Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.

Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.

Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?

My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai...
Kwahiyo ofisa wa serikali ndio uvamie na Bastola mkonon
 
Sihitaji heshima yako hata sekunde moja! Kesi iko mahakamani wewe unakuja kupiga bla bla hapa! Unadhani utabadilisha kitu? Kwanza ndiyo imeanza na mwelekeo wake bado kabisa kujulikana.
Premafacie evidence, pumbavu mkubwa.
 
Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai...
Kwaiyo aliposikia Sabaya akajua huyo Jambazi ndo kaenda kutoa ushahidi kuwa hivo?
 
Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai...
Sasa mfanyakazi wa dukani aliempigia Simu shahidi mwenye duka, naye si atakua shahidi aliemuona Sabaya akifanya uhalifu?
 
Hujui hata Askari yeyote mwenye haki ya kubeba silaha akiiitumia kupora mali za watu anaitwa jambazi? Embu karudishe akili zako huko ulikozisahau. Usituchefue na huyo jambazi lako.
 
Hili no inga kweli. Hujui ht Askari yeyote mwenye haki ya kubeba silaha akiiitumia kupora mali za watu anaitwa jambazi? Embu karudishe akili zako huko ulikozisahau. Usituchefue na huyo jambazi lako.
Aliporaje? Mporaji huwa anajitambulisha?
 
Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.

Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.

Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?

My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Toka lini serikali inachukua hela kwa utaratibu wa Sabaya? Ni ujambazi kwa kutumia nguvu za dola
 
Back
Top Bottom