smartapartments So cruel. Am so saddened by such heights of cruelty!! Over what? Fish???
He loose his humanity
Over fish.......Only fish my dear its so sad......!!!!!
Last edited by a moderator:
smartapartments So cruel. Am so saddened by such heights of cruelty!! Over what? Fish???
Mvizie mkate mkia kipande kidogo then kile kipande kichome moto huku ukifukizia moshi ndani ya nyumba yako hahhhha hatarudi ng'o
very simple, kanunue sumu ya panya tia kwenye dagaa au nyama, kwishnei merigha
paka ni tatizo kubwa hasa ktk jimbo letu. naahidi mkinipa kura zenu kwenye erection ijayo tutawaangamiza paka wote kwa ushirikiano na wananchi wa kata zote. ccm juu !
paka ni tatizo kubwa hasa ktk jimbo letu. naahidi mkinipa kura zenu kwenye erection ijayo tutawaangamiza paka wote kwa ushirikiano na wananchi wa kata zote. ccm juu !
Hahahaa kwa kweli leo nimecheka haswa teh teh
Sisi kwetu tulikuwa na paka mzuri Sana tulioshi naye kwanzia 1990 hadi 2001 alikuwa mzuri, ana upendo anakila sifa nzuri alifariki tar 31/12/2001 hakuna mtu ambaye hakulia hadi majirani walilia na tulimzika kwa huzuni sana. Paka ukimtunza vizuri kwa kweli ni kiumbe kizuri sana.
Ila mwaka jana tulihamia nyumba nyingine tukakuta aliyehama amemuacha paka wake looh hana maadili anajisaidia ndani, anaiba vyakula alipokosea amekula kuku wa jirani na nyumbani dah kwetu wanapenda paka lakini wameamua kuwapa sumu kwa shingo upande dah nimesikitika Sana Ila hakuna namna.
Tujifunze kuwalea mifugo wetu vizuri jamani wanafaida sana.
kwa kitendo hicho hana tafauti na shetanSikuwa na Mpango wa Ku-Comment, Ila Client3 Amenifanya nicheke Mwenyewe kama Mwehu huku Nnasoma Comment yake. Kasema hiviiii
"Huko mnakowapeleka si wataenda kuwasumbua wengineeeeee"?
Infact Mzee wangu Mdogo aliwahi kuwa naye Paka Nyumbani kwake. Siku Moja akadokoa Kitowea Chote cha Samaki baada ya kusahau kufunga vzuri Kabati.
Alichokifanya, wala hakuonyesha huzuni yake Machoni pa yule Paka. Akajifanya kama vile kile kitoweo alikinunua kwa ajili yake(PAKA).Maisha yakaendelea, Wakaaendelea kupishana kama kawa kwenye Korido bila Paka kujua kuwa alikuwa akifanyiwa Timming ya kumpele Ahera.
Baada ya wk mbili kuptia tokea Paka aharibu nyumbani,siku moja Mzee akawa amerudi kwenye Matembezi yake akamkuta Paka amelala kiubavu bila wasi wasi kwa Mikogo kama Wapendavyo kulala Wanyama wa Jamii yake kama Simba/Cheetah/Puma/Chui na Wengineo. Hapo tena anajijua kuwa yuko Nyumbani wala hakuhitaji kuwa na Wasiwasi wowote.
Mzee wangu Mdogo alichokifanya, aliingia Ndani akachukua "MANATI" heavy duty yenye uwezo wa kupasua Tairi za Pikipiki au tairi za gari Ambazo zishafikia hali ya kuwa kipara.
Huku Paka akiwa bado amelala mchana kweupeee, Mzee wangu aliiweka Standby ile Silaha(MANATI) aliyowahi kuitumuia DAUDI dhidi ya GOLIATH. Akaivuta hadi kwenye highest Degree. Aliachia kwenye PAJI la uso wa Paka. In-a-Snatch of a Finger, vumbi lilitimka na kushindwa kuelewa yule Paka ali(tokomeaje/towekaje) Mahala pale. Alipoenda kuokota lile Jiwe, lilikuwa limeshikamana na Kipande cha Ngozi iliyotoka kwenye Panda la uso wa Paka.
Tokea Siku ile hakupata kumuona tena pale nyumbani kwake. Kwanza hata hivyo anasadiki kuwa haikumchukua round bila kufa kwa Ambush aliyo Mpatia.
Yeye mwenyewe anakiri kuwa angelibahatika kufanya VIDEO wakati tendo hilo linatokea, na ikaonekana kwa watu watetezi wa wanyama! Basi angekuwa hatiani kwa kitendo alichokifanya. Alikiri kuwa hatojampatia tena Mnyama yoyote adhabu kama hiyo kamwe.
kweli ustadhismartapartments Mtu kamtendea mnyama Uwadui kama huu! bado wewe unamsifu na kumshangilia kwa unyama alioufanya? Ama kweli huu ni mwisho wa dunia, wanyama wanahisia kama sisi wanadamu.
Wewe ni muongo!Mimi nina paka nyumbani na amesaidia sana kutokomeza BITO waliokuwa wananitia hasara home. Panya wameisha na sasa tunaishi heaven na paka wetu. Huwa nakagua kila siku kama amepewa chakula na kama chombo chake ni safi. Ninapokuwa bar natafuna minofu huwa namfikiria na kumbebea baadhi ya vipande. Of course nina mbwa pia. Paka alishawahi kudokoa kitoweo cha siku nzima, nilikwazika ila sikumchukia nikijua kwamba ni uzembe kutohifadhi vitu vyema.
Nitakueleza kitu.
Nifikapo nyumbani wanyama wote hawa hunikimbilia miguuni yaani mbwa. Pia paka yeye atanifuata nilipokaa na kujilaza miguuni kwangu kabisa kama anayetafuta joto.
Mnyama ukimpenda atakuwa rafiki yako daima. Ila ukimuonesha ukauzu ujue atakugeuka siku moja. Kuna wanyama (mbwa) wapo tayari kua kwa ajili yako hivyo ni budi kuwaonesha kuwajali na kuwa nao karibu ktk kuwatunza vyema.
Kama unaona paka amekuwa tatizo mpeleke kwa VET kuliko kumtenda baya
VET ni wapi?Mimi nina paka nyumbani na amesaidia sana kutokomeza BITO waliokuwa wananitia hasara home. Panya wameisha na sasa tunaishi heaven na paka wetu. Huwa nakagua kila siku kama amepewa chakula na kama chombo chake ni safi. Ninapokuwa bar natafuna minofu huwa namfikiria na kumbebea baadhi ya vipande. Of course nina mbwa pia. Paka alishawahi kudokoa kitoweo cha siku nzima, nilikwazika ila sikumchukia nikijua kwamba ni uzembe kutohifadhi vitu vyema.
Nitakueleza kitu.
Nifikapo nyumbani wanyama wote hawa hunikimbilia miguuni yaani mbwa. Pia paka yeye atanifuata nilipokaa na kujilaza miguuni kwangu kabisa kama anayetafuta joto.
Mnyama ukimpenda atakuwa rafiki yako daima. Ila ukimuonesha ukauzu ujue atakugeuka siku moja. Kuna wanyama (mbwa) wapo tayari kua kwa ajili yako hivyo ni budi kuwaonesha kuwajali na kuwa nao karibu ktk kuwatunza vyema.
Kama unaona paka amekuwa tatizo mpeleke kwa VET kuliko kumtenda baya
VET ni sehemu ya kulelea Wanyama wafugwao majumbani wasiokua na wamiliki!!VET ni wapi?