Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Hakuna mtu anaweza jitapa kua tapeli hawezi mtapeli. Wako vzr sana hawa jamaa
Nilimsainisha mkataba..akajua kwamba sitofatilia..nikampa hela halaf alivyomjinga afadhali hata angekuwa anaenda kupiga dili..akaenda kupangishia demu wake mpya room na kumnunulia fenicha,mziki,tv,friji na matakataka mengine...Basi mi nikakomaa nae mpaka analipa deni hela za usumbufu.Anajuta sasa hivi..ilikuwaje mkuu...mwaga maujanja hapa
Mimi huwezi kunitapeli, period. Kuniibia inawezekana lakini sio kunitapeliHakuna mtu anaweza jitapa kua tapeli hawezi mtapeli. Wako vzr sana hawa jamaa
Yaani mie hapa ndo nacheka kama tahiraHuyo wa madini ndio kanichekesha sana,anaibiwa hadi na msukuma??
Kweli kila nyani na mlima wake.
Hebu fafanua basi mamii.Mi nishawahi temeshwa nywele na simu wakabeba hhahaaaaa mweee
Duuh hujaacha mambo yako kha?wewe ni taira jinga kabisa unatapeliwa mara 3 same game unakuja kubwabwaja hapa tukusaidie nini sasa.
swissme
Mamii nina hamu ya kujua ilikuwaje lakini na ulisikiaje?Waliniingiza kingi kiulainiii
Aisee mimi nina funfumark na ile yenye simba mbili na mnazi,pia nina bastola ya kijerumani,pasi ya kijerumani,njoo PM nikufahamishe zaidi coz nina vitu vingi nilifukua kule Amboni Tanga sitaki kuvitaja hapa sababu naogopa matapeli.Sio mimi nilio kuwa navyo vilikuwa vya mzee nae alipewa na babu kulikuwa na pas na machupa flani hivi ambazo ukiweka kwenye jua mida ya saa sita au saba zinaonyesha misijiti na kulikuwa na bilika moja ambalo ukiweka wembe unanasa na ukiweka kalibu na radio lazima izime.
Nlishaeleza kule juu my, akili iliporudi nilianza kujicheka tu yan ndan ya dk20 wameniliza simu na hela kama elfu20Mamii nina hamu ya kujua ilikuwaje lakini na ulisikiaje?
Dooh basi pole win,hata hivyo najua utakuwa na simu mpya na nywele mpya maana kwa jinsi ulivyo mrembo,daaah hata mimi naweza nikakulipa hiyo hasara mamii.Nlishaeleza kule juu my, akili iliporudi nilianza kujicheka tu yan ndan ya dk20 wameniliza simu na hela kama elfu20
Aisee mimi nina funfumark na ile yenye simba mbili na mnazi,pia nina bastola ya kijerumani,pasi ya kijerumani,njoo PM nikufahamishe zaidi coz nina vitu vingi nilifukua kule Amboni Tanga sitaki kuvitaja hapa sababu naogopa matapeli.
Vitu gani?Vipi unahitaji hivo vitu au?
Mavitu ya Kijerumani bro,yaani kwa wingi mno hadi yanapata kutu ndani mwangu,changamkia deal na wewe utoke uwe billionaire wa Arusha au vipi?Vitu gani?
Ilikuwaje mkuuPale Manispaa ya Kinondoni ndani wamejaa matapeli usipime.
Niliponea chupuchupu...namshukuru afande mmoja pale Usalama Magomeni aliyepita na kuniona kisha kuniita, la sivyo ningekuwa jela sasa hivi.
Ile siku nikiikumbuka....najiona mjinga sana