Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,594
- 3,122
Nitarud
Acha kumtetea huyu babu.kuna mada kaanZisha haZina kichwa wala miguu mara aulize alipe Joshua Nasari,mara vijana waende jeshini,mara mama Mhe.Samia alegeze vyuma na Zingine nyingi.Humu tupo kwa ajili ya kujifunza na kukuza imani kwa Mwenyezi Mungu ila anatupia mistari kumi.Tunaandaliwa kwa sadaka.Ila babu stori tamu sana hiZi zote arosto na panicTuwe na subra, alishaema simu yake imeharibika, anatumia ya mwanafamilia na wakati mwingine mwenye simu anazingua
JF ,watu wana fake ID's sio ajabuIla we babu bwana. Ina maana umedanganya jinsia ulikua unatafuta nini sasa?View attachment 1747041
Mkuu hata kama simu ya mkeo jaribu kurefusha stori, kama hii umetunyima haki yetu ya msingi kabisaEndelea..
Tulitembea kama kilometa 30 kwa mguu kutoka kituoni mpaka anapoishi mtaaramu.
Tulilala siku moja kesho yake matibabu yalianza,hapo ilitubidi tukae mwezi mzima maana kuna dawa bado fundi hakuwa nazo alioteshwa usiku kwenda kuzichuma hizo dawa huko Mbarali ila sisi tuliwahi kufika tukakuta hizo dawa bado hajaenda kuzichuma .
Itaendelea...
Mandela kuna nini Mkuu?Lete vitu Mzee, Hivi unapafahamu Mandela au Makuyu?
Huyu ana maanaMkuu hata kama simu ya mkeo jaribu kurefusha stori, kama hii umetunyima haki yetu ya msingi kabisa
Duh mzee baba umetisha kwa huu ufupi asee. Hahaha 😂😂😂Endelea..
Tulitembea kama kilometa 30 kwa mguu kutoka kituoni mpaka anapoishi mtaaramu.
Tulilala siku moja kesho yake matibabu yalianza,hapo ilitubidi tukae mwezi mzima maana kuna dawa bado fundi hakuwa nazo alioteshwa usiku kwenda kuzichuma hizo dawa huko Mbarali ila sisi tuliwahi kufika tukakuta hizo dawa bado hajaenda kuzichuma .
Itaendelea...
Bundle la shillings mia halina adabu.Duh mzee baba umetisha kwa huu ufupi asee. Hahaha 😂😂😂
We Mzee Dish Litakua limeyumbaEndelea..
Tulitembea kama kilometa 30 kwa mguu kutoka kituoni mpaka anapoishi mtaaramu.
Tulilala siku moja kesho yake matibabu yalianza,hapo ilitubidi tukae mwezi mzima maana kuna dawa bado fundi hakuwa nazo alioteshwa usiku kwenda kuzichuma hizo dawa huko Mbarali ila sisi tuliwahi kufika tukakuta hizo dawa bado hajaenda kuzichuma .
Itaendelea...
Aisee mkuu naomba niendelee kwa niaba yako,najua ntapita mlemleEndelea..
Tulitembea kama kilometa 30 kwa mguu kutoka kituoni mpaka anapoishi mtaaramu.
Tulilala siku moja kesho yake matibabu yalianza,hapo ilitubidi tukae mwezi mzima maana kuna dawa bado fundi hakuwa nazo alioteshwa usiku kwenda kuzichuma hizo dawa huko Mbarali ila sisi tuliwahi kufika tukakuta hizo dawa bado hajaenda kuzichuma .
Itaendelea...
Yan anatia hasira kishenzi, watu kila saa tunachunglia jf hamna kitu!Sema huyu mzee anatuendesha kishenzi yaani sijui ndo anataka kutupeleka telegram