Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Hili no inga kweli. Hujui ht Askari yeyote mwenye haki ya kubeba silaha akiiitumia kupora mali za watu anaitwa jambazi? Embu karudishe akili zako huko ulikozisahau. Usituchefue na huyo jambazi lako.
Mahuna: Kwanini ulipopigiwa simu uende dukani kwako hukwenda.
Shahidi: Nilisikia mabishano pale dukani ndio nikapata hofu.

Mahuna: Je? Baada ya tukio hilo uliliripoti polisi

Shahidi: Hapana.

Wakili Dancon Oola: Una uthibitisho gani kuwa Sabaya na wenzake waliiba Sh 2,769,000 milioni.

Shahidi: Niliwaona kwenye CCTV camera

Oola: Je wewe uliamini vipi kama wao ndio wameiba?

Shahidi: Niliambiwa na Noman Jasin.

Wakili: Je uliripoti polisi?

Shahidi: Sijaripoti lakini niliandika barua TRA

Wakili: Unasema Februari 17 ulirudi Arusha na kuipeleka familia Kenya, Je? Ulipima Covid maana siku hiyohiyo umetoka Simanjiro ulikwenda Nairobi.

Shahidi: Hapana.
Wakili Chavula aliieleza Mahakama kuwa watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matatu ya unyang'anyi wa kutumia silaha Sabaya na wenzake.
 
Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.

Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.

Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?

My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hamna kesi hapa

Kwani tukio hilo pekee ndo limemtwika ujambazi..!?
 
Dada nenda kaongeze idadi ya mawakili,,huyo bwanako ana mawakili wawili tu
 
Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.

Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.

Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?

My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Nadhani issue ni tukio lililofanyika sio kujitambulisha. Mfano, kama ukijitambulisha kuwa wewe ni polisi halafu ukafanya jinai, kujitambulisha kwako kunasaidia nini?! Issue ni tukio, ndio maana mtu unaweza kushtakiwa kwa kumbaka mkeo hata kama kama Dunia nzima inajua kuwa wewe ndio Mume.
 
Jay Cruel,
Kiukweli pale hamna kesi aisee

Mahuna: Kwanini ulipopigiwa simu uende dukani kwako hukwenda.
Shahidi: Nilisikia mabishano pale dukani ndio nikapata hofu.

Mahuna: Je? Baada ya tukio hilo uliliripoti polisi

Shahidi: Hapana.

Wakili Dancon Oola: Una uthibitisho gani kuwa Sabaya na wenzake waliiba Sh 2,769,000 milioni.

Shahidi: Niliwaona kwenye CCTV camera

Oola: Je wewe uliamini vipi kama wao ndio wameiba?

Shahidi: Niliambiwa na Noman Jasin.

Wakili: Je uliripoti polisi?

Shahidi: Sijaripoti lakini niliandika barua TRA

Wakili: Unasema Februari 17 ulirudi Arusha na kuipeleka familia Kenya, Je? Ulipima Covid maana siku hiyohiyo umetoka Simanjiro ulikwenda Nairobi.

Shahidi: Hapana.
Wakili Chavula aliieleza Mahakama kuwa watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matatu ya unyang'anyi wa kutumia silaha Sabaya na wenzake.
 
Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.

Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.

Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?

My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ongeza pesa za wakili kesi ngumu hii..bado shahidi zaidi 60....kazi ipo heri apangue kwa kuwalipa pesa zao...one on one atapotea...
 
Hivi kwani alikuwa anaogopa kujitambulisha?, kwa nafasi yake na vurugu wengi walikuwa wanamfahama hata kama asingejitambulisha.
 
Akili gani unazotaka,au hoja gani nikujibu,Sabaya anakabiliwa na makosa kibao,we unakuja na hicho kimstari,

Utakuwa mmasai wewe!!!!!!
kama mbakwaji huendi kutoa ushahidi hayo makosa kibao atakutwa nayo vipi!!!!
 
Kiukweli pale hamna kesi aisee

Mahuna: Kwanini ulipopigiwa simu uende dukani kwako hukwenda.
Shahidi: Nilisikia mabishano pale dukani ndio nikapata hofu.

Mahuna: Je? Baada ya tukio hilo uliliripoti polisi

Shahidi: Hapana.

Wakili Dancon Oola: Una uthibitisho gani kuwa Sabaya na wenzake waliiba Sh 2,769,000 milioni.

Shahidi: Niliwaona kwenye CCTV camera

Oola: Je wewe uliamini vipi kama wao ndio wameiba?

Shahidi: Niliambiwa na Noman Jasin.

Wakili: Je uliripoti polisi?

Shahidi: Sijaripoti lakini niliandika barua TRA

Wakili: Unasema Februari 17 ulirudi Arusha na kuipeleka familia Kenya, Je? Ulipima Covid maana siku hiyohiyo umetoka Simanjiro ulikwenda Nairobi.

Shahidi: Hapana.
Wakili Chavula aliieleza Mahakama kuwa watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matatu ya unyang'anyi wa kutumia silaha Sabaya na wenzake.
Upande wa mashtaka Wana mashaidi kumi katika hayo mashtaka ya ujambazi tu, Sasa subiri siku ya mwisho kufunga Ushaidi, ndio mjipe matumaini ya huyo Jambazi mwenzenu kutoka
 
Mkuu kama mashahidi wenyewe ndiyo hawa wakuungaunga hamna kesi hapa
 
Ushahidi ni mtiririko wa tukio, kama shahidi wa kwanza anachemka hivi inakuwaje?
 
Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.

Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.

Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?

My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Weye naye sijui akili umekalia au maboso? Mjinga sana. Na ndiyo mnazidi kumuangamiza huyo jambazi.😝😝😝😝
 
Mkuu kama mashahidi wenyewe ndiyo hawa wakuungaunga hamna kesi hapa
Kwaiyo ushaidi wa shaidi mmoja ndio unahamua case? na unajuaje Kama huo Ushaidi alioutoa hauna nguvu? Wakati Wana kielelezo pia Cha picha za CCTV,

Mkuu, Sabaya anakwenda jela miaka 15, itunze hii comment yangu itakuja kukusaidia kwa 100%
 
Alizichukuaje? Kama aliyepiga simu alidai wamejitambulisha ni maofisa wa serikali? Kwa nini hawakulipoti polisi?
Sabaya kama DC ni afisa wa serikali. Toka lini kazi yab DC ni kukusanya hela za wananchi? Sabaya atatoka pengine...ila kuna somo hatalisahau. Na ndio byebye yake, Watu wa aina yake hawafai kukaa serikalini wala karibu na ofisi za umma. Huku mtaani akiishi hivyo atanyea debe tena
 
Back
Top Bottom