Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

Nawasalimia kwa pamoja ndungu zangu wana JF.
Muda mrefu umepita nimekuwa nikiwaza sana kuhusu jambo hili lililonitokea tarehe 11/9/1990. Kila nikijaribu kumwambia mtu moyo unakataa nahisi kwamba hata nielewa na anaweza akaanza kuniogopa. Kipindi kile nilikuwa nilikuwa nimeingia kidato cha sita shule ya sekondari ya ILBORU nikiwa nasoma masomo ya sayansi.

Leo nimeona niandike humu huenda wapo watu watanielewa maana jambo hili nimekuwa nikiliwaza sana. Siku hiyo wanafunzi wote walikuwa wamelala ilikuwa usiku wa manane. Ghafla usingizi ulikata na nikapata msukumo wa kutoka kwenda nje. Basi nilifanya hivyo. Nikaenda kukaa kwenye mti ambao tulikuwa tunapendelea kukaa ili kupiga soga.

Ghafla nilipigwa mwanga usoni na kitu kilichotokea mbele yangu. Mwili wangu ukawa kama umepigwa shoti ya umeme, nywele zangu zote zikasimama, nikawa na jiona kama nimo ndani ya maji nikielea. Nikasikia sauti ikiniita jina langu J J J mara tatu. Naami nikaitika na kusema naam!!

Viumbe wawili wa ajabu walinisogelea mmoja akanigusa kichwani ndipo nguvu zikanijia. Wakaanza kunena na mimi; ni mambo mengi sana waliongea na mimi, lugha tuliyokuwa tunaongea nao kwakweli mpaka leo hii siwezi kuijua kuwa ni lugha gani. Bali tulikuwa tunaelewana. Walinipatia kanuni kadha wa kadha, ilinichukua muda kuzielewa.

Viumbe hao walinibeba kwenye chombo chao kilikuwa kinafanana na meli ambayo ni ya duara. Tuliondoka mpaka tukafika sehemu. Wakaniambia hapa ndipo chanzo cha nishati, wewe umeweza kuyaona haya tutakufunulia siri nyingi ili uweze kuwapatia wengi wajue ulimwengu huu. Wakasema sisi tunawaona mnahangaika sana elimu na ujuzi wenu bado upo chini sana maana hamuwezi hata kutuona sisi tukija huko. Uwezo wa macho yenu kuona ni mdogo sana, hata masikio yenu hayawezi kutusikia.

Viumbe hao wakanipatia formula mbalimbali na namna nitakavyo wafundisha wengine jinsi ya kujua siri nyingi. Nimejaribu kuzitumia formula kadha wa kadha naona zinafanya kazi.

Ninajitolea sasa kuanza kuwafundisha watu watakaokuwa tayari.

Kama kuna mtu mwenye swali karibu sana.
Ungetupa kwanza ushuhuda kwa miaka yoote hiyo ,wewe binafsi una mafanikio kiasi gani, far from others?
Kama kweli kuna mafaninikio nadhani saa hizi kila mtu duniani angekuwa anakuongelea wewe
Vitu kama hivi wanataaluma ndio rahisi kuwalekeza wakaelewa kuliko katika jukwaa kama hili. Tafuta chuo ingia nao ubia uwafundishe
 
Acha akili mgando,
Usichokijua tulia ufahamishwe na kama itakufaa ni vizur usimkwaze mleta mada
Kaka inawezekana jamaa ana akili mgando, ila umehukumu mapema.. ila hata mm ntakua na akili mgando, moja mtoa mada alianza kusema alipata haya maono 1990 na kwenye mwanzo wa mada alifunga hiyo sentensi kuwa hawajawahi kurudi.

Tukasubiria nondo, akaja sema ameambiwa abadilishe mada asiseme tena ile formula ya yenye kajumlisha ipo km ya gradient[emoji16][emoji16]

Jana ndio kaua kaalika watu kwenye interconnection meeting saa saba usiku, na alisema hajawahi wasiliana nao tena, okay that's not case...poa tukutane kikaoni, toa muongozo tunafikaje kala kona...

Hii ni chai tu, nshaagiza mihogo hapa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Saa saba hadi nane nimeishia kuota corona tu na maiti ya kiongozi mwanamke iliyoharibika mwili ikiwa imeterekezwa barabarani ndani ya lori lililosheni vyombo vyake marehemu makabati majiko n.k
 
Hapa ninajaribu kuwafungua watu kwa kuongea codes chache. Nilijaribu kutoa zoezi moja watu wajaribu.

Jana tulikuwa na interconnection meeting. Meeting ilifanyika kwa wale walioweza kuingia katika Astral World.

Kitu niliweza kutoa maoni yangu kuhusu kuwafundisha watanzania namna ya kujitambua na kujua ulimwengu unavyoendelea. Maoni yangu yamekubaliwa. Na mimi sasa nitaanza kuwafundisha publicly hatua na ethics katika astral world.

Tutajifunza spiritual plan iliyopo katika dunia. Na wengi watajua na kuanza kuingia kwenye interconnection meeting.

Asante sana. Leo nitaanza kutoa nondo nilizokubaliwa kuzitoa. Wengine humu wataogopa na kudhani huo ni uchawi.
 
Jana nilipitiwa na usingizi na leo pia kuna kikao mkuu cha interconnection meetings
 
Nakuomba uweke alarm toka kwenye simu yako ili uweze kuamka saa nane kisha ukae nusu saa sehemu Fulani kisha rudi kulala.

Zoezi hilo ni hatua ya kwanza. I am serious. Then hatua moja baada ya nyingine tutaendelea kuelezana.
 
Ni lazima kulala na kuamka hiyo saa nane? Mimi ninaweza kukesha macho kusubiri hiyo saa nane nikiwa sober kabisa.
 
Guys kesho nitakuwa na mwendelezo. Ninategemea leo saa 7 usiku tutakuwa na interconnection meeting. Yaani nilikuwa natamani wote tujumuike.
Hivi unafikiria nini na kuyaonaje maisha dhumuni letu la kuwa hapa tulipo ni nini na kwanini maana umefika sehemu nyingine na kuonana na viumbe vingine huenda una uelewa japo mdogo wa sisi kuwa hapa?

Napia kufundisha watu namna mambo yanavyo fanywa na viumbe vingine haitokuwa na matatizo au kuvuruga mfumo wa taarifa zisizopatikana na zilizopo kwa mtu wa kawaida?

Maana unataka ufundishe kitu ambacho watu wa kawaida hatuna taarifa nayo na huenda wengine ndio mara ya kwanza tunaona sio kwamba utapelekea kuathiri asili ya ufikiriaji wa mtu juu ya hii ardhi ya dunia nadhifu na nzuri kabisa?
 
Nakuomba uweke alarm toka kwenye simu yako ili uweze kuamka saa nane kisha ukae nusu saa sehemu Fulani kisha rudi kulala.

Zoezi hilo ni hatua ya kwanza. I am serious. Then hatua moja baada ya nyingine tutaendelea kuelezana.
Huenda vitu unavyoviona ni nguvu ya jamii nyingine kabisa na huenda ni elimu yao kuileta kwetu lazima iwe na side effect maana kila race au chimbuko la watu hapa duniani Africans, Asians,Europeans na hata Latinos wana misingi yao na kwa sasa huenda elimu baadhi ya machimbuko zimefichwa kutokana na kama hichi kinachofanyika

Kuaminisha watu kitakacho enda kutokea kitawasaidia kumbe kitaweza fanya hata wasiamini tena walivyokuwa navyo kiimani,kiuchumi na hata kijamii

Kumbuka hapa unacheza na fikra za watu pamoja na ufahamu wao unataka kuwaaminisha kama unajua haitoleta madhara ni mara mia usiaminishe maana sisi ni race nyingine tofauti na hao viumbee uwe na huruma

wewe piga kama story tuu ila usitoe masharti ya watu kuamka usiku au kufanya nini watakao taka watafanya wasiotaka wataacha kama ndio mission yako utatathimini mwenyewe imetiki kwa asilimia ngapi lakini sio kuaminisha kitu amacho kitaendelea kupoteza hata ile asili ndogo ambayo tumebakiwa nayo sisi watu weusi maana hapa tulipo ndio mahali kwetu na elimu yetu bado hatujaijua kabisa.
 
Hivi unafikiria nini na kuyaonaje maisha dhumuni letu la kuwa hapa tulipo ni nini na kwanini maana umefika sehemu nyingine na kuonana na viumbe vingine huenda una uelewa japo mdogo wa sisi kuwa hapa?

Napia kufundisha watu namna mambo yanavyo fanywa na viumbe vingine haitokuwa na matatizo au kuvuruga mfumo wa taarifa zisizopatikana na zilizopo kwa mtu wa kawaida?

Maana unataka ufundishe kitu ambacho watu wa kawaida hatuna taarifa nayo na huenda wengine ndio mara ya kwanza tunaona sio kwamba utapelekea kuathiri asili ya ufikiriaji wa mtu juu ya hii ardhi ya dunia nadhifu na nzuri kabisa?
Kwa asilimia kubwa watu tunapoanza kufundishwa na Kupata akili ya kuyajua mambo ya dunia, tunazalisha mental problem inayoitwa:
FEAR OF UNKNOWN
Tunapoanza kukua tunaanza kuingiziwa taarifa kwenye memory.
Utapewa jina, utaambiwa jinsia yako, utaelezwa miiko, utaambiwa faida na hasara utafundishwa vitu vingi tu.

Kile ninachotaka kufanya siyo kufuta taarifa tulizokusanya kwenye memories zetu bali ninataka tuzione kuwa ni picha tukizozikusanya kutokana na maishe yetu hapa duniani.

Kuna zoezi la kwanza kabisa ambalo ninajaribu kuwaambia watu wajaribu kulifanya. But tunajikuta tuna concentrate na kutaka kujua which is right and which is wrong.

FEAR OF UNKNOWN
 
Hapa ninajaribu kuwafungua watu kwa kuongea codes chache. Nilijaribu kutoa zoezi moja watu wajaribu.

Jana tulikuwa na interconnection meeting. Meeting ilifanyika kwa wale walioweza kuingia katika Astral World.

Kitu niliweza kutoa maoni yangu kuhusu kuwafundisha watanzania namna ya kujitambua na kujua ulimwengu unavyoendelea. Maoni yangu yamekubaliwa. Na mimi sasa nitaanza kuwafundisha publicly hatua na ethics katika astral world.

Tutajifunza spiritual plan iliyopo katika dunia. Na wengi watajua na kuanza kuingia kwenye interconnection meeting.

Asante sana. Leo nitaanza kutoa nondo nilizokubaliwa kuzitoa. Wengine humu wataogopa na kudhani huo ni uchawi.

[emoji23][emoji23][emoji23]walahi
 
Huenda vitu unavyoviona ni nguvu ya jamii nyingine kabisa na huenda ni elimu yao kuileta kwetu lazima iwe na side effect maana kila race au chimbuko la watu hapa duniani Africans, Asians,Europeans na hata Latinos wana misingi yao na kwa sasa huenda elimu baadhi ya machimbuko zimefichwa kutokana na kama hichi kinachofanyika

Kuaminisha watu kitakacho enda kutokea kitawasaidia kumbe kitaweza fanya hata wasiamini tena walivyokuwa navyo kiimani,kiuchumi na hata kijamii

Kumbuka hapa unacheza na fikra za watu pamoja na ufahamu wao unataka kuwaaminisha kama unajua haitoleta madhara ni mara mia usiaminishe maana sisi ni race nyingine tofauti na hao viumbee uwe na huruma

wewe piga kama story tuu ila usitoe masharti ya watu kuamka usiku au kufanya nini watakao taka watafanya wasiotaka wataacha kama ndio mission yako utatathimini mwenyewe imetiki kwa asilimia ngapi lakini sio kuaminisha kitu amacho kitaendelea kupoteza hata ile asili ndogo ambayo tumebakiwa nayo sisi watu weusi maana hapa tulipo ndio mahali kwetu na elimu yetu bado hatujaijua kabisa.
Asante ndugu.
Hapo kuwa tunajifunza kidogo kidogo.
Hata nikikuuliza wewe leo ASILI YAKO NI NINI!? Hutaweza kunijibu zaidi sana utanijibu kulingana na ulivyofundishwa.

Ngoja nitaeleza vizuri issue hii.
 
Back
Top Bottom