Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Nlikuwa nna shida ya dada wa kazi, kuna binti yupo morogoro akanambia amepata dada wa kazi xo nitume nauli. Nikamtumia 30,000/= nikawa nikipiga simu hapokei au anampa mtu aseme ipo chaji au anaoga.
Mpaka leo ni maumivu tu, ngoja kwanza nimpigie
 
Mavitu ya Kijerumani bro,yaani kwa wingi mno hadi yanapata kutu ndani mwangu,changamkia deal na wewe utoke uwe billionaire wa Arusha au vipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Namfahamu jamaa mmoja alikuja kunikopa pesa ili akanunue hayo majitu kwa mtu mmoja kule Kahe kumbe alikuwa tapeli. Tena umenikumbusha nimdai pesa yangu. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji15]
 
Nlikuwa nna shida ya dada wa kazi, kuna binti yupo morogoro akanambia amepata dada wa kazi xo nitume nauli. Nikamtumia 30,000/= nikawa nikipiga simu hapokei au anampa mtu aseme ipo chaji au anaoga.
Mpaka leo ni maumivu tu, ngoja kwanza nimpigie
Mara mbili nilishatapeliwa kuhusu msichana wa kazi. Ukishatuma tu pesa ya nauli simu haipatikani tena.
 
Du! umenikumbusha nilivyotapeliwa kinguvu na watoto wa mjini ambao walishilikiana na dola, kampuni ya simu na kiwanda cha saruji. Issue ilikuwa babu kubwa.
 
Kuna jamaa walikuja na mfuko umetuna kweli kuashiria kuna kitu kizito wakaniambia braza tuna gearbox ya rav4 tunaipeleka gereji ilikuwa mida ya saa tatu usiku nikafungua buti la gari wakapakia tukaondoka kufika nyamongoro mmoja akasema niazime 30000/= tukifika huko nitakupa zote na hii ya tripu nami kiroho safi nikampa kufika kisesa wakashuka wakasema wanachukua tairi kwa jamaa yao nilikaa kusubiri mpaka saa sita hawajafika nikaamua kuondoka nafika kijiwani kufungua niangalie hiyo gearbox aisee nilichoka kulikuwa na mawe kwenye mfuko nikawa nimeingizwa mjini ndani ya jiji stasahau
daah nixheeeda
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Namfahamu jamaa mmoja alikuja kunikopa pesa ili akanunue hayo majitu kwa mtu mmoja kule Kahe kumbe alikuwa tapeli. Tena umenikumbusha nimdai pesa yangu. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji15]
Ok ukishadai ukapata hizo pesa njoo nikupe mavitu ya kukutajirisha,utaenda kuuza ubalozi wa Kijeremani.
 
Mimi huwezi kunitapeli, period. Kuniibia inawezekana lakini sio kunitapeli

Hata mimi unaweza kuniibia, lakini siyo kunitapeli. Kwanza nashangaa halafu najiuliza inakuwaje kuwaje unatapeliwa?! Naona wengi wanaolalamika kutapeliwa ni wakuja!
 
Ok ukishadai ukapata hizo pesa njoo nikupe mavitu ya kukutajirisha,utaenda kuuza ubalozi wa Kijeremani.
Duh! Si nitakuwa mjinga wa kutupwa? Kama majitu yana pesa kubwa hivyo wewe unakaa nayo ya nini? Wewe hutaki kuwa multi- billionaire? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kuna dogo alinitapeli pale Ubungo pamoja na kuishi kwangu mjini mda wote huu...

Aliniuzia sabuni badala ya simu alafu akakimbia

Nikaenda home na sabuni yangu kama simu nikaiweka juu ya kabati

Siku nasafiri nikaenda mpaka ubungo na sabuni yangu vile vile na yule dogo nikamkuta pale

Nilichomwambia tu ni chukua sabuni yako nipe hela yangu...wakaja maboss zake pale nikawaletea shida wakanipa hela nusu siku narudi tena Dar nikamdaka tena akanimalizia hela yangu.

Yule Dogo anatembea na hiziri kubwa sana mfukoni

Ila hakuna siku nilijiona mjinga kama siku ile...
Memory yako iko juu sana! Yaani ulimkumbuka sah [emoji2]
 
Kuna jamaa walikuja na mfuko umetuna kweli kuashiria kuna kitu kizito wakaniambia braza tuna gearbox ya rav4 tunaipeleka gereji ilikuwa mida ya saa tatu usiku nikafungua buti la gari wakapakia tukaondoka kufika nyamongoro mmoja akasema niazime 30000/= tukifika huko nitakupa zote na hii ya tripu nami kiroho safi nikampa kufika kisesa wakashuka wakasema wanachukua tairi kwa jamaa yao nilikaa kusubiri mpaka saa sita hawajafika nikaamua kuondoka nafika kijiwani kufungua niangalie hiyo gearbox aisee nilichoka kulikuwa na mawe kwenye mfuko nikawa nimeingizwa mjini ndani ya jiji stasahau
Nimecheka saana mkuu
 
Duh! Si nitakuwa mjinga wa kutupwa? Kama majitu yana pesa kubwa hivyo wewe unakaa nayo ya nini? Wewe hutaki kuwa multi- billionaire? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wewe usiwe mjinga ukawa masikini buree,kwani hujui mali zingine zina magano ya vifo na alionavyo hatakiwi kufaidika navyo,ila mtu baki wa mbali kama wewe mizimu inamkubali tena mizimu ya Kijeremani mikali sana ,haya njoo utajirike we usiejijua kama una bahati au vipi?,na kama unabisha mtafute Mkuu Mshana junior akufafanulie ili uweze kutajirika.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Sitaki mali za mashetani. Acha utapeli wewe.
 
Du! umenikumbusha nilivyotapeliwa kinguvu na watoto wa mjini ambao walishilikiana na dola, kampuni ya simu na kiwanda cha saruji. Issue ilikuwa babu kubwa.
Hiyo ikoje.?
 
Hapa kwenye huu uzi naskia harufu ya utapenga....
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Sitaki mali za mashetani. Acha utapeli wewe.
Sio za mashetani ni za Kijeremani au hujui maana ya mali za Kijeremani?njoo bhana wewe una nyota ya utajiri kwa hiyo hizi mali zitakutoa kimaisha.
 
Back
Top Bottom