulani, ukiligusa tu umekula waya, maana wale wanakuwa na MS-DOS PROXY zilizokuwa injected katika website au application zao, ambazo zinawezesha anayetrack kupata IP address and location,
2. Kwakuwa forums hizi siyo peer to peer network ambayo watu huepeana IP address, hivyo wanaotrack wanakuwa easy kujua IP address zako haza kwa wale walio install application (mfano application ya jf kwenye simu yako) wakati wa kuinstall kwenye playstore ulilogini kwa email add
Yako ambayo ni valid hivyo anonymity's inakuwa easy kujua kwamba huyu yuko sehem Fulani na anatumia aina Fulani ya device,
Walio salama Mara Nyingi ni wale ambao hawa install apps za forums kwenye simu wanaenda kwenye browser moja kwa Moja, japo napo wanapajua kutrack
3. Kulogin kwenye simu yako kwenye account mbali mbali ambazo ziko kwa application alafu ukalogin na forum ambayo umeficha jina hiyo Inakuwa imekumaliza siku Nyingi
4. DNS PROXY, hii ni hatari mnoo hizi zimetumika kutrack email address zote valid ambazo watu wanafungulia accounts katika forum's mbali mbali
Hata kama ni vigumu kutrack server ya forum wanatumia hii kujua email addresses zilizofunguliwa Tanzania ni za kina Nani na wanamiliki akaunti zipi ndani ya forums mbali mbali, hii inatumia muda kidogo pamo a na uzembe wa watanzania wanaweza waajiriwa wasiiweze ila nimeona imetrack watu 24 katika forums mbali mbali,
Wito wangu mi huwa situmii email address valid katika forums hata ukifoji address inafungua hata bila kuwa active, maana hapa ni hatari mno,ukitaka kuhakikisha create account yeyote kwenye forum yeyote kwa kutumia email ya kubuni tu, hata ukiandika mwendokasi@gmail.com inakubali , situmiagi email valid, maana hata wakati wa kufanya registration, registration details zote zinatumwa kwa server za trackers, kuanzia jina la mwenye email address na location na amejiunga forum ipi anatumia jina gani,
6. Mods kuuza mechi, yan inaweza kuwa imekuwa ngumu kukupata mod akiamua umekwisha, maana mod wakimjua ni nani alafu wakampata mkwanja wa kutosha hata kama umetumia email fake, maana modes wanauwezo wa kujua kila mmiliki wa account kwa njia hizi,
Logini daily ina access wapi,
Password aliyotumia wao wna uwezo wa kuijua, na udhaifu wa watu kwenye forums mbali mbali huwa wanatumia password Ile Ile kwenye account tofauti tofauti ndani ya forum husika, na katika account Moja wapo anakuwa katoa taarifa sahihi, hivyo mods hata hapa wanaweza kutrack nani mwenys account flani,
7. Kupokea messeji au call kwenye line ambayo umejiunga kifurushi na unaitumia ku browse wakati umelogin kwenye forum yeyote hiyo inatuma direct taarifa husika kupitia e-server detection
Maana inatuma uko wapi mnala unasoma wapi na umelogin kwa akaunt ipi, jamani tuko uchi
Ila nawataadharisha atadakwa mmoja mmoja Mchochezi, maana habari ninayopata nakuwa makin na Mimi,
Ila kwa wanaoishi nje, na wanaotumia Wi-Fi bila kuhusisha line yeyote hao wana uafadhari kidogo,
8. Njia Nyingine ni several messages within forum, yaan zile ni PM mtu akikiu PM Mara 10 unareply hasa hawa huwa wametumwa ni kama mtu anaweza kuifanya mfanya biashara au mdada mkali mkachati, through chatting za PM zinatengeneza mazingira (peer to peer network Ina kuwa easy kuwa created na kusaka IP addresses) msiwaamini sana madada hao,
Tuwe makini orodha ipo nawaambia usibishe nimeona na sitataja, na sitakuja kuitaja kamwe, na kuna forums zitafungiwa soon,
Usinibishie hata kama unaona nimeandika pumba lakin zitilie maanani ukizingatia hayo ni vema hutapoteza ila utagain,
mkuu, ukishajua rules of the game...hakuna wa kukudaka. personally hakuna wa kunidaka hata ije mvua ama jua. hata hao intelligensia kuna vitu vingine hawako fit kivile. hakuna kipindi kigumu kama wakati wa Daniel Arap Moi. kifo kilikuwa nje nje, but kila offensive operation waliyofanya waliishia kupoteza watu wao. we live in bad days, kukaa chonjo/rada ni muhimu...Hehe kweli ila kuna siku utadakwa tu
Nakubaliana na wewemkuu, ukishajua rules of the game...hakuna wa kukudaka. personally hakuna wa kunidaka hata ije mvua ama jua. hata hao intelligensia kuna vitu vingine hawako fit kivile. hakuna kipindi kigumu kama wakati wa Daniel Arap Moi. kifo kilikuwa nje nje, but kila offensive operation waliyofanya waliishia kupoteza watu wao. we live in bad days, kukaa chonjo/rada ni muhimu...
zipiNaona leo mmelemewa mmeamua kuja na mbinu za kuzuia mafuriko kwa mikono
SurYanini niumize kichwa ilhali sifanyi kosa.
Wanataka urais zaidi bila kutumia mbinu zilizotajwa na mtoa mada lkn for time being wanatumia hizo.Mbona wanahangaika na melo sasa