Jinsi nilivyosave 280k Jana, soma kisa!!

Jinsi nilivyosave 280k Jana, soma kisa!!

Nikiwa na dem mpya lazima nimuweke kwenye Grade AB au C siku ya ku meet nae mixer na show
A = 500,000/= per day
B = 300,000/= per day
C = 150,000/= per day

Kama kuna Mwanamke nahisi atatumia Chini ya hapo huyo ni mchafu kuoga hana hadhi ya kuwa na mimi.

Ni mwiko kurudi na hela Nyumbani
Wakuu JF pesa zipo eeeh .... unatumia laki 5 kwa siku.

Hongera ni jambo nzuri kama mtu unaweza kutumia laki tano.
 
Nisishangae saana kuna wana naona wanatumia zaidi ya laki 6.... kwenye kunywa kwa siku...
 
Nikiwa na dem mpya lazima nimuweke kwenye Grade AB au C siku ya ku meet nae mixer na show
A = 500,000/= per day
B = 300,000/= per day
C = 150,000/= per day

Kama kuna Mwanamke nahisi atatumia Chini ya hapo huyo ni mchafu kuoga hana hadhi ya kuwa na mimi.

Ni mwiko kurudi na hela Nyumbani
Tobaaa wacha makahaba waendelee kuwadangia!!!.
 
Ungemchana live kuwa nina bajeti kiasi hiki. So tule tunywe jua nina kiasi fulani ovaaaa.

Yeye mpaka kaja na wenzie wote watatu bila kukwambia, kwa mtu mzima kama ni mtu mzima kweli alijiweka fresh kabisa kama kuna dharura itatokea. Huwezi agiza tu vitu huku hukusema kuwa unakuja na kijiji kwa mtu mwenye akili timamu.
Wanawake wanaopenda kutembea makundi huwa mnawatoa wapi?
 
Dah, sitaki kuimagine uliwaacha na hali gani hao mbuzi mbuzi 🤣🤣🤣 maana baada ya kushiba ni bill halafu mlipaji haonekani.

Sema kwa haraka haraka hao ni wadangaji tu. Unatongozaje mdangaji ukiwa hela huna.

Dem haonesh kama mdangaji mkuu, sema nilimwona fala kuniletea kijij madem flan hv madiva diva sema mazuri yale matoto[emoji23][emoji23]
 
Mtu kama mimi sinywi pombe nikinywa kinywaji cha gharama sana ni juice ya ceres na gharama yake haizidi 5000 au soda.
Na juice hiyo moja tuu inatosha, soda labda mbili maana zinajaza tumbo.
Duuh najiona nilivyo mchafu kuoga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au labda kama unakaribisha na kijiji.

Napenda sana mwanamke asiyetumia kilev, mpenz wang hatumii hvyo vitu nilimkataza hta kushika
 
Ungemchana live kuwa nina bajeti kiasi hiki. So tule tunywe jua nina kiasi fulani ovaaaa.

Yeye mpaka kaja na wenzie wote watatu bila kukwambia, kwa mtu mzima kama ni mtu mzima kweli alijiweka fresh kabisa kama kuna dharura itatokea. Huwezi agiza tu vitu huku hukusema kuwa unakuja na kijiji kwa mtu mwenye akili timamu.

Mkuu hayo sikujuaa, sema kajifunza ngoja niwaashe cm nijue movie iliendeleaje??
 
Mimi nawambia kabisa, nakuja lakini bajeti yangu kwa Leo Ni.... Namtajia.
Akifanya mengine me hainihusu kabisa
 
Nikiwa na dem mpya lazima nimuweke kwenye Grade AB au C siku ya ku meet nae mixer na show
A = 500,000/= per day
B = 300,000/= per day
C = 150,000/= per day

Kama kuna Mwanamke nahisi atatumia Chini ya hapo huyo ni mchafu kuoga hana hadhi ya kuwa na mimi.

Ni mwiko kurudi na hela Nyumbani

Kama perdiem rates vile.kila TGS ina kiqsi chake.all the best
 
Back
Top Bottom