Jinsi Kesi ya Yesu ilivyovunja Sheria

Uchambuzi kuntu wa kisheria, naamini hili swali "je yesu alihukumiwa kwa haki?" Likiwekwa kwenye mtihani wa shule ya sheria pale UDSM hawatachambua hivi.
Shida ya mabaro baro wa UD even Mimi tunge refer hukumu ya Yesu na principle za kisheria za kisasa Kama Nulum climen sine lige. Huu uchambuzi umebase na mazingira halisi ya nyakati zile very critical!
 
Yule aliemkana yesu hadi jogoo akawika pia hana kosa

Yaani nione mtu anapigwa mijeledi anagongelewa misumari kwenye mikono na miguu anavalishwa miba kwenye miti na ananing'inizwa juu ya mti kama nyama buchani na askari halafu askari haohao wananifuata wananiuliza

" unamjua huyu mtu ?"

Ndugu msomaji embu tuacheni unafiki pembeni we ungejibuje?

Haki ningemkataa tu
 
Mm napenda post zako mkuu ukiandi ama kutoa taarifa inakamilika huwanajiuliza taaruma yako maana kila unapogusa unakamilisha natamani siku niwekaribu naww nijifunze zaidi
 
Mm napenda post zako mkuu ukiandi ama kutoa taarifa inakamilika huwanajiuliza taaruma yako maana kila unapogusa unakamilisha natamani siku niwekaribu naww nijifunze zaidi
karibu sana Msata ila leo naenda kula sikukuu mjini
 
Kujiita Mwana wa Mungu (Masiya)
Hapa kuna jambo linanitatiza kidogo. Maana yake hapa inaonyesha ya kuwa Mayahudi walikuwa wanaujua ukweli kuhusu Mungu kumzidi Yesu mwenyewe, mpaka ikafikia Yesu kudai yeye ni Mwana na huku si mwana ?

Lakini kwanini Yesu akosee jambo ambalo Mayahudi walikuwa sahihi ?

Inakuwaje Mtume wa Mola akosee katika ujumbe na mafundisho ?

Je ni kweli Yesu aliwahi kusema yeye ni Mwana wa Mungu ?

Ukweli wa hili ukoje...?
 
Mimi hata usaliti wa Yuda Eskariot huwa siuelewi asee. Nahisi kama mwana alionewa!
Hata Mimi hapo siwaelewagi.Yuda mwanafunzi tu wa Yesu kati ya wale thenashara ,wajeda wangekuja wanamtaka Ni Nani angewazuia? Yuda labda kwa kuwa alitanguliza mapenzi ya pesa ndo kulimponza
 
Back
Top Bottom