Wewe hujui maandiko yanavyosema au vipi? yaani kila mwanaume atakula kwa jasho au akili zake au unabisha shwaiiin.Hapa kwenye huu uzi naskia harufu ya utapenga....
Mkuu hii issue ipo hot sana, siwezi ongea mengi ila ngoja ipite kwanza alafu ndo ni zungumze.Hiyo ikoje.?
dah nina imani uwezi kurudia tena kosa hilo.................Utapeli upo wa aina nyingi.......watu weng wamesha pitia hayo ila kila m1 ana namna yake na inawezekana umetapeliwa kijinga.
Maisha yapo hivyo weka hapa tupate kuzijua mbinu zao.
1.Ilikuwa siku 1 nipo Tanga.... Eneo maarufu kama tangamano wakawepo wachezesha kamari.
Uoneshe kasha lenye kiberiti hapo anakuwa anavichanganya vyote.... Vipo vi3.... Uoneshe ki1 chenye njiti.
Mtu mzima nikawa nafuatilia kwa macho..... Nikawa nakiona.... Ile tu kiweka ela yangu... Ikawa nimekosea... Nikaliwa.
2 Wakaja wale wenye mkanda..... Nako kabla hujaweka ela unakuwa unapatia lkn ukisha weka tu ela... Inakula kwako....
3 Nikaenda dar... Nikaona mchezo ule wa vyombo vyiingi na mara friji... Jiko... Tv... Laptop...na vikoro koro viiiingi.
Wanakupa mfuko wa kadi... Then unazilipia.... Ili kama ukipata inayoendana na iliyopo kwenue kifaaa unakuwa umepatia. Xo unapewa fedha zenye thaman ya hiyo kitu.....
Mwanaume nikapiga hesabu hapo nina kadi 4... Hapo kuna ya frij.... Jiko... Na vingne... Nikapiga hesab pale ikaja kama 1.2mil....ha nikaona kiwewe niakaambiwa lipia ndo zifunguliwe zile kadi.... Huku nimezishika mimi.
Nilipolipia 40000 tu wakasoma sikuona cha namba wala nn zipkuwa zimeandikwa utajiju... Mwenye wivu.... Na mengine mengi na kwa hapo nimebakishiwa buk 2 tu.......aisee nilichoka yan.
NB hawa watu wanatumia nguvu gani? Kiini macho?
Hahahah...Tapeli vs TapeliAisee mimi nina funfumark na ile yenye simba mbili na mnazi,pia nina bastola ya kijerumani,pasi ya kijerumani,njoo PM nikufahamishe zaidi coz nina vitu vingi nilifukua kule Amboni Tanga sitaki kuvitaja hapa sababu naogopa matapeli.
Hahahah...Tapeli vs TapeliAisee mimi nina funfumark na ile yenye simba mbili na mnazi,pia nina bastola ya kijerumani,pasi ya kijerumani,njoo PM nikufahamishe zaidi coz nina vitu vingi nilifukua kule Amboni Tanga sitaki kuvitaja hapa sababu naogopa matapeli.
okeyUjipooze machungu kwanza..... Hebu usisahau kuleta....
Mkuu bado tu unaamini stori za kutajirika na rupia!!!?Na humu jamii forum matapeli wapo wengi tu kuna jamaa mmoja wa humu jamii forum kuna jamaa alikuwa anatafuta vitu vya mjeruman vya kale sasa mzee wangu hivyo vitu alikuwa navyo nikawa nimeongea nae mimi nilikuwa tabora hiyo ilikuwa mwaka jana mwez wa kumi na mbili nikimwambia nikiludi mbeya likizo ntakutafuta ili unipe maelekezo kama ni vyenyewe au la tukakubaliana jamaa nikawa namtafuta yupo kimya nikaamua kutafuta mtu mwingine kweli wale watu wakaja nyumbani na mzungu wakaona vitu vile ni kweli vya kijerumani kwa hiyo biashara ikafanyika mzee alipewa kiasi kingi tu cha pesa kama milioni mi tano hivi na kidogo yule jamaa nikampotezea mwanzoni mwa mwezi wa kwanza akanitafuta kuulizia nikamwambia mbona biashara ilisha fanyika na wewe nilikuwa nikikupigia simu haupokei mara unasema nikutafute siku nyingine kwa hiyo mi nikatafuta mtu mwingine jamaa alisikitika sana tukawa tumemaliza hivyo nilikaa kama siku tano hivi jamaa yule yule akanipigia sim kwa namba nyingine akajitambulisha kwa jina la peter kisumo nikamwambia mbona sikufaham akasema tulikutana wilayani nikamjib sikufahamu kaka basi akaanze ehee sisi ni kampun tunao suply vifaa vya kilimo kwa hiyo tunaomba uwe wakala wetu nikamuuliza maswali ikaonekana anajikanyaga kanyaga eti tuma laki tatu afu si tutakuludishia kama milion hivi nikamuuliza wewe unataka kufanya biashara na mimi laki tatu ya nini kwa kifupi ni kamwambia utapeli wa kijinga huo watu walisha acha hayo jamaaa alikata simu na hakupatikana tena nazani na laini alitupa.
Sawa unafikiri mimi ni tapeli,hapana mimi ni Mesiah nimetumwa kuwakomboa masikini na kuwapa idea ya kujikwamua kimaisha,hata wewe kama unataka deal yoyote ile wewe sema tu .Hahahah...Tapeli vs Tapeli
Unataka kutajirika? kama unataka just say yes halafu mimi nitakufanya uwe agent wangu wa ma deal.hahahaha
swissme
madili ya wizi.Unataka kutajirika? kama unataka just say yes halafu mimi nitakufanya uwe agent wangu wa ma deal.
Kuna mambo mengi hapa duniani ya kukufanya utajirike lakini kwa sababu ya kuogopa UTAPELI watu mnaamua kutupa dhahabu kwa uoga au vipi?hahahaha
swissme
Na humu jamii forum matapeli wapo wengi tu kuna jamaa mmoja wa humu jamii forum kuna jamaa alikuwa anatafuta vitu vya mjeruman vya kale sasa mzee wangu hivyo vitu alikuwa navyo nikawa nimeongea nae mimi nilikuwa tabora hiyo ilikuwa mwaka jana mwez wa kumi na mbili nikimwambia nikiludi mbeya likizo ntakutafuta ili unipe maelekezo kama ni vyenyewe au la tukakubaliana jamaa nikawa namtafuta yupo kimya nikaamua kutafuta mtu mwingine kweli wale watu wakaja nyumbani na mzungu wakaona vitu vile ni kweli vya kijerumani kwa hiyo biashara ikafanyika mzee alipewa kiasi kingi tu cha pesa kama milioni mi tano hivi na kidogo yule jamaa nikampotezea mwanzoni mwa mwezi wa kwanza akanitafuta kuulizia nikamwambia mbona biashara ilisha fanyika na wewe nilikuwa nikikupigia simu haupokei mara unasema nikutafute siku nyingine kwa hiyo mi nikatafuta mtu mwingine jamaa alisikitika sana tukawa tumemaliza hivyo nilikaa kama siku tano hivi jamaa yule yule akanipigia sim kwa namba nyingine akajitambulisha kwa jina la peter kisumo nikamwambia mbona sikufaham akasema tulikutana wilayani nikamjib sikufahamu kaka basi akaanze ehee sisi ni kampun tunao suply vifaa vya kilimo kwa hiyo tunaomba uwe wakala wetu nikamuuliza maswali ikaonekana anajikanyaga kanyaga eti tuma laki tatu afu si tutakuludishia kama milion hivi nikamuuliza wewe unataka kufanya biashara na mimi laki tatu ya nini kwa kifupi ni kamwambia utapeli wa kijinga huo watu walisha acha hayo jamaaa alikata simu na hakupatikana tena nazani na laini alitupa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama naliona picha Linavochezwa liveNakumbuka ilikuwa miaka ya tisini mwanzoni,brother wangu alitapeliwa mnazi mmoja pale. Siku hiyo asubuhi aliaga anaenda shule boarding iringa,akaondoka na baraka zote za wazazi,ghafla saa nne asubuhi asharudi home anahema kichizi,wazee wakamuuliza kulikoni hujaenda shule?akawakusanya wazazi chumbani wakajifungia mi nikawa nachungulia ,bro akatoa kidude flan hivi nikamsikia anasema dhahabu,aisee wazee wakaenda funga mageti yote nje,bro akawaambia alikutana na msukuma stand eti aliokota hiko kidude ila yeye hakitaki kimeandikwa GOLD FIRST CLASS FROM ..nimesahau jina la mgodi akaamua mpa nauli ya ke ya bus to iringa na poketi money yote. Aisee ile ishu iliwachanganya wazee wakajua utajiri huu. Milango imefungwa home hamna wa kutoka mpaka mimi wanani ignore,ikafika usiku wa saa nne wakatoka kwenda kwa mzee jirani yeye mtaalam wa madini hahaha,yule mzee akawasha stovu akayaiunguza yale mawaya dooh yakawa meupe na biashara ikaishia hapo.