Jinsi nilivyosave 280k Jana, soma kisa!!

Factor ya Grade A. Lazima niwe nimempora kwa Mtu. Lazima awe mwanamke wa hadhi. Sio Celeb. Pia Lazima awe Mwanafunzi wa Chuo.

Grade C. Ni hawa wa mitaani. Awe anajielewa na Cute.
mkuu hebu nipe mfano wa grade A ambao una wahusudu ila sio wako but qualities zake umemuweka grade A (anaweza kua celebrity wa bongo au nnje au yeyote anaejulikana sana)

kama hutojali nipe na grade B na malizia na C

NOTE:

Hao utaontajia sio wako ni wa wengine
 
Wenda mm Nina wivu wa siri, siwezi ambatana na mwanamke mwenzangu kwa bf wangu, never.

Kuna Shoga yangu Mara nyingi zamani alipenda nimsindikize kwa bwana wake, nilikuwa nakataa mpaka ananipigia magoti kuwa twende wote akwepe kulala nae ,yaan waonane afu turudi. Mhh siku moja akanilazimisha nikaenda shingo upande, kufika story, na kizuri mm na Shoga sote hatutumii pombe sana sana chakula na soda, mm Maji,
Eti Shoga alivyooenda washroom yule kaka kataka no yangu, nkamwambia acha umalaya umekosa nini kwa Shoga yangu? Oh Mara nini na nini nkaona upuuzi,

Fasta nikamtumia Shoga SMS tuondoke, alivyokuja tukasepa. Hawakufikaga hata mbali.
 
Hata Mimi siwezi! Nilivyo na wivu!
 
Slay queen's siku hizi ni mwendo wa savanna na Windhoek kubabek, big up kwenu wadada mnaokunywa Safari..... Mnatubeba kinyama.....
 
Mnatuangusha sana nyie watoto wa shule unawezaje kupanga appointment na binti wa watu huna hata 500K mfukoni?

Hawa viumbe wako kwa ajili yetu, acha uzwazwa tafuta hela.

Mtafute shekhe kipozeo akupe tuition
Mwanaume hakimbii bill.
Afterall familia yangu ni vegetarian, mbogamboga mwisho
 
Wenda mm Nina wivu wa siri, siwezi ambatana na mwanamke mwenzangu kwa bf wangu, never.

Kuna Shoga yangu Mara nyingi zamani alipenda nimsindikize kwa bwana wake, nilikuwa nakataa mpaka ananipigia magoti kuwa twende wote akwepe kulala nae ,yaan waonane afu turudi. Mhh siku moja akanilazimisha nikaenda shingo upande, kufika story, na kizuri mm na Shoga sote hatutumii pombe sana sana chakula na soda, mm Maji,
Eti Shoga alivyooenda washroom yule kaka kataka no yangu, nkamwambia acha umalaya umekosa nini kwa Shoga yangu? Oh Mara nini na nini nkaona upuuzi,

Fasta nikamtumia Shoga SMS tuondoke, alivyokuja tukasepa. Hawakufikaga hata mbali.
we mchoyo tuuu
 
Wakuu jana Mungu alikuwa upande wangu lasivyo nilikuwa naliwa pesa nyingi sana daah.

Wacha niwape mziki, kuna gashi mmoja hivi tulifahamiana 2 weeks ago mimi nilimvutia waya ngoma ika connekt mlemle. Ile ijumaa nilimpanga mtoto nikamwambia Jumamosi ya jana nimtoe out akasema fresh, lengo langu ilikuwa na kuchinja kabisa coz sijamla bado.

Jana akanicheki kama sa10 akasema tuna-meet wapi nikamwambia kwa kuwa upo Mbezi twende Kunduchi kuna bata kibao kule akanambia me natoka soon nikamwambia tangulia nitakukuta

Mwenzangu kumbe yupo na frends zake wawili mimi hata hajanambiaa, sa11 alikuwa maeneo tayari amefika akanicall nikamwambia agiza drinks me soon ntakuwa hapo.

Wakuu ile nafika maeneo nakuta wapo watatu dadeki halafu kila mmoja ana savannah 2 na pale savannah moja ni 8500 mara6 =51k nikasema leo naweza kufirisika na mimi nilikuwa nimetembea na 100k tu, coz nilijua hiyo pesa nyingi ingetosha.

Ikabidi nipige hesabu za fasta nikomae nionekane kidume nikadraw zingine ATM au nisepe tu coz nikaona mademi hawa watanifirisi tu, hao rafiki zake hata sijawai waona halafu wanaonekana wa mjini selfies nyingi, nikasema hawa hawanijui ngoja niwakomeshe pumbavu!!

Nikamwita waiter halafu nikamwambia alete sahani 4 za chips kuku, nikajipigia kwa simu nyingine nikapokea nikawambia ngoja nipokee simu ya boss. Huyo nikatoka getini chukua bajaji motoo nikazima na simu[emoji23][emoji23] ili wapambane huko huko. Nikarudi home nikaanza watch movie.Mpaka sasa sijawasha hii simu ya TiGo sijui kiliendelea nini huko[emoji1787]

Hesabu za haraka kwa pesa niliyosave jana
Chips kuku sahan1=25k x 4= 100k
Wale madem wangekunywa savanna5 kwa mmoja 5x3=15x8500=127,500
Uber 20k, binti angetaka pesa =30k
TOTAL= 277,500/=

Hizi pesa nimesave wakuu, wote tukiwa kama mimi hawa lazima wanyooke
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 kama wapo huku lazima wakudake aiseeeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa kukimbia kwako yawezekana kwa 50% ukawa umewatia kwenye sintofahamu au kwa 50% pia wakawa na mpunga wa kutosha huku wakikushangaa kutokomea gizani bila taarifa,
Kitendo cha kukuta wameagiza vinywaji kabla wewe hujafika hiyo ni dalili kuwa mfukoni mzigo upo, pia kitendo cha kuagiza chakula na kutoloka huo pia ni wizi,baada ya kuona huelewe pigo zao wewe ungesepa kimya tu mkuu

asilimia 95 ya wanawake wa hivyo wanakuaga na hela zao mfukon ila wamekuja kukuchuna, watakuwa walilipa ila roho iliwauma sana, wanawake hawapendag kulipa bill kubwa kubwa ilhali wanapendaga kutumia expensive stuffs, na hapo ndio tunapowaumizaga, mwanamke anaependa vitu vya gharama ili aonekane yupo class fulan huyu huwa tunamtengea budget yake na muda tukishammaliza tunakimbia, ndio mana utajiuliza mbona wanawake wazuri wazuri wengi hawaolewi kumbe ni ishue kama izo....OVA, MIC DROP!!!!!
 
We jamaa ni boya mizigo imejileta unaikimbia.
Ungewaambia twendeni geto una savanna kreti zima.
 
Wakuu jana Mungu alikuwa upande wangu lasivyo nilikuwa naliwa pesa nyingi sana daah.

Wacha niwape mziki, kuna gashi mmoja hivi tulifahamiana 2 weeks ago mimi nilimvutia waya ngoma ika connekt mlemle. Ile ijumaa nilimpanga mtoto nikamwambia Jumamosi ya jana nimtoe out akasema fresh, lengo langu ilikuwa na kuchinja kabisa coz sijamla bado.

Jana akanicheki kama sa10 akasema tuna-meet wapi nikamwambia kwa kuwa upo Mbezi twende Kunduchi kuna bata kibao kule akanambia me natoka soon nikamwambia tangulia nitakukuta

Mwenzangu kumbe yupo na frends zake wawili mimi hata hajanambiaa, sa11 alikuwa maeneo tayari amefika akanicall nikamwambia agiza drinks me soon ntakuwa hapo.

Wakuu ile nafika maeneo nakuta wapo watatu dadeki halafu kila mmoja ana savannah 2 na pale savannah moja ni 8500 mara6 =51k nikasema leo naweza kufirisika na mimi nilikuwa nimetembea na 100k tu, coz nilijua hiyo pesa nyingi ingetosha.

Ikabidi nipige hesabu za fasta nikomae nionekane kidume nikadraw zingine ATM au nisepe tu coz nikaona mademi hawa watanifirisi tu, hao rafiki zake hata sijawai waona halafu wanaonekana wa mjini selfies nyingi, nikasema hawa hawanijui ngoja niwakomeshe pumbavu!!

Nikamwita waiter halafu nikamwambia alete sahani 4 za chips kuku, nikajipigia kwa simu nyingine nikapokea nikawambia ngoja nipokee simu ya boss. Huyo nikatoka getini chukua bajaji motoo nikazima na simu[emoji23][emoji23] ili wapambane huko huko. Nikarudi home nikaanza watch movie.Mpaka sasa sijawasha hii simu ya TiGo sijui kiliendelea nini huko[emoji1787]

Hesabu za haraka kwa pesa niliyosave jana
Chips kuku sahan1=25k x 4= 100k
Wale madem wangekunywa savanna5 kwa mmoja 5x3=15x8500=127,500
Uber 20k, binti angetaka pesa =30k
TOTAL= 277,500/=

Hizi pesa nimesave wakuu, wote tukiwa kama mimi hawa lazima wanyooke
Yule mke mtarajiwa wa mtu unayelala naye si angekupa zaidi ya hio
 
Back
Top Bottom