Jinsi Kesi ya Yesu ilivyovunja Sheria

Kuna Herode aliyetaka kumuua Yesu akiwa kichanga, je ni huyu?
Je kipindi hiki Yohana alikuwa ameshakatwa kichwa?
Je Yesu hakusikia na kumsaidia nduguye asiuawe kikatili?
Aliyetaka kumuua Yesu Kristo ni Herode MKUU.
Wakati Kristo anatafutwa kuangamizwa, Yohana Mbatizaji alikuwa kinda la miezi sita.
Huyu Herode MKUU ndiye baba yake na Herode Antipa (aliyemkata kichwa Yohana Mbatizaji).
Huyu Antipa ndiye yule yule Herode aliyemtoa Yesu Kristo siku ya Ijumaa Kuu.
Maherode wapo kibao - Herode Akileusi, Herode Agripa...
 
"Herode ambaye alikuwa Yerusalemu wakati wa kipindi cha sikukui ya PASAKA.

Kwahiyo pasaka ilikuwepo hata kabla yesu hajafa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii pasaka iliyokuwa ikisherekewa ni ile pasaka ya kiyahudi wakikumbuka jinsi Mungu alivyowaokoa usiku ule walivyoondoka Misri (kasome kitabu cha KUTOKA sura ya 12 na kuendelea)
Walipaswa kuandaa mikate isiyotiwa chachu ,mboga mboga chungu pamoja na mwanakondoo mmoja wa mwaka mmoja
 
Hapa kuna jambo linanitatiza kidogo. Maana yake hapa inaonyesha ya kuwa Mayahudi walikuwa wanaujua ukweli kuhusu Mungu kumzidi Yesu mwenyewe, mpaka ikafikia Yesu kudai yeye ni Mwana na huku si mwana ?

Lakini kwanini Yesu akosee jambo ambalo Mayahudi walikuwa sahihi ?

/QUOTE]
Hapa mkuu nawe unarudia makosa yaleyale ya wayahudi.
Unaweza kuthibitisha kwamba Yesu alikosea kujiita mwana wa MUNGU ?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hii pasaka iliyokuwa ikisherehekwa ni ile pasaka ya kiyahudi wakikumbuka jinsi Mungu alivyowaokoa usiku ule walivyoondoka misiri (kasome kutoka 12 na kuendelea)
Walipaswa kuandaa mikate iyositiwa chachu ,mboga mboga chungu pamoja na mwanakondoo mmoja wa mwaka mmoja
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyetaka kumuua Yesu Kristo ni Herode MKUU.
Wakati Kristo anatafutwa kuangamizwa, Yohana Mbatizaji alikuwa kinda la miezi sita.
Huyu Herode MKUU ndiye baba yake na Herode Antipa (aliyemkata kichwa Yohana Mbatizaji).
Huyu Antipa ndiye yule yule Herode aliyemtoa Yesu Kristo siku ya Ijumaa Kuu.
Maherode wapo kibao - Herode Akileusi, Herode Agripa...
Asante sana
 
Hata Mimi hapo siwaelewagi.Yuda mwanafunzi tu wa Yesu kati ya wale thenashara ,wajeda wangekuja wanamtaka Ni Nani angewazuia? Yuda labda kwa kuwa alitanguliza mapenzi ya pesa ndo kulimponza
Hapana,Yuda alimsnitch Yesu mapema kabisa
Alichofanya yeye ni kucheza na fursa Tu..

akaenda kuwapanga jamaa kwamba "huyu mtu mnaye mtafuta Mimi namfahamu nje ndani na kijiwe chetu usiku tunapokujaga huku Jerusalem ni kule juu kwenye milima ya mizeituni (getsemane),so nyie nipeni mtonyo ili uwe rahisi kumkamata maana Kwa muda ambao mtakuja usiku ni ngumu nyie kumjua maana mtawakuta watu wengi pale"

Jamaa wakaona wazo lake ni zuri,Kwa vyovyote vile Kwa muda waliopanga kwenda kumkamata wakiongozana na mtu anayemjua yesu vizuri mwonekano Kwa hiyo hawatamiss target yao

Muda ulipofika wanajeshi wakasepa na Yuda kumkamata mwalifu wao,ndipo walipofika pale Yesu na wanafunzi wake alipo Yuda akawaambia wanajeshi nitakayembusu ndiye huyo Yesu mnayemtafuta so mumkamate

Akafanya hivyo jamaa wakamkamata "mwalifu wao Yesu "

Na hapa ndipo kwenye mgawanyiko wa hizi dini mbili kuu,ambapo Kwa mujibu wa vitabu vya Dini vya kiislamu wanakataa Yule aliyekamatwa kuwa ni Yesu.. Yesu alishapaa zake kabla hajateswa wala hajasuribiwa msalabani
Ambapo Kwa upande wa Imani ya kikisto inaeleza kama mleta mada alivosimulia

Lakini kumbuka hao uliowataja hawaamini kama alipaa wao wanachojua ni Nabii Issa, nabii kama nabii wengine wakubwa watano tena wanampa nafasi ya 4 alafu ndo Mtume Mohamed ambaye ndo mtume wa mwisho kwao.
 
Hv kwa nn kesi ya YESU haikuhairishwa hata x1? Ktk Kesi ya Uchochezi... Nimejifunza Njaa KUCHUMIA TUMBO kulianza zamani tu... hata PILATO alikuwa MchumiaTumbo...

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app

Njaa,uchochezi,kesi za"usipokubali tunakubambikiza uhujumu uchumi_usiposaini Yesu afe tunakusemea Kwa kaisari kwamba wewe si mshirika wa kaisari"

Haya mambo yalianza zamani sn mkuu

Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako ;na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka;wala Jambo jipya hakuna chini ya jua.mhubiri1:9

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Lakini kumbuka hao uliowataja hawaamini kama alipaa wao wanachojua ni nabii issa nabii kama nabii wengine
Yes mkuu ni kweli kabisa..waislamu wanaamini Yesu ni nanii km wengine Tu,Ila Kwa wakristo wameenda mbali zaidi na kumwita MUNGU

Hilo la kuamini alipaa au hakupaa sina uhakika labda tumuulize jurjan atuelimishe zaidi

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hii pasaka iliyokuwa ikisherekewa ni ile pasaka ya kiyahudi wakikumbuka jinsi Mungu alivyowaokoa usiku ule walivyoondoka Misri (kasome kitabu cha KUTOKA sura ya 12 na kuendelea)
Walipaswa kuandaa mikate isiyotiwa chachu ,mboga mboga chungu pamoja na mwanakondoo mmoja wa mwaka mmoja
Yes pass over

Back
Top Bottom