Jinsi nilivyosave 280k Jana, soma kisa!!

Jinsi nilivyosave 280k Jana, soma kisa!!

Ungemchana live kuwa nina bajeti kiasi hiki. So tule tunywe jua nina kiasi fulani ovaaaa.

Yeye mpaka kaja na wenzie wote watatu bila kukwambia, kwa mtu mzima kama ni mtu mzima kweli alijiweka fresh kabisa kama kuna dharura itatokea. Huwezi agiza tu vitu huku hukusema kuwa unakuja na kijiji kwa mtu mwenye akili timamu.
Huyo mwanamke alikuja kumkomoa jamaa acha aipate pate hiyo kitu kwenye kubet tunaiita BTTS [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao wamedekishwa vyoo hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nili expect angetukana, kwakuw kawa humble wacha nmpe ila kajifunza next time hatarudia afu kaomba msamaha🤣🤣🤣[emoji1436]‍♂️[emoji1436]‍♂️[emoji1436]‍♂️
 
Wakuu JF pesa zipo eeeh .... unatumia laki 5 kwa siku.

Hongera ni jambo nzuri kama mtu unaweza kutumia laki tano.
Jf kunamambo, kila mtu tajiri na weng wao ni maneno tu yaan matajir wa mdomon
 
Kaacha cm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kanicall so muda kwa namba ngeni anatia huruma. Maskin iphone yake[emoji23][emoji23], ila nmemwambia kesho aje kwangu nmpe cash akakomboe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] harudii huyo fala na alikuja kukukomesha akiijia hela hakikisha unakula papuchi na hyo ndio kanuni ya mabaharia .
 
Mam@e kabisa dem anakuja na ukooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wew usingeahangaika na bill za mashoga sabbu siyo wew uliewaita, wew ungedil na bill ya uliemwita BASI. Hao mashoga ndio wangedill na huyo ailewapeleka na km angetaka kukugeuzia sarafu ungemchana tu kuwa hukuwa na bajeti ya ziada. Hyo ndio faida ya kudate na vishangingi km si viwanachuo vya mjin
 
Tangu nimeanza haya mambo sijawahi kuletewa kijiji, kuna mmoja tu ndo alwahi kuja na mdogo wake basi mdogo wake alikunywa soda ikawa imeenda fresh ila kijiji hakijawahi nikuta sijui siku kikinikuta itakuwaje...
wana kamati ya "cha mtu huliwa na mtu" 🤣🤣🤣🤣
 
Dah, sitaki kuimagine uliwaacha na hali gani hao mbuzi mbuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana baada ya kushiba ni bill halafu mlipaji haonekani.

Sema kwa haraka haraka hao ni wadangaji tu. Unatongozaje mdangaji ukiwa hela huna.
Dah kweli wanaume tumetofautiana uhongaji!
Mtu ana laki lakini anaambiwa hela hana!
 
Wew usingeahangaika na bill za mashoga sabbu siyo wew uliewaita, wew ungedil na bill ya uliemwita BASI. Hao mashoga ndio wangedill na huyo ailewapeleka na km angetaka kukugeuzia sarafu ungemchana tu kuwa hukuwa na bajeti ya ziada. Hyo ndio faida ya kudate na vishangingi km si viwanachuo vya mjin

Angesababisha taharuki na jeshi la polisi halipendi hali ya taharuki [emoji23][emoji3]
 
Kuna wadada kama mimi ukinitoa out kula yangu hata 50k haifiki sinywi kilevi chochote, au niagize mavyakula kibao sina nayo uhakika wa kula au kumaliza naona ushamba tu.
Unasema ivo tu hajatokea wa kumvuluga tu kwako ukamuwinda vizuri! [emoji184]
 
Hongera sana mkuu ila kwa upande mwingine unaonekana mtu wa mijisifa wakati huna kitu, ki mjini mjini hakuna demu anaenda sehemu hana hela watakuwa wamekuona mshamba kukimbia wakati wao wako poa na kiji bill hicho wanamaliza wanaongeza wewe unateseka kuzima simu na ukija kuiwasha hukuti ata sms ya lawama sijui utajisikiaje .
 
Mtu kama mimi sinywi pombe nikinywa kinywaji cha gharama sana ni juice ya ceres na gharama yake haizidi 5000 au soda.
Na juice hiyo moja tuu inatosha, soda labda mbili maana zinajaza tumbo.
Duuh najiona nilivyo mchafu kuoga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au labda kama unakaribisha na kijiji.
Halafu hyo soda yenyewe unaagiza ukiwa akemi au level 8 sasa si Yale yale tu
 
Back
Top Bottom