Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Umejuaje best!!! Alilamba kidole chake akasugua kwenye vumbi then akanisugua mkononi ukatoka moshi mwingiiiiiii huku anaongea makorokocho, hapo akili ikapaaa akanambia niende karibu na kanisa fulan eti nikifika niseme utukufu juu mbinguni na amani dunian ntaona Pete ya Bahati inashushwa! Daaah waliniweza wale jamaaa nikikumbuka nachekaa😀
ahahahaha,daaaa
 
Hii sio kweli. Ni hadithi ya kijiweni tu. Na tena kuna versions nyingi za hii hadithi. Kuna ya kusimulia kuwa walienda kwa mpiga viatu rangi, akapiga cha njemba akaondoka na dogo alipoambiwa subiri dingi aje ndio akasema simjui ila ameniambia twende ukapige viatu vyako rangi ya bure.
ila unajua matapeli technic wanazotumia huwa zinafanana,me mwenyewe kuna mamdogo wangu mwanake amewahi kuwekwa mgahawani na majamaa walimkuta njian anacheza wakamwambia "twende tukale" dogo akakubali lakin baada ya kula wakazuga wanatoka kidogo,wakirud ndo watalipa na watamchukua mtoto wao,ndo wakasepa jumla wakambana dogo akasema hawajui (huku analia) nda wakamrudisha dogo home kwao.na hata dogo mwenyewe anachukiaga watu wakihadithia hyo story maana saiv amekuwa mkubwa.hzo znatokeaga znafanana maana technic ni moja.
 
Nilimtuma housegirl dukani. Nilipoona amechelewa na kwakuwa alikuwa mgeni ikabidi nimfuatilie. Nikamkuta akirudi lakini analia. Nilikuwa nimeoa sh. 10000. Jamaa akamwambia amfuate akazionheze ziwe laki moja. Akakubali. Walipofika kwenye kichaka karibu na gymkhana akamnyang'anya kasimu kake pamoja nanile fedha. Akawa anaogopa kurudi. Nikamwambia marufuku kumsikiliza mtu ye yote asiyemfahamu. Kama anauliza njia au sehemu nilimwambia awaambie waende kuuliza polisi.
 
Nakumbuka nilikuwa Zanzibar 2011 nikiwa kwa shughuli zangu nikapigiwa simu na mtu aliyejifanya yuko kigoma na amepewa namba yangu na rafiki yangu aliye uingereza, baada ya kumuuliza kama kuna mtu mwaninifu na anaeweza kuwasaidia kupata dawa za kuhifadhia chakula, cha wakimbizi huko kigoma.! Kifupi alidai yeye anafanya kazi hapo na kuna dawa inahitajika sana ya kuhifadhi hicho chakula imeadimika huko isipokuwa inapatikana Znzbr sbbu inaingizwa kutoka commoro kuhusu bei. Walidai wao walikuwa wakinunua tsh 1.5 milion kwa chupa kwa mletaji wao. Lakini kawapandishia sana bei mpaka 2.5 million.. Hivyo Hugo mzungu ambaye ndio mkuu anatafuta mletaji Mpya Wa bei nafuu. Nikapewa namba ya Dr. Anayejiita Mohammed. Yupo mahonda kilipokuwa kiwanda cha sukari.. Kuwa ndie alikuwa na huo mzigo yeye ni mtaalam Wa hizo dawa . niwasiliane nae kama anazo na bei yake kisha wakanisihi. Niwajulishe.. Huyu Mohammed akaniambia mzigo anao na bei ni tsh 900000. Kwa chupa. Na kama ntachukua mzigo mkubwa atafanya. 850000. Kwa kila chupa, akaniuliza je unahitajika kiasi gani? Nikamwambia asubiri niwaulize wanaohitaji.. Wakaniambia chupa 1000. Ila kama bei ndio hiyo nisubiri wanipe namba ya huyo mzungu yupo zamani kepinsik hotel kiwengwa Znzbr au wampe namba yangu anipigie.. Ila bei nimwambie. Na ning'ang"anie pale pale Kwenye 1.5 kwa chupa. Baada ya dakika kama kumi hivi nikapokea simu ya huyo anayejiita mzungu.. Kwa jinsi alivyokuwa akiongea sikua na shaka ni mmarekani. Au mwingereza. Akaniuliza kuhusu hizo dawa na kama Nina uhakika ndizo na kama naweza kuwa mletaji wao Mpya. Akaniuliza bei kama kawa nikamtajia ile niloyoambiwa.. Akaniuliza ningependa zilipwe kwa dollar au tsh nikamwambia vyovyote akajibu wana dollar. Nisubiri wachange au kama Niko radhi nimpelekee sampuli aende akaione kisha ikibidi niondoke nae tukauchukue mzigo tumalize biashara.. Wakati huo huyu Wa kigoma muda wote anapiga simu kuulizia kila hatua akisisitiza nisimsahau kwa chochote. Ngoma ilikuwa kupata hiyo sampuli ya dawa bwana Mohammed akasema yuko busy hawezi toka kwenda onana na Hugo mzungu.. Ila kama nataka biashara nichukue sample nimpelekee. Lakini hiyo sample hatoi bure lazima ilipiwe. Ili nikipotea pesa yake ibaki. Na wakati huo yule mzungu ananipigia simu kuwa niokoe muda maadam mzigo umepatikana angependa aondoke mchana huohuo kurudi kazini kwake hivyo nifanye haraka kupeleka hiyo sample.. !! Nikawa sins budi kulipa hiyo pesa tsh 850000. Badala ya 900000. Nikatumiwa akaleta hiyo chupa nikiambiwa Huyo Dr yuko busy kiasi. Nikampa pesa Hugo kijana na kuanza mbio za kwenda huko hotel.nikiwa njiani akanipigia mwingine kutoka eti Kenya nipeleke sample mbili nikakataa. Nilipofika getini. Nikauliza kuhusu Hugo mzungu Mr Thompson wakabaki wananishangaa nikaulizwa room namba sikuwa na jibu nikaambiwa nimpigie simu.. Hapo ndio nikipogundua ulikuwa mchezo namba zote zikawa hazipatikani. Siyo ya kigoma, ya Dr mohammed, yule mkenya wala kijana aliyeniletea huo mzigo...!!! Nilipopeleka kwa mkemia mkuu wa serikali znbr nikaambiwa nimepigwa. Costic food product. Sikumbuki vema jina la hiyo dawa. Kama ni hilo hapo juu ama laa.!
 
Mmmmmm hii style naiskia sana mara vifaa vya matrekta... Mara bidhaa za kitalii huwa nashindwa kujua wanakutapeli vipi lkn sasa nimejua....

Vp ukimkomalia mzungu atoe kwanza advance kabla ya kupeleka sampul inakiwaje? Au huyo alokuunganisha atoe hiyo advance ili uje um refund na riba juu....

Any way hawa jamaa wanakuwa wamejipanga kwel kwel...
 
nilishaga wahi kulizwa kwa njia ya mitandao m-pesa.
jamaa mmoja alihack(mpaka leo sijajua aliwezaje) namba ya bosi wangu, kisha jamaa akanitumia ujumbe huu' NITUMIE 130,000/= KWENYE NAMBA HII 075.......(nishaisahau) simu yangu imeshiwa moto".
siku ile sikuwa na balance salio kwenye simu, na niliona uvivu kuweka ili nimuulize, na kwa vile haikuwa mara ya kwanza kupokea ujumbe kama huo kutoka kwa boss wangu nikatuma kweli. daaah nilikuja kugundua kuwa nimeibiwa baada ya yule jamaa(tapeli) anani text sms ya kuniomba nimtumie tena 120,000/= ndipo nikastuka kwa vile boss wangu ataombaje hela nyingine ilihali fedha ya mauzo hata yeye anaijua ilikuwa 140K. NILILIA SANA kwa vile ndio kwanza nilikuwa natoka kijijin na mshahara wenyewe ni 50,000. ndipo iliponibidi nifanye kazi miezi mitatu bila malipo SITASAHAU!!
Duh pole sana
 
ila unajua matapeli technic wanazotumia huwa zinafanana,me mwenyewe kuna mamdogo wangu mwanake amewahi kuwekwa mgahawani na majamaa walimkuta njian anacheza wakamwambia "twende tukale" dogo akakubali lakin baada ya kula wakazuga wanatoka kidogo,wakirud ndo watalipa na watamchukua mtoto wao,ndo wakasepa jumla wakambana dogo akasema hawajui (huku analia) nda wakamrudisha dogo home kwao.na hata dogo mwenyewe anachukiaga watu wakihadithia hyo story maana saiv amekuwa mkubwa.hzo znatokeaga znafanana maana technic ni moja.
Mamdogo mwanake
 
Memory yako iko juu sana! Yaani ulimkumbuka sah [emoji2]
Ni aina ya mtu huwezi kumsahau, alafu yale ndio maeneo yake ya kujidai wana maboss wao wanaowatuma tena wako very smart huwezi amini.....ila huyo dogo mchafu mchafu tu na li hirizi lake kwenye mfuko wa pensi.....namuonaga pale naangalia tu watu wanavyolizwa pale.
 
Nakumbuka nilikuwa Zanzibar 2011 nikiwa kwa shughuli zangu nikapigiwa simu na mtu aliyejifanya yuko kigoma na amepewa namba yangu na rafiki yangu aliye uingereza, baada ya kumuuliza kama kuna mtu mwaninifu na anaeweza kuwasaidia kupata dawa za kuhifadhia chakula, cha wakimbizi huko kigoma.! Kifupi alidai yeye anafanya kazi hapo na kuna dawa inahitajika sana ya kuhifadhi hicho chakula imeadimika huko isipokuwa inapatikana Znzbr sbbu inaingizwa kutoka commoro kuhusu bei. Walidai wao walikuwa wakinunua tsh 1.5 milion kwa chupa kwa mletaji wao. Lakini kawapandishia sana bei mpaka 2.5 million.. Hivyo Hugo mzungu ambaye ndio mkuu anatafuta mletaji Mpya Wa bei nafuu. Nikapewa namba ya Dr. Anayejiita Mohammed. Yupo mahonda kilipokuwa kiwanda cha sukari.. Kuwa ndie alikuwa na huo mzigo yeye ni mtaalam Wa hizo dawa . niwasiliane nae kama anazo na bei yake kisha wakanisihi. Niwajulishe.. Huyu Mohammed akaniambia mzigo anao na bei ni tsh 900000. Kwa chupa. Na kama ntachukua mzigo mkubwa atafanya. 850000. Kwa kila chupa, akaniuliza je unahitajika kiasi gani? Nikamwambia asubiri niwaulize wanaohitaji.. Wakaniambia chupa 1000. Ila kama bei ndio hiyo nisubiri wanipe namba ya huyo mzungu yupo zamani kepinsik hotel kiwengwa Znzbr au wampe namba yangu anipigie.. Ila bei nimwambie. Na ning'ang"anie pale pale Kwenye 1.5 kwa chupa. Baada ya dakika kama kumi hivi nikapokea simu ya huyo anayejiita mzungu.. Kwa jinsi alivyokuwa akiongea sikua na shaka ni mmarekani. Au mwingereza. Akaniuliza kuhusu hizo dawa na kama Nina uhakika ndizo na kama naweza kuwa mletaji wao Mpya. Akaniuliza bei kama kawa nikamtajia ile niloyoambiwa.. Akaniuliza ningependa zilipwe kwa dollar au tsh nikamwambia vyovyote akajibu wana dollar. Nisubiri wachange au kama Niko radhi nimpelekee sampuli aende akaione kisha ikibidi niondoke nae tukauchukue mzigo tumalize biashara.. Wakati huo huyu Wa kigoma muda wote anapiga simu kuulizia kila hatua akisisitiza nisimsahau kwa chochote. Ngoma ilikuwa kupata hiyo sampuli ya dawa bwana Mohammed akasema yuko busy hawezi toka kwenda onana na Hugo mzungu.. Ila kama nataka biashara nichukue sample nimpelekee. Lakini hiyo sample hatoi bure lazima ilipiwe. Ili nikipotea pesa yake ibaki. Na wakati huo yule mzungu ananipigia simu kuwa niokoe muda maadam mzigo umepatikana angependa aondoke mchana huohuo kurudi kazini kwake hivyo nifanye haraka kupeleka hiyo sample.. !! Nikawa sins budi kulipa hiyo pesa tsh 850000. Badala ya 900000. Nikatumiwa akaleta hiyo chupa nikiambiwa Huyo Dr yuko busy kiasi. Nikampa pesa Hugo kijana na kuanza mbio za kwenda huko hotel.nikiwa njiani akanipigia mwingine kutoka eti Kenya nipeleke sample mbili nikakataa. Nilipofika getini. Nikauliza kuhusu Hugo mzungu Mr Thompson wakabaki wananishangaa nikaulizwa room namba sikuwa na jibu nikaambiwa nimpigie simu.. Hapo ndio nikipogundua ulikuwa mchezo namba zote zikawa hazipatikani. Siyo ya kigoma, ya Dr mohammed, yule mkenya wala kijana aliyeniletea huo mzigo...!!! Nilipopeleka kwa mkemia mkuu wa serikali znbr nikaambiwa nimepigwa. Costic food product. Sikumbuki vema jina la hiyo dawa. Kama ni hilo hapo juu ama laa.!
Hawa jamaa ni lazima wawewakujua vizuri, wako wengi Sana, dawa za mifungo, bee stimulators, vinyago nk, huwa ni lazima katika wale Kuna mtu mmoja anskufahamu vizuri ndiyo mchezo huanza wa kitapeli, ila shida ni sisi wenyewe kutaka pesa ya haraka, ila ukituliza akili vizuri unwashinda hawachukua hata shilingi moja, wao watakuwa wamepoteza pesa yao ya kupiga simu, ila hawa jamaa ni professional wa utapeli, ni hatari.
 
baba yangun mzazi alitapeliwa milioni moja hvhv.akiwa njiani kwa miguu walikuja watu ghafla njiani/barabarani alipokuwa akitembea,wakamsimamisha na kuanza kumpanga,kwamba wao ni wafanya
Mamdogo mwanake
ila nina uhakika umeelewa,so lengo langu limetimia.pili umekosea kuni
Mamdogo mwanake
nimeandika "mamdogo wangu mwanake..." na sio "mamdogo mwanake..." anyway cha msingi umeelewa tatzo ujuaji mwingi.
 
Baba Mdogo alitapeliwa million 6 ambayo ni sehemu ya kiinua mgongo moshi mjini. Dereva taxi alimgeuka na kumuonesha bisto. Ushamba wa kijijini sidhani hata kama aliweza kukumbuka kwamba kuna namba ya taxi
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Unasema tunaotapeliwa ni wa kuja mkuu siyo hivyo haya magorofa ya mwanza yametukuta tukiwa tayari watoto wa mjini ila kutapeliwa ni kuzidiwa kete tu umeisha ila kwangu mimi sasa hivi huwezi kunitapeli tena nimejifunza sana na kutokuwaamini binadamu
Juzi nipo mwanza natoka makoroboi kuelekea kimondo kupanda gari navuka tu mataa akaja dogo bro vp barabara ya nyanza kabla sijamjibu alishanichomekea nimetoka geita akanipa business card ya mzungu inaonyesha na mfanyakazi wa ggm kidogo akaja mwingine alipo kuja wapili nikajua hawa ni matapeli ngoja niwazingue nikawaambia amnakazi ya kufanya nikaondoka zangu
 
Ni bora kutowapa muda maana huchelewi kuingia line
 
Mie niliwahi kutapeli
Katika harakati za kutafuta maisha nikajikuta mji wa watu...njaa inauma sana
kila nikiomba msosi watu hawanielewi.....
Nikaamua kuingia hotelini
Kuna jamaa ndio kwanza anaingia kukaa mezani nami nika kaa karibu nae
nikajifanya sauti imekakuka......
Nikamuomba aniagizie wali nyama na coke baridi kama yeye anavyoagiza(timing)
Akaita waita weka na hapa wali nyama na coke baridi,basi nikala fasta fasta dk.2 niko nje ya hoteli.
Teh teh..shida huleta maarifa
 
Back
Top Bottom