Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Na humu jamii forum matapeli wapo wengi tu kuna jamaa mmoja wa humu jamii forum kuna jamaa alikuwa anatafuta vitu vya mjeruman vya kale sasa mzee wangu hivyo vitu alikuwa navyo nikawa nimeongea nae mimi nilikuwa tabora hiyo ilikuwa mwaka jana mwez wa kumi na mbili nikimwambia nikiludi mbeya likizo ntakutafuta ili unipe maelekezo kama ni vyenyewe au la tukakubaliana jamaa nikawa namtafuta yupo kimya nikaamua kutafuta mtu mwingine kweli wale watu wakaja nyumbani na mzungu wakaona vitu vile ni kweli vya kijerumani kwa hiyo biashara ikafanyika mzee alipewa kiasi kingi tu cha pesa kama milioni mi tano hivi na kidogo yule jamaa nikampotezea mwanzoni mwa mwezi wa kwanza akanitafuta kuulizia nikamwambia mbona biashara ilisha fanyika na wewe nilikuwa nikikupigia simu haupokei mara unasema nikutafute siku nyingine kwa hiyo mi nikatafuta mtu mwingine jamaa alisikitika sana tukawa tumemaliza hivyo nilikaa kama siku tano hivi jamaa yule yule akanipigia sim kwa namba nyingine akajitambulisha kwa jina la peter kisumo nikamwambia mbona sikufaham akasema tulikutana wilayani nikamjib sikufahamu kaka basi akaanze ehee sisi ni kampun tunao suply vifaa vya kilimo kwa hiyo tunaomba uwe wakala wetu nikamuuliza maswali ikaonekana anajikanyaga kanyaga eti tuma laki tatu afu si tutakuludishia kama milion hivi nikamuuliza wewe unataka kufanya biashara na mimi laki tatu ya nini kwa kifupi ni kamwambia utapeli wa kijinga huo watu walisha acha hayo jamaaa alikata simu na hakupatikana tena nazani na laini alitupa.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Niliuziwa sabuni kariakoo badala ya cm..!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Kuna jamaa walikuja na mfuko umetuna kweli kuashiria kuna kitu kizito wakaniambia braza tuna gearbox ya rav4 tunaipeleka gereji ilikuwa mida ya saa tatu usiku nikafungua buti la gari wakapakia tukaondoka kufika nyamongoro mmoja akasema niazime 30000/= tukifika huko nitakupa zote na hii ya tripu nami kiroho safi nikampa kufika kisesa wakashuka wakasema wanachukua tairi kwa jamaa yao nilikaa kusubiri mpaka saa sita hawajafika nikaamua kuondoka nafika kijiwani kufungua niangalie hiyo gearbox aisee nilichoka kulikuwa na mawe kwenye mfuko nikawa nimeingizwa mjini ndani ya jiji stasahau
Duuuu hapo hadi hasira...
 
Na humu jamii forum matapeli wapo wengi tu kuna jamaa mmoja wa humu jamii forum kuna jamaa alikuwa anatafuta vitu vya mjeruman vya kale sasa mzee wangu hivyo vitu alikuwa navyo nikawa nimeongea nae mimi nilikuwa tabora hiyo ilikuwa mwaka jana mwez wa kumi na mbili nikimwambia nikiludi mbeya likizo ntakutafuta ili unipe maelekezo kama ni vyenyewe au la tukakubaliana jamaa nikawa namtafuta yupo kimya nikaamua kutafuta mtu mwingine kweli wale watu wakaja nyumbani na mzungu wakaona vitu vile ni kweli vya kijerumani kwa hiyo biashara ikafanyika mzee alipewa kiasi kingi tu cha pesa kama milioni mi tano hivi na kidogo yule jamaa nikampotezea mwanzoni mwa mwezi wa kwanza akanitafuta kuulizia nikamwambia mbona biashara ilisha fanyika na wewe nilikuwa nikikupigia simu haupokei mara unasema nikutafute siku nyingine kwa hiyo mi nikatafuta mtu mwingine jamaa alisikitika sana tukawa tumemaliza hivyo nilikaa kama siku tano hivi jamaa yule yule akanipigia sim kwa namba nyingine akajitambulisha kwa jina la peter kisumo nikamwambia mbona sikufaham akasema tulikutana wilayani nikamjib sikufahamu kaka basi akaanze ehee sisi ni kampun tunao suply vifaa vya kilimo kwa hiyo tunaomba uwe wakala wetu nikamuuliza maswali ikaonekana anajikanyaga kanyaga eti tuma laki tatu afu si tutakuludishia kama milion hivi nikamuuliza wewe unataka kufanya biashara na mimi laki tatu ya nini kwa kifupi ni kamwambia utapeli wa kijinga huo watu walisha acha hayo jamaaa alikata simu na hakupatikana tena nazani na laini alitupa.
Huyo jamaa ni tapeli mwanafunzi
 
Unajua mtu anapoongea kuhusu kutapeliwa, kama hujawahi tapeliwa huwezi amini lakini omba yasikukute, hata nyasi ikikugusa utakuwa unahisi kama unataka kutapeliwa!
Ni kweli mtu anaweza kukuona boya lakn yeye akatapeliwa utapeli wa kizamani kabisa..... Hapo hakuna formula
 
historia isiyosahaulika nilipigiwa cm na majamaa wakiact kuwa ni meneja wa soroi lodge serengeti wakasema ameongea na rubani moja anayetoka zanzibar kwenda huko kuchukua wageni atakuja kutupitia manyara airport.kaomba nimtumie hela kwenye cm yake ya deperture fee na get fee kama 210000.dah baada yakutuma hizo hela hakupokea cm tena na akaja kufunga cm
 
Hii ilimtokea mshikaji wangu ambaye ni kinyozi.
Kuna siku saluni mwake alikuja njemba moja smart mwenye mmbuna wa kutosha huku kaongozana na dogo janja mmoja hivi. Basi yule mshikaji akakaa kwenye kiti na kuanza kuchagua staili aliyopenda kunyolewa.
Mshikaji akamnyoa kwa ustadi mkubwa sana. Kiukweli mwana alitokelezea, baada ya hapo akamwambia yule dogo alie ingia nae saluni akae kitini ili nae anyolewe huku akitoa msisitizo mnyoe nywele zote huyu dogo maana ni mwanafunzi.
Baada ya maelekezo hayo akatoka nje akasema nakuja sasa hivi mnyoe vizuri. Basi jamaa akajipinda akamnyoa dogo vizuri alivyo maliza akamwonyesha dogo kiti akae huku akisubiri jamaa arudi alipe hela na amchukue mdogo wake.
Lakini masaa yakawa yana yoyoma tu jamaa haonekani. Mara giza likaanza kuingia ikabidi mshikaji amhoji dogo maana wasiwasi ulianza kumwingia.
Jamaa"kaka yako mbona harudi tu!?!?'
Dogo" yule sio kaka yangu hata simjui alinikuta nacheza akaniambia twende tukanyoe saluni'

Daah!!!! Pale pale jamaa akajua kesha ingizwa mjini. Ikabidi sasa afunge saluni amrudishe dogo kwao maana dogo nae alikua kaanza kumwaga chozi. Dhahama ya kuanza kutafuta mtaa anaotokea dogo ikaanza bahati nzuri alifanikiwa. Ingawa toka siku hiyo malipo kwanza saluni kwake.
 
Mkuu Mushi92 yaani nilibaki najicheka mwenyewe duh mawe kuwa gearbox
 
Niliuziwa sabuni kariakoo badala ya cm..!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi nafurahi watu wanavyojicheka wakati siku hiyo unatapeliwa ulikuwa mdogo kama piliton [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] na mimi yamenikuta
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Me walikuja wale jamaa wa bank ooh nina dola elf50 sijui kwakubadlisha nikamwambia subiri niweke hzi zangu mil12 nikupeleke mbn alijifnya anaongea na simu hakurudi
 
Hii ilimtokea mshikaji wangu ambaye ni kinyozi.
Kuna siku saluni mwake alikuja njemba moja smart mwenye mmbuna wa kutosha huku kaongozana na dogo janja mmoja hivi. Basi yule mshikaji akakaa kwenye kiti na kuanza kuchagua staili aliyopenda kunyolewa.
Mshikaji akamnyoa kwa ustadi mkubwa sana. Kiukweli mwana alitokelezea, baada ya hapo akamwambia yule dogo alie ingia nae saluni akae kitini ili nae anyolewe huku akitoa msisitizo mnyoe nywele zote huyu dogo maana ni mwanafunzi.
Baada ya maelekezo hayo akatoka nje akasema nakuja sasa hivi mnyoe vizuri. Basi jamaa akajipinda akamnyoa dogo vizuri alivyo maliza akamwonyesha dogo kiti akae huku akisubiri jamaa arudi alipe hela na amchukue mdogo wake.
Lakini masaa yakawa yana yoyoma tu jamaa haonekani. Mara giza likaanza kuingia ikabidi mshikaji amhoji dogo maana wasiwasi ulianza kumwingia.
Jamaa"kaka yako mbona harudi tu!?!?'
Dogo" yule sio kaka yangu hata simjui alinikuta nacheza akaniambia twende tukanyoe saluni'

Daah!!!! Pale pale jamaa akajua kesha ingizwa mjini. Ikabidi sasa afunge saluni amrudishe dogo kwao maana dogo nae alikua kaanza kumwaga chozi. Dhahama ya kuanza kutafuta mtaa anaotokea dogo ikaanza bahati nzuri alifanikiwa. Ingawa toka siku hiyo malipo kwanza saluni kwake.
Mzee hii stori mbona ya kitambo sana... Ila umeedit vizuri
 
kutapeliwa hakuna mwenyewe km hujawai omba yasikukute binafsi sijawai kutapeliwa ila nimewai kupoteza vitu kizembe sana
 
Hii ilimtokea mshikaji wangu ambaye ni kinyozi.
Kuna siku saluni mwake alikuja njemba moja smart mwenye mmbuna wa kutosha huku kaongozana na dogo janja mmoja hivi. Basi yule mshikaji akakaa kwenye kiti na kuanza kuchagua staili aliyopenda kunyolewa.
Mshikaji akamnyoa kwa ustadi mkubwa sana. Kiukweli mwana alitokelezea, baada ya hapo akamwambia yule dogo alie ingia nae saluni akae kitini ili nae anyolewe huku akitoa msisitizo mnyoe nywele zote huyu dogo maana ni mwanafunzi.
Baada ya maelekezo hayo akatoka nje akasema nakuja sasa hivi mnyoe vizuri. Basi jamaa akajipinda akamnyoa dogo vizuri alivyo maliza akamwonyesha dogo kiti akae huku akisubiri jamaa arudi alipe hela na amchukue mdogo wake.
Lakini masaa yakawa yana yoyoma tu jamaa haonekani. Mara giza likaanza kuingia ikabidi mshikaji amhoji dogo maana wasiwasi ulianza kumwingia.
Jamaa"kaka yako mbona harudi tu!?!?'
Dogo" yule sio kaka yangu hata simjui alinikuta nacheza akaniambia twende tukanyoe saluni'

Daah!!!! Pale pale jamaa akajua kesha ingizwa mjini. Ikabidi sasa afunge saluni amrudishe dogo kwao maana dogo nae alikua kaanza kumwaga chozi. Dhahama ya kuanza kutafuta mtaa anaotokea dogo ikaanza bahati nzuri alifanikiwa. Ingawa toka siku hiyo malipo kwanza saluni kwake.
Hii sio kweli. Ni hadithi ya kijiweni tu. Na tena kuna versions nyingi za hii hadithi. Kuna ya kusimulia kuwa walienda kwa mpiga viatu rangi, akapiga cha njemba akaondoka na dogo alipoambiwa subiri dingi aje ndio akasema simjui ila ameniambia twende ukapige viatu vyako rangi ya bure.
 
Na humu jamii forum matapeli wapo wengi tu kuna jamaa mmoja wa humu jamii forum kuna jamaa alikuwa anatafuta vitu vya mjeruman vya kale sasa mzee wangu hivyo vitu alikuwa navyo nikawa nimeongea nae mimi nilikuwa tabora hiyo ilikuwa mwaka jana mwez wa kumi na mbili nikimwambia nikiludi mbeya likizo ntakutafuta ili unipe maelekezo kama ni vyenyewe au la tukakubaliana jamaa nikawa namtafuta yupo kimya nikaamua kutafuta mtu mwingine kweli wale watu wakaja nyumbani na mzungu wakaona vitu vile ni kweli vya kijerumani kwa hiyo biashara ikafanyika mzee alipewa kiasi kingi tu cha pesa kama milioni mi tano hivi na kidogo yule jamaa nikampotezea mwanzoni mwa mwezi wa kwanza akanitafuta kuulizia nikamwambia mbona biashara ilisha fanyika na wewe nilikuwa nikikupigia simu haupokei mara unasema nikutafute siku nyingine kwa hiyo mi nikatafuta mtu mwingine jamaa alisikitika sana tukawa tumemaliza hivyo nilikaa kama siku tano hivi jamaa yule yule akanipigia sim kwa namba nyingine akajitambulisha kwa jina la peter kisumo nikamwambia mbona sikufaham akasema tulikutana wilayani nikamjib sikufahamu kaka basi akaanze ehee sisi ni kampun tunao suply vifaa vya kilimo kwa hiyo tunaomba uwe wakala wetu nikamuuliza maswali ikaonekana anajikanyaga kanyaga eti tuma laki tatu afu si tutakuludishia kama milion hivi nikamuuliza wewe unataka kufanya biashara na mimi laki tatu ya nini kwa kifupi ni kamwambia utapeli wa kijinga huo watu walisha acha hayo jamaaa alikata simu na hakupatikana tena nazani na laini alitupa.
Vitu gani vya mjerumani vya kale ulikuwa navyo?
 
Nakumbuka ilikuwa miaka ya tisini mwanzoni,brother wangu alitapeliwa mnazi mmoja pale. Siku hiyo asubuhi aliaga anaenda shule boarding iringa,akaondoka na baraka zote za wazazi,ghafla saa nne asubuhi asharudi home anahema kichizi,wazee wakamuuliza kulikoni hujaenda shule?akawakusanya wazazi chumbani wakajifungia mi nikawa nachungulia ,bro akatoa kidude flan hivi nikamsikia anasema dhahabu,aisee wazee wakaenda funga mageti yote nje,bro akawaambia alikutana na msukuma stand eti aliokota hiko kidude ila yeye hakitaki kimeandikwa GOLD FIRST CLASS FROM ..nimesahau jina la mgodi akaamua mpa nauli ya ke ya bus to iringa na poketi money yote. Aisee ile ishu iliwachanganya wazee wakajua utajiri huu. Milango imefungwa home hamna wa kutoka mpaka mimi wanani ignore,ikafika usiku wa saa nne wakatoka kwenda kwa mzee jirani yeye mtaalam wa madini hahaha,yule mzee akawasha stovu akayaiunguza yale mawaya dooh yakawa meupe na biashara ikaishia hapo.
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23] hii kubwa kuliko.

Pokea zawadi ya 'Like'
 
Sio mimi nilio kuwa navyo vilikuwa vya mzee nae alipewa na babu kulikuwa na pas na machupa flani hivi ambazo ukiweka kwenye jua mida ya saa sita au saba zinaonyesha misijiti na kulikuwa na bilika moja ambalo ukiweka wembe unanasa na ukiweka kalibu na radio lazima izime.
 
Back
Top Bottom