Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,823
- 86,606
Kaongo sana kajamaa😅Yani alikua anawagawia majirani zake maziwa wakati yeye mwenyewe anakunywa chai ya rangi
Kaongo sana kajamaa😅Yani alikua anawagawia majirani zake maziwa wakati yeye mwenyewe anakunywa chai ya rangi
Ntakua nimechanganya mafile.Hakunifungulia mimi huyu alimfungulia mwingine alikula za uso😃
Hauko makini kaka😂Ntakua nimechanganya mafile.
Kwenye mada za kutongozana kwa kufunguliana thread huwa sio mzingatifu sana.Hauko makini kaka😂
Unazingatia zipi?Kwenye mada za kutongozana kwa kufunguliana thread huwa sio mzingatifu sana.
Yeyote ambayo ntakua interested nayo.Unazingatia zipi?
Umeshakunywa chai mkuu?😅Yeyote ambayo ntakua interested nayo.
hapana hicho chumba kilikua self, kwaiyo ng'ombe usiku nilikua namuingiza ndaniKwa hiyo hiyo nyumba ya kupangosha walikupangia na banda la ng'ombe?😆😆😆
Kwamba.Umeshakunywa chai mkuu?😅