Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Aisee
Uwe na laini mbali mbali pia za simuHapa ndiyo najiuliza kwanini nisifungue id mbali mbali zitakazokua na kazi kwa ajili ya kila jukwaa
Huyo alinitumia namba eti nimtumie clip ya Lissu,nikamuwekea linkKwanjia hizo mimi hapanaaaaaa.....
Humu kuna miss mmoja hivi huwa namtilia shaka sanaa...Jana kaja na stor kuwa kuna mwana jf alikutana nae sijui jamaa tajiri sijui nn....
Ila ni kuvuta tu watu....hey guys kwa wale makamanda wenzangu wazee wa kukosoa na kupinga usimwamini mtu humu jukwaaani
Apple hawatoi taarifa za wateja wao. Hivyo kuna ksugumu hapo
Hahahaha jamaa wewwHawa wanaojuana na kukutana nahisi ni wao hao hao "wasiojulikana" Mi huwa nashangaa jinsi wanavyofahamiana na kukutana mara kadhaa hasa Dar.Pia nimesikia mara kadhaa mtu anafika Mwanza na kuwaalika wana jf eti wafahamiane!Mambo yalivyo sasa hivi hata ukisema tu hadharani simpendi Rais hiyo kesi sidhani kama itakuwa na dhamana!Hata kama unamaanisha rais wa tff maana hadi ijulikane hivyo utakuwa umekaa jela muda wa kutosha.Kama tu kwenda kuchangia damu hospitali ni kosa la jinai,basi lazima watu wawe na hofu kubwa ya maisha yao.
KabisaKwanjia hizo mimi hapanaaaaaa.....
Humu kuna miss mmoja hivi huwa namtilia shaka sanaa...Jana kaja na stor kuwa kuna mwana jf alikutana nae sijui jamaa tajiri sijui nn....
Ila ni kuvuta tu watu....hey guys kwa wale makamanda wenzangu wazee wa kukosoa na kupinga usimwamini mtu humu jukwaaani
Apple ni wahuni asikudanganye mtu tumia {X##"*#686++!!^^¥£ }Yaan ukinitajia simu tu unayotumia hata akaunti Moja wapo unayotumiaga najua ulipo, nasoma mesej zako zote , picha ulizowahi kupiga umafuta nazipata kwa =|>©< ^^=°°π ectrjlsu base nakupata ulipoSo You Mean wanaotumia JF app Directly From Iphone Platform wako Safe Somehow??
Hahahah hahaha haha bongo hatariHuyo alinitumia namba eti nimtumie clip ya Lissu,nikamuwekea link
Melo analinda biashara yake.... Lakini kwenye internet huwezi kujificha... Compyuter haina mbabeMbona wanahangaika na melo sasa
Kwanjia hizo mimi hapanaaaaaa.....
Humu kuna miss mmoja hivi huwa namtilia shaka sanaa...Jana kaja na stor kuwa kuna mwana jf alikutana nae sijui jamaa tajiri sijui nn....
Ila ni kuvuta tu watu....hey guys kwa wale makamanda wenzangu wazee wa kukosoa na kupinga usimwamini mtu humu jukwaaani
Kumbe ni wahalifu!!!Hizo ni njia chache sana wanazotumia kuwanasa wahalifu.
Weee weee kuna dark web wewe acha kabisa marekan yenyewe wametoa macho kodoUkiwa kwenye mtandao huwezi kujificha...
Dunia ina mambo ya ajabu saana...na umma hua unakishwa mambo ambayo hata hayapo...huyo jamaa mm nilikua nae ndan....yaan kesi ni tofauti kabisa 100% na kilichoandikwa na vyombo vya habari...kweli pesa shetanRAIA WA AFRIKA KUSINI APANDISHWA KIZIMBANI DAR KWA KUTOA VITISHO MITANDAONI
Monday, August 14, 2017 0 Comment Kitaifa
Raia mmoja wa Afrika Kusini, Menolaos Tsampos (61), leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akishtakiwa kwa makosa ya kutishia kwa mtandao, kuishi nchini kwa muda wa miaka minne bila kibali na kutumia paspoti yenye visa ya kugushi.
Mshtakiwa huyo aliyefikishwa katika mahakama hiyo leo kabla ya kusomewa mashtaka alitishia kuwapiga waandishi wa habari waliokuwa wakimpiga picha. Tsampos aliyekuwa chini ya ulinzi wa Polisi alikuwa akijaribu kurusha mateke na ngumi akijaribu kuwazuia waandishi wa habari wasimpige picha.
Mtuhumiwa huyo amesomewa mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha ambapo amekana mashtaka yote na amerudishwa rumande hadi hapo upande wa mashtaka utakapothibitisha uhalali wa Visa yake na makazi yake ya kudumu.
Wakili wa serikali, Nassoro Katuga akisoma hati ya mashtaka hayo amedai kuwa, Juni 22, mwaka huu ndani Dar es Salaam, mshtakiwa kwa kutumia mfumo wa kompyuta, alimuandikia barua pepe Costa Gianna Koulos, yenye maneno ya vitisho kwa nia ya kumsababishia Koulos hisia za uoga.
Aidha, mahakama hiyo imeambiwa kwamba, Julai 20 mtuhumiwa huyo alimuandikia barua pepe nyingine Koulos yenye maneno ya vitisho na kumpa masaa 48 kumtaka wakae na kumaliza tofauti walizonazo vinginevyo atamfanyia kitu kibaya.
Katika shtaka jingine, Agosti 7 mwaka huu akiwa katika Kituo cha Polisi cha Kati, Tsampos alikutwa akiwa na pasi ya kusafiria yenye namba M00101612 ikiwa na visa ya kughushi.
Wakili Katuga ameendelea kudai kuwa mshtakiwa huyo mwenye pasi ya kusafiria namba 246184272, raia wa Afrika Kusini, Julai 6, mwaka huu alikamatwa akiishi nchini bila ya kuwa na kibali maalumu.
Mshtakiwa amekanusha kutenda makosa hayo na amerudishwa rumande baada ya mahakama kuutaka upande wa utetezi kufanya uchunguzi na kuhakikisha kama kweli mshtakiwa anaishi mbezi kama ana visa yake.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Agosti 16, mwaka huu.
Source: RAIA WA AFRIKA KUSINI APANDISHWA KIZIMBANI DAR KWA KUTOA VITISHO - ZOTE KALI | Blog
You are deadly right pal.
Solution ni kutumia i phone tu