Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,557
- 21,514
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Sikukuu ya Christmas ni sikukuu ya kukumbukwa kwa aliyekuwa mkombozi wa wanadamu yaani Yesu Kristo.
Sikukuu hii imekuwa ikiadhimishwa Kila mwaka tare 25 December Duniani.
Sikukuu ya Christmas imekuwa na maana kubwa kwa wale wanaomuamini Yesu kuwa ni mwokozi wa maisha yao.
Sikukuu hii imekuwa ikisherehekewa na familia mbalimbali Duniani kwa kukutana kwa pamoja na kula na kunywa.
Sikukuu hii huleta umoja na Upendo kwa watu hasa waliozaliwa pamoja, maana wanashirikiana na kupeana zawadi.
Ila sikukuu hii imekuwa tofauti kwani kumekuwa na Sanamu moja linalojilikana kwa 'Father Christmas', hili Sanamu limekuwa likiwekwa kwenye sehemu mbalimbali za Mall na hata Hotel.
Sanamu hii watu wengi hawajui maana yake ila huwa wanafurahia na wengine wanakuwa kama wanaitukuza.
Wakati watu wanafurahia sikukuu hii ya kuzaliwa YESU, basi na upande wa wapinga Kristo nao wanaabudu hilo Sanamu lao la Father Christmas.
Wakristo stukeni na salamu hilo, maana limekuwa likipendwa sana na watoto.
Hata wazazi wamekuwa wakiwapeleka kwenye hilo Sanamu kupiga picha.
Waambieni watoto wenu juu ya hilo Sanamu kuwa sio maana ya Christmas bali linajitukuza kubeba siku hiyo.
Watoto wadogo wanajua kuwa sikukuu ya Christmas ni huyo Father Christmas ndio sikukuu yake maana anawekwa Kila Kona.
Tunakumbushana kuwa YESU ndio alizaliwa katika siku hii na si mengine.
Bwana YESU atukuzwe