Unataka kusema nn mkuu maana nimemuona bashiru apoamini nakwambia hakukua na uchaguzi pale, na hata tume imegawanyika!
Punguani wa design hii ni wa kupuuzwa. NonsenseBinadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine waliosalia hapa Duniani , hata kama hawagombei madaraka , haijawahi kutokea binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu kuunga mkono matendo maovu , kwa vile tu yanafanywa na Kiongozi fulani , ni wafuasi wa Shetani pekee wanaoweza kuunga mkono unyama huo.
Raila akijua anayoyafanya Magufuli nchini mwake , ya kuruhusu utekaji na kupotea kwa watu , ikiwemo uporaji ulioitwa PLEA BARGAIN (ambao hela zake hazijulikani zilipo , hii ni kwa mujibu wa CAG ) , Wanasiasa kusingiziwa kesi za uongo za Uhujumu uchumi na utakatishaji hela , huku uporaji wa mifugo ya nchi jirani zikiwemo Rwanda na Kenya UKIASISIWA RASMI NCHINI TANZANIA , kukiwa pia na Ukatili ambao haujawahi kuonekana kabla ya HITLER kuzaliwa wa KUCHOMA MOTO VIFARANGA VYA KUKU KUTOKA KENYA VISIVYO NA UGONJWA WOWOTE, Lakini Raila Odinga akatia pamba masikioni akaamua kumuunga mkono Magufuli bila hata aibu hadharani, huku akiahidi kuiongoza Kenya kama Magufuli alivyoongoza Tanzania , Hatimaye Mungu amekataa Wakenya kuteswa kinyama kama Watanzania .
ASANTE MUNGU NA SHUKRANI SANA WAKENYA KWA KUKATAA UDIKTETA NCHI MWENU.
FUNZO : HATA KAMA WATAWALA WATASIMIKA MTU WAO BADO WANANCHI MKISHIKAMANA MNAWEZA KUMKATAA NA AKASHINDWA.
Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya.
Labda hilo la kumtoa maji kichwani kuna hoja.Ana miaka 77, halafu washamtoa maji kichwani ni mtu wa kupungiwa saa zote.
Pole kwa maumivu , Imeisha hiyo !Punguani wa design hii ni wa kupuuzwa. Nonsense
Kwi Kwi KwiMada ya ovyo kabisa
Wote watakaofikiria, tenda, tembea, kufanya, kusifia kama matendo ya yule shetani wa chattle wamelaaniwa wote!!Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine waliosalia hapa Duniani , hata kama hawagombei madaraka , haijawahi kutokea binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu kuunga mkono matendo maovu , kwa vile tu yanafanywa na Kiongozi fulani , ni wafuasi wa Shetani pekee wanaoweza kuunga mkono unyama huo.
Raila akijua anayoyafanya Magufuli nchini mwake , ya kuruhusu utekaji na kupotea kwa watu , ikiwemo uporaji ulioitwa PLEA BARGAIN (ambao hela zake hazijulikani zilipo , hii ni kwa mujibu wa CAG ) , Wanasiasa kusingiziwa kesi za uongo za Uhujumu uchumi na utakatishaji hela , huku uporaji wa mifugo ya nchi jirani zikiwemo Rwanda na Kenya UKIASISIWA RASMI NCHINI TANZANIA , kukiwa pia na Ukatili ambao haujawahi kuonekana kabla ya HITLER kuzaliwa wa KUCHOMA MOTO VIFARANGA VYA KUKU KUTOKA KENYA VISIVYO NA UGONJWA WOWOTE, Lakini Raila Odinga akatia pamba masikioni akaamua kumuunga mkono Magufuli bila hata aibu hadharani, huku akiahidi kuiongoza Kenya kama Magufuli alivyoongoza Tanzania , Hatimaye Mungu amekataa Wakenya kuteswa kinyama kama Watanzania .
ASANTE MUNGU NA SHUKRANI SANA WAKENYA KWA KUKATAA UDIKTETA NCHI MWENU.
FUNZO : HATA KAMA WATAWALA WATASIMIKA MTU WAO BADO WANANCHI MKISHIKAMANA MNAWEZA KUMKATAA NA AKASHINDWA.
Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya.
Biden naye anaumwaumwa anaweza kutufia tukapata Samia wetu dakika yoyote.Labda hilo la kumtoa maji kichwani kuna hoja.
Ila kiumri bado anaweza, hata Biden ana 80+ na anaongoza nchi.
Unataka kusema nn mkuu maana nimemuona bashiru apo
Idiot kwani amezungumzia mapapai hapo!!Jikite kwenye mada
Kenya hakuna chama tawala inapofika suala la uchaguzi, inategemeana tu na wewe unatoka kabila gani. Baada ya KANU hakuna chama kilichokaa madarakani kwa zaidi ya awamu moja. Kila uchaguzi ukifika viaundwa vyama vingineRUTO ni kiongozi kutoka chama kilichopo madarakani, Raila Odinga ni mgombea kutoka chama pinzani.
Mashangilio yako ni kama kushangilia CCM ikishinda uchaguzi hapa Tanzania
Hapana, chama kinachokuwa madarakani ndio huwa chama tawala kama kitashiriki uchaguzi uliofuata. Ikiwa chama hicho hakishiriki uchaguzi basi kutakuwa hakuna chama tawala katika ushindani. Kuhusu uundwaji wa vyama vipya kila ifikapo uchaguzi, nafikiri neno sahihi ni miungano mipya (coalition)Kenya hakuna chama tawala inapofika suala la uchaguzi, inategemeana tu na wewe unatoka kabila gani. Baada ya KANU hakuna chama kilichokaa madarakani kwa zaidi ya awamu moja. Kila uchaguzi ukifika viaundwa vyama vingine
Tume ya uchaguzi inatambua chama kwa hiyo UDA na AZIMIO ni vyama. Kipi chama tawala na cha upinzani hapo?Hapana, chama kinachokuwa madarakani ndio huwa chama tawala kama kitashiriki uchaguzi uliofuata. Ikiwa chama hicho hakishiriki uchaguzi basi kutakuwa hakuna chama tawala katika ushindani. Kuhusu uundwaji wa vyama vipya kila ifikapo uchaguzi, nafikiri neno sahihi ni miungano mipya (coalition)
Chengamm mwenyewe sijui ila kuna watu wameuliwa sana huo uchaguzi
Siamini kama Odinga is an idiot kama hilo mnalolisema
Bado unakiamini ulichoandika ?Unaposema Raila alimuunga mkono Magufuli. how? utekaji, plea bargain etc haviwezi kuwa vithibitisho vya kukubaliana na ulichoandika, statement ya Odinga akimuunga mkono Magufuli kuhusu yale matendo yake inahitajika zaidi.
Pia unapofurahia Odinga kushindwa, una uhakika ameshindwa kihalali? mbona kuna malalamiko kila upande kwamba mpaka wajumbe wanne wa IEBC kati ya saba hawakubaliani na hayo matokeo?
Bado naona kuna sarakasi zinaenda kutokea kuhusu huu uchaguzi wa Kenya, hao jamaa wataenda mahakamani kama kweli matokeo ya mwisho hayakuhakikiwa kabla ya kutangazwa, na sitashangaa huko yakitolewa maamuzi mengine yatakayowashangaza watu.