Jinsi K Vant ilivyomkutanisha rafiki yangu na malaika

Mbuni anaruhusiwa kuwindwa kwa mujibu wa Sheria?
Hakuna mnyama anayekatazwa kuwindwa labda kuwe na katazo maalumu la muda. Na mara nyingi makatazo hayo huwa ni kwaajiri yakuendelea kuitunza hiyo specie due to ipo hatarini kutoweka.
Mleta mada (kwa maelezo yake) yaonekana waliwinda kienyeji bila kulipia kibari cha uwindaji aina flani ya mnyama (wanyama) kutoka ofisi za mamlaka ya wanyama pori.
 
aise ubongo wake ulikua unatulia unafanya mawasiliano na ini tuu kutoa sumu ya pombe haukutakwa kusumbuliwa
 
Hakuna mnyama anayekatazwa kuwindwa labda kuwe na katazo maalumu la muda. Na mara nyingi makatazo hayo huwa ni kwaajiri yakuendelea kuitunza hiyo specie due to ipo hatarini kutoweka.
Mleta mada (kwa maelezo yake) yaonekana waliwinda kienyeji bila kulipia kibari cha uwindaji aina flani ya mnyama (wanyama) kutoka ofisi za mamlaka ya wanyama pori.
Huwa naona prawns huwa wanaadimika, wavuvi husema wamekatazwa kuvua
 
Inaeleweka kwa wataalam tu na sio kila mnywaji ni mtaalam
Hahaaaa kwani umeelewaje? Wao wametumia lugha ya kibishara sasa mtu anakunywa kwa kutaka kujionyesha ni bingwa matokeo yake ndo hayo. Mbona inaeleweka tu kirahisi! Responsible drinking means more than just limiting yourself to a certain number of drinks. It also means not getting drunk and not letting alcohol control your life or your relationships.
 
Back
Top Bottom