Jinsi K Vant ilivyomkutanisha rafiki yangu na malaika

Hahaaaa kwani umeelewaje? Wao wametumia lugha ya kibishara sasa mtu anakunywa kwa kutaka kujionyesha ni bingwa matokeo yake ndo hayo. Mbona inaeleweka tu kirahisi! Responsible drinking means more than just limiting yourself to a certain number of drinks. It also means not getting drunk and not letting alcohol control your life or your relationships.
Vitu vyenyewe vichunguuuuu mnawezaje kuvinywa kwa wingi?
 
Rafiki yangu Jamila mtoto wa sheikh, muda wote yuko ndani ya baibui kumbe anakynywa ma K Vant akanywa chumbani kwake hadi akafa.
Siku mbili mtu haonekani kuvunja mlango kafa amezungukwa na machupa ya K Vant, sigara na vipisi vya bangi
😫😫😫 Duuuh seriously?
 
Story yako nzuri kuonya watu wanaokunywa kwa kutaka sifa ila mpaka hapa umeweka siri zako umevunja sheria kuwa na nyara za serikali mbuni haruhusiwi kuwindwa kwa sungura unaweza samehewa maana wako hata mapori ya kawaida
 
Hii mada mpaka uwe umepiga Kvant ndio utaelewa...
Hivi ndio tayari nimesha lewa ama? Hii Mirinda 🍊 imetokea wapi tena?
1638016077209.png
 
Back
Top Bottom