Jinsi nilivyosave 280k Jana, soma kisa!!

Kwa kukimbia kwako yawezekana kwa 50% ukawa umewatia kwenye sintofahamu au kwa 50% pia wakawa na mpunga wa kutosha huku wakikushangaa kutokomea gizani bila taarifa,
Kitendo cha kukuta wameagiza vinywaji kabla wewe hujafika hiyo ni dalili kuwa mfukoni mzigo upo, pia kitendo cha kuagiza chakula na kutoloka huo pia ni wizi,baada ya kuona huelewe pigo zao wewe ungesepa kimya tu mkuu
 
Ukiona mwanamke anakuja na mashosti zake wakati kinachomleta ni kubanduana, ujue lengo ni kufanya zoezi liwe gumu au lishindikane.
Naunga mkono kwa 100% alichofanya mtoa mada

Pamoja mkuu, Wanadhan hela inachimbwa
 
kwa mamlaka ninayojiipa nakupandisha che na kuwa Baharia Mkuu Mwandamizi daraja la II,


kuanzia leo huruhusiwi kuendesha gari tena.


chama kinakupa gari V8, dereva, mlinzi, mpishi na daktari.


aidha matumizi ya nyumbani kwako yatagharimiwa na chama.


utaapishwa makao makuu siku inayofuata.

nakutakia utumishi uliotukuka.


kutoka kurugenzi ya mawaikiano.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ahsante ndugu m/kiti
 
Kwa kukimbia kwako yawezekana kwa 50% ukawa umewatia kwenye sintofahamu au kwa 50% pia wakawa na mpunga wa kutosha huku wakikushangaa kutokomea gizani bila taarifa,
Kitendo cha kukuta wameagiza vinywaji kabla wewe hujafika hiyo ni dalili kuwa mfukoni mzigo upo, pia kitendo cha kuagiza chakula na kutoloka huo pia ni wizi,baada ya kuona huelewe pigo zao wewe ungesepa kimya tu mkuu

Nilimwambia agiza, shida hakunambia kama yuko na shost zake, me nafika pale nakuta vile nifanyaje mkuu?? Ningejilipua niingie cost??.
 
Mtu kama mimi sinywi pombe nikinywa kinywaji cha gharama sana ni juice ya ceres na gharama yake haizidi 5000 au soda.
Na juice hiyo moja tuu inatosha, soda labda mbili maana zinajaza tumbo.
Duuh najiona nilivyo mchafu kuoga.
Au labda kama unakaribisha na kijiji.
hahaha naomba nikutoe out.
 
Dah, sitaki kuimagine uliwaacha na hali gani hao mbuzi mbuzi 🤣🤣🤣 maana baada ya kushiba ni bill halafu mlipaji haonekani.

Sema kwa haraka haraka hao ni wadangaji tu. Unatongozaje mdangaji ukiwa hela huna.
Tangu nimeanza haya mambo sijawahi kuletewa kijiji, kuna mmoja tu ndo alwahi kuja na mdogo wake basi mdogo wake alikunywa soda ikawa imeenda fresh ila kijiji hakijawahi nikuta sijui siku kikinikuta itakuwaje...
 
Wakuu jana Mungu alikuwa upande wangu lasivyo nilikuwa naliwa pesa nyingi sana daah.

Wacha niwape mziki, kuna gashi mmoja hivi tulifahamiana 2 weeks ago mimi nilimvutia waya ngoma ika connekt mlemle. Ile ijumaa nilimpanga mtoto nikamwambia Jumamosi ya jana nimtoe out akasema fresh, lengo langu ilikuwa na kuchinja kabisa coz sijamla bado.

Jana akanicheki kama sa10 akasema tuna-meet wapi nikamwambia kwa kuwa upo Mbezi twende Kunduchi kuna bata kibao kule akanambia me natoka soon nikamwambia tangulia nitakukuta

Mwenzangu kumbe yupo na frends zake wawili mimi hata hajanambiaa, sa11 alikuwa maeneo tayari amefika akanicall nikamwambia agiza drinks me soon ntakuwa hapo.

Wakuu ile nafika maeneo nakuta wapo watatu dadeki halafu kila mmoja ana savannah 2 na pale savannah moja ni 8500 mara6 =51k nikasema leo naweza kufirisika na mimi nilikuwa nimetembea na 100k tu, coz nilijua hiyo pesa nyingi ingetosha.

Ikabidi nipige hesabu za fasta nikomae nionekane kidume nikadraw zingine ATM au nisepe tu coz nikaona mademi hawa watanifirisi tu, hao rafiki zake hata sijawai waona halafu wanaonekana wa mjini selfies nyingi, nikasema hawa hawanijui ngoja niwakomeshe pumbavu!!

Nikamwita waiter halafu nikamwambia alete sahani 4 za chips kuku, nikajipigia kwa simu nyingine nikapokea nikawambia ngoja nipokee simu ya boss. Huyo nikatoka getini chukua bajaji motoo nikazima na simu ili wapambane huko huko. Nikarudi home nikaanza watch movie.Mpaka sasa sijawasha hii simu ya TiGo sijui kiliendelea nini huko

Hesabu za haraka kwa pesa niliyosave jana
Chips kuku sahan1=25k x 4= 100k
Wale madem wangekunywa savanna5 kwa mmoja 5x3=15x8500=127,500
Uber 20k, binti angetaka pesa =30k
TOTAL= 277,500/=

Hizi pesa nimesave wakuu, wote tukiwa kama mimi hawa lazima wanyooke
Hao wamedekishwa vyoo hao
 
Tangu nimeanza haya mambo sijawahi kuletewa kijiji, kuna mmoja tu ndo alwahi kuja na mdogo wake basi mdogo wake alikunywa soda ikawa imeenda fresh ila kijiji hakijawahi nikuta sijui siku kikinikuta itakuwaje...

Utafanyaje mkuu
 
Back
Top Bottom