...Lokissa, umenikumbusha kuna siku my wife alikuta sms ya kwenye simu yangu kiukweli ilitoka kwa demu mwingine lilikuwa kosa la kiufundi kwa kawaida nikichat na vicheche sms na-delete zote lakini siku hiyo nadhani ndio ilikuwa 40 yenyewe mshikaji anapenda kupekua pekua smu yangu mazee sms ilikuwa imesheheni maneno makali ya mapenzi baada ya majibizano ya hapa na pale nikasikia kasimu kamebamizwa chini pwaaaa!!! kila k2 kule. Na chakula cha usiku nikanyimwa wikii nzima naambiwa nenda huko huko. HAwa watu balaa!!!babuyao hapo umeua kabisa, hii kali, wanasema mnaomiliki bastola ndani mkeo asijue manake siku akikasirika atakushuti kabisa hawajui kukontrol hasira zao na anatamani afanye kitu kikubwa kumaliza hasira yake hasa pale anapokuwa hajatoa machozi.
Umenikumbusha mbali saanaMfano Katrina ilikuwepo tangu zamani maana nakumbuka nikiwa mdogo"kulikuwa na wimbo.. Mvua njoo katarina usije"!!!
Hi ni suala la kiufundi tu na halina mchango wa kijinsia kwasababu yoyote. Endapo lina maana zaidi ya education nitakuwa nimetoka nje ya mada. Hata kama lina uhusiano na akina mama uhusiano huo utakuwa wa kawaida kabisa na wao wanawake kama sisi wanaume pengine wangetaka kujua kama tunavyotaka. Sidhani kama kuna ulazima wa wao kuandika tu chochote ili mradi majina yamenasibishwa na jinsia zao. Tuwe fair!longolongo tuuu! mbona majibu hamna?
<br />Kwa sababu zinakuja na kuondoka na kila kitu unaachwa mweupe just like women
<br />
<br />
we umeambiwa kuanzia miaka ya 1950, kipindi hicho ulikuwa mkubwa au mdogo au ulikuwa hujazaliwa kabisa?
longolongo tuuu! mbona majibu hamna?
Zamani vimbunga vilikuwa na majina ya kike tu lakini baadae vikaanza kujumuisha majina ya kiume pia. Kuna hurricane Chris kwa mfano.
Bahati mbaya inasadifu kuwa vimbunga vikali vimetokea vikiwa na majina ya kike kwa miaka hii ya karibuni.
<br />wadau nimekaa na kutafakari sijapata jibu ni kwanini haya majanga ya kimbunga na mafuriko yanayotokea zaidi marekani tangu miaka ya 1950 hadi hivi leo yanapewa majina ya kike kama KATRINA,ALICE,NK kwa sasa kilichotokea wekend hii wamekiita IRENE. mwenye ufahamu atujuze ni kwanini?
longolongo tuuu! mbona majibu hamna?
Majina ya VimbungaVimbunga hutokea mara kwa mara katika kipindi cha joto. Wataalamu wameanza kuvipa majina kwa kurahisisha maelewano. Katika eneo la kila bahari kuna utaratibu wa pekee wa kutolea majina kwa vimbunga kufuatana na mapatano ya wanasayansi.
Atlantikiinaona takriban vimbunga kumi au zaidi kila mwaka. Hupewa majina kufuatana alfabeti. Imekuwa kawaida tangu 1979kutumia majina ya kiume na ya kike kwa kubadilishana (zamani vilipewa majina ya kike tu lakini wanawake walilalamika).
Wataalamu wanatumia orodha sita ya majina hivyo jina linaweza kurudia baada ya miaka sita.
Kimbunga ya "Katrina" kilichoharibu mji wa New Orleans katika Agosti 2005 kilikuwa kimbunga cha 11 cha mwaka 2005. Kilifuata kimbunga "Jose" na kufuatwa na "Lee" halafu "Maria". Kama kimbunga inasababisha uharibifu mkubwa sana jina lake huondolewa katika orodha maana yake jina hili halitarudia. "Katrina" imebadilishwa kuwa "Katia" katika orodha ya mwaka itakayotumika mwaka 2011 (ikitokea itakuwa kimbunga kinachofuata "Jose" ya 2011)
BECaUsE moSt of the hurricanes they come WET!!!