Mahuna: Kwanini ulipopigiwa simu uende dukani kwako hukwenda.Hili no inga kweli. Hujui ht Askari yeyote mwenye haki ya kubeba silaha akiiitumia kupora mali za watu anaitwa jambazi? Embu karudishe akili zako huko ulikozisahau. Usituchefue na huyo jambazi lako.
Hamna kesi hapaNimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.
Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.
Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?
My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Kwani tukio hilo pekee ndo limemtwika ujambazi..!?Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.
Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.
Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?
My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Dada nenda kaongeze idadi ya mawakili,,huyo bwanako ana mawakili wawili tuNimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.
Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.
Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?
My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Nadhani issue ni tukio lililofanyika sio kujitambulisha. Mfano, kama ukijitambulisha kuwa wewe ni polisi halafu ukafanya jinai, kujitambulisha kwako kunasaidia nini?! Issue ni tukio, ndio maana mtu unaweza kushtakiwa kwa kumbaka mkeo hata kama kama Dunia nzima inajua kuwa wewe ndio Mume.Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.
Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.
Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?
My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ongeza pesa za wakili kesi ngumu hii..bado shahidi zaidi 60....kazi ipo heri apangue kwa kuwalipa pesa zao...one on one atapotea...Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.
Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.
Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?
My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
kama mbakwaji huendi kutoa ushahidi hayo makosa kibao atakutwa nayo vipi!!!!Akili gani unazotaka,au hoja gani nikujibu,Sabaya anakabiliwa na makosa kibao,we unakuja na hicho kimstari,
Utakuwa mmasai wewe!!!!!!
Upande wa mashtaka Wana mashaidi kumi katika hayo mashtaka ya ujambazi tu, Sasa subiri siku ya mwisho kufunga Ushaidi, ndio mjipe matumaini ya huyo Jambazi mwenzenu kutokaKiukweli pale hamna kesi aisee
Mahuna: Kwanini ulipopigiwa simu uende dukani kwako hukwenda.
Shahidi: Nilisikia mabishano pale dukani ndio nikapata hofu.
Mahuna: Je? Baada ya tukio hilo uliliripoti polisi
Shahidi: Hapana.
Wakili Dancon Oola: Una uthibitisho gani kuwa Sabaya na wenzake waliiba Sh 2,769,000 milioni.
Shahidi: Niliwaona kwenye CCTV camera
Oola: Je wewe uliamini vipi kama wao ndio wameiba?
Shahidi: Niliambiwa na Noman Jasin.
Wakili: Je uliripoti polisi?
Shahidi: Sijaripoti lakini niliandika barua TRA
Wakili: Unasema Februari 17 ulirudi Arusha na kuipeleka familia Kenya, Je? Ulipima Covid maana siku hiyohiyo umetoka Simanjiro ulikwenda Nairobi.
Shahidi: Hapana.
Wakili Chavula aliieleza Mahakama kuwa watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matatu ya unyang'anyi wa kutumia silaha Sabaya na wenzake.
Mkuu kama mashahidi wenyewe ndiyo hawa wakuungaunga hamna kesi hapaUpande wa mashtaka Wana mashaidi kumi katika hayo mashtaka ya ujambazi tu, Sasa subiri siku ya mwisho kufunga Ushaidi, ndio mjipe matumaini ya huyo Jambazi mwenzenu kutoka
Ushahidi ni mtiririko wa tukio, kama shahidi wa kwanza anachemka hivi inakuwaje?Upande wa mashtaka Wana mashaidi kumi katika hayo mashtaka ya ujambazi tu, Sasa subiri siku ya mwisho kufunga Ushaidi, ndio mjipe matumaini ya huyo Jambazi mwenzenu kutoka
Jambazi Sabaya lilikuwa untouchable enzi za Mwendakuzimu, hapa linanyea ndoo huku likipangiwa ratiba za kupiga deki choo na nyapara wa selo.Aliporaje? Mporaji huwa anajitambulisha?
Weye naye sijui akili umekalia au maboso? Mjinga sana. Na ndiyo mnazidi kumuangamiza huyo jambazi.😝😝😝😝Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.
Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.
Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?
My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ana trend kwa ujambazi sugu aliokuwa akiufanya.Hivi kwani huyu jamaa ana kitu Gani special...mbona anatrendi Sana!
Kwaiyo ushaidi wa shaidi mmoja ndio unahamua case? na unajuaje Kama huo Ushaidi alioutoa hauna nguvu? Wakati Wana kielelezo pia Cha picha za CCTV,Mkuu kama mashahidi wenyewe ndiyo hawa wakuungaunga hamna kesi hapa
Sabaya kama DC ni afisa wa serikali. Toka lini kazi yab DC ni kukusanya hela za wananchi? Sabaya atatoka pengine...ila kuna somo hatalisahau. Na ndio byebye yake, Watu wa aina yake hawafai kukaa serikalini wala karibu na ofisi za umma. Huku mtaani akiishi hivyo atanyea debe tenaAlizichukuaje? Kama aliyepiga simu alidai wamejitambulisha ni maofisa wa serikali? Kwa nini hawakulipoti polisi?
Enzi za Mwendakuzimu polisi gani angethubutu kulikamata jambazi sugu Sabaya.Alizichukuaje? Kama aliyepiga simu alidai wamejitambulisha ni maofisa wa serikali? Kwa nini hawakulipoti polisi?