Mungu akuongezee utajiri wa akili. una uelewa sanaaaaUkiona mwanamke kafika eneo la tukio mapema kabla yako jua apo kuna chawa wa ziada wanakuja ongeza bill na teyari wako kumpa company..mwanamke sifa yake kuchelewa
Ungepasuka tu mzee baba
Wakuu jana Mungu alikuwa upande wangu lasivyo nilikuwa naliwa pesa nyingi sana daah.
Wacha niwape mziki, kuna gashi mmoja hivi tulifahamiana 2 weeks ago mimi nilimvutia waya ngoma ika connekt mlemle. Ile ijumaa nilimpanga mtoto nikamwambia Jumamosi ya jana nimtoe out akasema fresh, lengo langu ilikuwa na kuchinja kabisa coz sijamla bado.
Jana akanicheki kama sa10 akasema tuna-meet wapi nikamwambia kwa kuwa upo Mbezi twende Kunduchi kuna bata kibao kule akanambia me natoka soon nikamwambia tangulia nitakukuta
Mwenzangu kumbe yupo na frends zake wawili mimi hata hajanambiaa, sa11 alikuwa maeneo tayari amefika akanicall nikamwambia agiza drinks me soon ntakuwa hapo.
Wakuu ile nafika maeneo nakuta wapo watatu dadeki halafu kila mmoja ana savannah 2 na pale savannah moja ni 8500 mara6 =51k nikasema leo naweza kufirisika na mimi nilikuwa nimetembea na 100k tu, coz nilijua hiyo pesa nyingi ingetosha.
Ikabidi nipige hesabu za fasta nikomae nionekane kidume nikadraw zingine ATM au nisepe tu coz nikaona mademi hawa watanifirisi tu, hao rafiki zake hata sijawai waona halafu wanaonekana wa mjini selfies nyingi, nikasema hawa hawanijui ngoja niwakomeshe pumbavu!!
Nikamwita waiter halafu nikamwambia alete sahani 4 za chips kuku, nikajipigia kwa simu nyingine nikapokea nikawambia ngoja nipokee simu ya boss. Huyo nikatoka getini chukua bajaji motoo nikazima na simu[emoji23][emoji23] ili wapambane huko huko. Nikarudi home nikaanza watch movie.Mpaka sasa sijawasha hii simu ya TiGo sijui kiliendelea nini huko[emoji1787]
Hesabu za haraka kwa pesa niliyosave jana
Chips kuku sahan1=25k x 4= 100k
Wale madem wangekunywa savanna5 kwa mmoja 5x3=15x8500=127,500
Uber 20k, binti angetaka pesa =30k
TOTAL= 277,500/=
Hizi pesa nimesave wakuu, wote tukiwa kama mimi hawa lazima wanyooke
Mmmh... Starehe gharama!! The highest I have paid kwa night moja ni 1.2M... Maison Club... Crazy!!
Mara ya kwanza nakutana na Dadii uso kwa uso nilimkuta eneo la tukio na alikuwa ameshakula, hapo nikamkuta anashushia kinywaji chake pendwa. Akanikaribisha niagize nnachopenda, niliagiza maji ya kunywa Kilimanjaro nusu lita tena ya moto.
Bili ilivokuja nikataka kulipa (mara nyingi huwa najihami kuchangia bili) alikataa na kulipa bili na mambo mengine yakaendelea....
Siku hiyohiyo ya kwanza tukiwa kwenye huo mgahawa, nilimfinya nae akaning'ata nikamtekenya yeye akanikumbatia kwanguvuuuuuu....
I just love this man, kemikali zetu zinachangamana vizuri sanaaaa.
Shout out to you Dadiiiii, uuuhuuuuuuuuu!!
Platinum Matata.
mkuu hebu nipe mfano wa grade A ambao una wahusudu ila sio wako but qualities zake umemuweka grade A (anaweza kua celebrity wa bongo au nnje au yeyote anaejulikana sana)Nikiwa na dem mpya lazima nimuweke kwenye Grade AB au C siku ya ku meet nae mixer na show
A = 500,000/= per day
B = 300,000/= per day
C = 150,000/= per day
Kama kuna Mwanamke nahisi atatumia Chini ya hapo huyo ni mchafu kuoga hana hadhi ya kuwa na mimi.
Ni mwiko kurudi na hela Nyumbani
Aiseee! [emoji119] was it a golden pu[emoji250]ssy or?Mmmh... Starehe gharama!! The highest I have paid kwa night moja ni 1.2M... Maison Club... Crazy!!
Aiseee! [emoji119] was it a golden pu[emoji250]ssy or?
Yaani bado kuna mademu wanaushamba wa kuja na marafiki zao.Wakuu jana Mungu alikuwa upande wangu lasivyo nilikuwa naliwa pesa nyingi sana daah.
Wacha niwape mziki, kuna gashi mmoja hivi tulifahamiana 2 weeks ago mimi nilimvutia waya ngoma ika connekt mlemle. Ile ijumaa nilimpanga mtoto nikamwambia Jumamosi ya jana nimtoe out akasema fresh, lengo langu ilikuwa na kuchinja kabisa coz sijamla bado.
Jana akanicheki kama sa10 akasema tuna-meet wapi nikamwambia kwa kuwa upo Mbezi twende Kunduchi kuna bata kibao kule akanambia me natoka soon nikamwambia tangulia nitakukuta
Mwenzangu kumbe yupo na frends zake wawili mimi hata hajanambiaa, sa11 alikuwa maeneo tayari amefika akanicall nikamwambia agiza drinks me soon ntakuwa hapo.
Wakuu ile nafika maeneo nakuta wapo watatu dadeki halafu kila mmoja ana savannah 2 na pale savannah moja ni 8500 mara6 =51k nikasema leo naweza kufirisika na mimi nilikuwa nimetembea na 100k tu, coz nilijua hiyo pesa nyingi ingetosha.
Ikabidi nipige hesabu za fasta nikomae nionekane kidume nikadraw zingine ATM au nisepe tu coz nikaona mademi hawa watanifirisi tu, hao rafiki zake hata sijawai waona halafu wanaonekana wa mjini selfies nyingi, nikasema hawa hawanijui ngoja niwakomeshe pumbavu!!
Nikamwita waiter halafu nikamwambia alete sahani 4 za chips kuku, nikajipigia kwa simu nyingine nikapokea nikawambia ngoja nipokee simu ya boss. Huyo nikatoka getini chukua bajaji motoo nikazima na simu[emoji23][emoji23] ili wapambane huko huko. Nikarudi home nikaanza watch movie.Mpaka sasa sijawasha hii simu ya TiGo sijui kiliendelea nini huko[emoji1787]
Hesabu za haraka kwa pesa niliyosave jana
Chips kuku sahan1=25k x 4= 100k
Wale madem wangekunywa savanna5 kwa mmoja 5x3=15x8500=127,500
Uber 20k, binti angetaka pesa =30k
TOTAL= 277,500/=
Hizi pesa nimesave wakuu, wote tukiwa kama mimi hawa lazima wanyooke
[emoji23] sio poa mzeeHahahaha
Yaani bado kuna mademu wanaushamba wa kuja na marafiki zao.
[emoji23] sio poa mzee
Matajiri wa nyuma ya keyboard au kwenye smartphone haoDuh,,,,,,,,,,,mkuu mimi naomba hiyo laki tano nianzishie biashara ya vocha boss; ahsante kwa kusikiliza ombi langu! Ubarikiwe sana
Ahhh mbona kutokunywa pombe si hoja...utawaeza tu mrembo....hata wewe ni Grade A..........Mtu kama mimi sinywi pombe nikinywa kinywaji cha gharama sana ni juice ya ceres na gharama yake haizidi 5000 au soda.
Na juice hiyo moja tuu inatosha, soda labda mbili maana zinajaza tumbo.
Duuh najiona nilivyo mchafu kuoga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au labda kama unakaribisha na kijiji.