Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

Duuu kumbe na ww ilikukumba... Ile msg ilitapeli wengi sana
Mimi nilitapeliwa na wanaijeria wale wa mtandaoni. Walinitapeli laki tano mwaka2008.Kuna mna ijeria mmoja mdada aliomba urafiki fb akadai yeye ni mtoto wa mchungaji nk, eti wazazi wake wamefariki na wameacha pesa benki kwa hiyo nimsaidie aweke kwenye akaunti yangu. Urafiki uliendelea,nilikuja kujitambua baada ya kuibiwa, kumbe yalikuwa matapeli sugu, nilijuta kuwafahamu
 
Loooooh wewe ndo yule wa mwanza?

Asikuambie mtu ukishatapeliwa halafu ukaja ukafikiria jinsi walivyokutapeli lazima ucheke tu na kujiona kama mjinga yaani mimi nikikumbuka mawe ndani ya mfuko naambiwa ni Gearbox ya Rav4 huwa nacheka sana nikaunguza mafuta yangu na 30000/= zikaenda duh mjini timing tu ukiwahiwa huna ujanja
 
Mwaka 2014 wakati nafanya kazi kwenye duka la mwarabu mmoja pale Quality centre alikua ni agent wa kampuni ya Apple, so lilikua ni duka la kuuza vifaa Original vya apple tu, sinto sahau ilikua cku ya jumanne huku kamvua kana nyesha, walikuja wanaijeria wanne wakawa wanashida na laptops na desktops za Apple, kama kawaida nikawakaribisha vizuri wakahitaji kumuona mwenye duka,wakampa list ya vitu walikua wanahitaji tukapiga hesabu cntosahau total ilikua 25,450,000.jamaa wakasema hii hela ni kubwa sana ni too risk kubeba phisical cash kuja kulipa, wakadiscus na mwenye duka kwasababu walikua hawana cheque wakakubaliana watalipa kwa ku swipe card kwenye POS mashine iliyo kuepo pale ofisini.
Mwenye duka akasema sawa, wakaswipe card kwenye POS, transaction ikasoma successful risiti ikatoka then tukawafungia mzigo vizuri wakachukua wakasepa, jioni mwenye duka anaenda kuchek pesa kwenye acc anakuta hamna hela, kumbe ile card yao ilikua imekua programmed kwa jinsi wanavyojua wao so everthing was fake, kuanzia transaction mpaka card, mpaka risiti ilotoka kwenye POS, yani kila kitu kilikua ni fake.
Hadi contacts walikua wame exchange na boss nazo zilikua ni fake coz zlikua hazipatikani.
Kwa mara ya kwanza cku hyo ndo nilimuona mualabu akitoa mchozi.
Ckuwahi kujua walifanyafanya vipi mpaka POS nayo ikashndwa ku detect, ila that was one hell of a move.IT ilihusika sana hasa kwenye kuiprogram ile card.
25M ilikua nikama imedumbukizwa chooni pwaa, dah asikuambie mtu utapeli hauna mjanja ni kama kifo tu cku yako ikifika imefika.
Tangu ckui hyo yani mi mtu akijitambulisha kua ni mnijeria nnamwangalia kwa macho manne.
 
Mim juz tu kariakoo pale nlliuziwa sabuni badala ya Simu C5 alionionesha kwa Elf 30000 dah sitkuja sahau
 
Binafsi nimejaaliwa kumtambua tapeli kabla ya kutimiza lengo lake.
 
Mwaka 2014 wakati nafanya kazi kwenye duka la mwarabu mmoja pale Quality centre alikua ni agent wa kampuni ya Apple, so lilikua ni duka la kuuza vifaa Original vya apple tu, sinto sahau ilikua cku ya jumanne huku kamvua kana nyesha, walikuja wanaijeria wanne wakawa wanashida na laptops na desktops za Apple, kama kawaida nikawakaribisha vizuri wakahitaji kumuona mwenye duka,wakampa list ya vitu walikua wanahitaji tukapiga hesabu cntosahau total ilikua 25,450,000.jamaa wakasema hii hela ni kubwa sana ni too risk kubeba phisical cash kuja kulipa, wakadiscus na mwenye duka kwasababu walikua hawana cheque wakakubaliana watalipa kwa ku swipe card kwenye POS mashine iliyo kuepo pale ofisini.
Mwenye duka akasema sawa, wakaswipe card kwenye POS, transaction ikasoma successful risiti ikatoka then tukawafungia mzigo vizuri wakachukua wakasepa, jioni mwenye duka anaenda kuchek pesa kwenye acc anakuta hamna hela, kumbe ile card yao ilikua imekua programmed kwa jinsi wanavyojua wao so everthing was fake, kuanzia transaction mpaka card, mpaka risiti ilotoka kwenye POS, yani kila kitu kilikua ni fake.
Hadi contacts walikua wame exchange na boss nazo zilikua ni fake coz zlikua hazipatikani.
Kwa mara ya kwanza cku hyo ndo nilimuona mualabu akitoa mchozi.
Ckuwahi kujua walifanyafanya vipi mpaka POS nayo ikashndwa ku detect, ila that was one hell of a move.IT ilihusika sana hasa kwenye kuiprogram ile card.
25M ilikua nikama imedumbukizwa chooni pwaa, dah asikuambie mtu utapeli hauna mjanja ni kama kifo tu cku yako ikifika imefika.
Tangu ckui hyo yani mi mtu akijitambulisha kua ni mnijeria nnamwangalia kwa macho manne.
Daah kidogo nimsaidie mwarabu kulia
 
Nakumbuka ilikuwa miaka ya tisini mwanzoni,brother wangu alitapeliwa mnazi mmoja pale. Siku hiyo asubuhi aliaga anaenda shule boarding iringa,akaondoka na baraka zote za wazazi,ghafla saa nne asubuhi asharudi home anahema kichizi,wazee wakamuuliza kulikoni hujaenda shule?akawakusanya wazazi chumbani wakajifungia mi nikawa nachungulia ,bro akatoa kidude flan hivi nikamsikia anasema dhahabu,aisee wazee wakaenda funga mageti yote nje,bro akawaambia alikutana na msukuma stand eti aliokota hiko kidude ila yeye hakitaki kimeandikwa GOLD FIRST CLASS FROM ..nimesahau jina la mgodi akaamua mpa nauli ya ke ya bus to iringa na poketi money yote. Aisee ile ishu iliwachanganya wazee wakajua utajiri huu. Milango imefungwa home hamna wa kutoka mpaka mimi wanani ignore,ikafika usiku wa saa nne wakatoka kwenda kwa mzee jirani yeye mtaalam wa madini hahaha,yule mzee akawasha stovu akayaiunguza yale mawaya dooh yakawa meupe na biashara ikaishia hapo.
Hahahaha
 
Back
Top Bottom