Jinsi nilivyosave 280k Jana, soma kisa!!

Jinsi nilivyosave 280k Jana, soma kisa!!

Ahhh mbona kutokunywa pombe si hoja...utawaeza tu mrembo....hata wewe ni Grade A..........

Brunch Hyatt.......... ....2 x 80,000 = 160,000
Supper & drinks Samaki........... .....=140,000
Late night clubbing with friends......= 100,000
Tips**since jamaa wakishua..... .....= 30,000
Grand total ...................................... 430,000
** ukijumlisha vocha za simu, gas/ ama uber for transportation, Grade A beibeeeee
Mbaya zaidi unafika nae geto mboo inagoma kusimama 🤣🤣🤣
 
Basi Sawa
Nikiwa na dem mpya lazima nimuweke kwenye Grade AB au C siku ya ku meet nae mixer na show
A = 500,000/= per day
B = 300,000/= per day
C = 150,000/= per day

Kama kuna Mwanamke nahisi atatumia Chini ya hapo huyo ni mchafu kuoga hana hadhi ya kuwa na mimi.

Ni mwiko kurudi na hela Nyumbani
 
Ahhh mbona kutokunywa pombe si hoja...utawaeza tu mrembo....hata wewe ni Grade A..........

Brunch Hyatt.......... ....2 x 80,000 = 160,000
Supper & drinks Samaki........... .....=140,000
Late night clubbing with friends......= 100,000
Tips**since jamaa wakishua..... .....= 30,000
Grand total ...................................... 430,000
** ukijumlisha vocha za simu, gas/ ama uber for transportation, Grade A beibeeeee

Brunch Hyatt ndio nini[emoji134]
 
Afu ukienda piga dakika moja chaliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikiwa na dem mpya lazima nimuweke kwenye Grade AB au C siku ya ku meet nae mixer na show
A = 500,000/= per day
B = 300,000/= per day
C = 150,000/= per day

Kama kuna Mwanamke nahisi atatumia Chini ya hapo huyo ni mchafu kuoga hana hadhi ya kuwa na mimi.

Ni mwiko kurudi na hela Nyumbani
 
Kwa kukimbia kwako yawezekana kwa 50% ukawa umewatia kwenye sintofahamu au kwa 50% pia wakawa na mpunga wa kutosha huku wakikushangaa kutokomea gizani bila taarifa,
Kitendo cha kukuta wameagiza vinywaji kabla wewe hujafika hiyo ni dalili kuwa mfukoni mzigo upo, pia kitendo cha kuagiza chakula na kutoloka huo pia ni wizi,baada ya kuona huelewe pigo zao wewe ungesepa kimya tu mkuu
Kweli mkuu.kuwakimbia watoto hao hakujipanga uyu baharia
 
Mademu wa kibongo bana unampigia simu anakwambia ndo natoka unampigia baada ya muda unakwambia yupo kwenye uber baada ya muda anakupigia tupo hapa mlango wa kuingilia mbona hatukuoni si lazima utafute kitufe chekundu bahati nzuri tusimu twa nokia tunazima within a second unakazima kanapoa kama kamekufa
 
Enzi za ubachela nikiwa na washikaji zangu to have funny nilitumia TZS 300,000/- from saa saba mchana to 2 mid night- Asubuhi nilishindwa kwenda ofisini kwa hang over nilizo amka nazo.

Mchana baada a mwili kukaa sawa nilijiuliza peke yangu tu hivi kwetu hakuna watu wenye shida nikawasaidia kuliko kutumia kiasi kikubwa hivi kwa ajili ya anasa na starehe.

Tangu siku hiyo sijakunywa pombe mpaka leo ingawa sijamaliza shida za wanafamilia ila kiasi fulani nimepunguza matumizi kwa kiasi fulani.
 
Mambo ndo hayo sasa tuko njiani usikimbie tu
Haina mbaya. Agizeni
1. Bia kreti mbili
2. Nyama choma kilo 4 kama ipo
3. Maji ya kunywa lita 6
4. Kuku roast wa laki moja
5. Mengineyo

NB kama kuna mmoja wenu anakunywa soda au juice mfukuzeni ili hasije akajaza nzi.
 
Hebu njoo huku,, hii bajeti ni mtaji tosha

Back
Top Bottom