Watu wengi kwa imani zao mbalimbali wanatafuta maisha baada ya kufa.
Hiki jambo linawafanya watu wazidi kutafuta maisha baada kifo. Watu wanafanya tafiti kila siku kutafuta life after death. Hii inatokana na wengi kuona kuwa maisha ni magumu, kuogopa kuaibika etc.
Jambo kubwa ninalotaka tufanye sasa so as we can reveal our selves ni:-
1. Throw away our memories
2. Talking to our high self
3. Communicating each other through high level
4. Revealing our inner power.
Throw away our memories
Hii sasa ni hatua ya mwanzo kabisa.
Naomba tuaenze kufanya kwa vitendo. Tafuta kila siku muda wa siku si chini ya 30.
Tumia muda wa dakika 30. Kaa sehemu ambayo imetulia. Anza kutafakari matukio yaliyo kutokea wakati unaanza kujitambua. Weka hivyo kwa step.
1. Ukiwa na mika 5 - 10
2. 11 - 20
Na kuendelea.
Fikiri kuhusu rafiki, wapenzi, biashara, matukio nk.
Baada ya muda huo utakuwa umeanza kujua hizo ni picha zimehifadhiwa kwenye memory.
I tell you utaanza Kupata freedom.