Tulizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 848
- 664
wadau naomba msaada, njia gani rahisi ya kufukuza paka ktk nyumba ninayoishi..
Pangisha mchina ambaye ataleta wachina wenzake... kila siku ukihisi mishikaki inanukia nyumbani kwa mchina utaona paka wanapungua mmoja moja,,, tatizo baada ya muda hata majirani zako watalalamika paka wao wanapotea katika mazingira ya kutatanisha...