macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,898
- 39,794
Mkuu mbona povu kali sana! Kulikoni? Ulikuwa na nia ya kugombea hiyo 2035 nini? Hilo la Pasco kuwa rais naona ni kama panadol ya kupunguza maumivu tu. Tiba hasa ilikuwa anataka kumwambia ajikekebishe kwenye utoaji hoja wake.... Ni mawazo yangu lakini.Unajua ww Azizi huwa unaongea kama mtu mwenye Busara lakini ndani ya busara yako kuna ujinga fulani. Nadhani ni mtu uliyesoma sana dini kiasi kwamba unajichanganya kwenye mada zako. Sasa hii mada unampamba Paskali ili iwe nini kama sio unamchora tu?unasema Paskal atakuwa rais wa nchi hii 2035, sasa hivi ana miaka 50+, hiyo 2035 atakuwa karibu 70, sasa umri huo bado atakuwa na jipya? Acha wendawazimu wako. Halafu hii mada sio ya jukwaa la siasa pls, ww Ni mzoefu wa hili jukwaa do the needful.