Jinsi gani ya kufukuza paka nyumbani?

Jinsi gani ya kufukuza paka nyumbani?

Umefanya nimkumbuke paka wetu nyumbani. Alifariki nikiwa na umri wa miaka nane, tulimpenda na alitupenda. Binafsi nililia machozi tulipokuwa tunamzika....nakumbuka ilikuwa chini ya mwembe. R.I.P Our true friend.

Thanks twende kazi kwa kumbukumbu nzuri.

uzi huu umeleta kila aina ya stori, umenikumbusha uzi mmoja ulianzishwa na mtu akiomba msaada "jamani tusaidie kunguni wanatumaliza" nilipata mixed feelings kwa kweli,mshangao,huruma,huzuni,vicheko...jf bwana!!! dah.
 
Last edited by a moderator:
very simple, kanunue sumu ya panya tia kwenye dagaa au nyama, kwishnei merigha
 
very simple, kanunue sumu ya panya tia kwenye dagaa au nyama wape wajinome, kwishnei merigha
 
very simple, kanunue sumu ya panya tia kwenye dagaa au nyama wape wajinome, kwishnei merihagha
 
paka ni tatizo kubwa hasa ktk jimbo letu. naahidi mkinipa kura zenu kwenye erection ijayo tutawaangamiza paka wote kwa ushirikiano na wananchi wa kata zote. ccm juu !
 
Umefanya nimkumbuke paka wetu nyumbani. Alifariki nikiwa na umri wa miaka nane, tulimpenda na alitupenda. Binafsi nililia machozi tulipokuwa tunamzika....nakumbuka ilikuwa chini ya mwembe. R.I.P Our true friend.

Thanks twende kazi kwa kumbukumbu nzuri.
Pole sana mkuu.Hakika hawa viumbe tunapasa kuwathamini na kuwaenzi sana.Wanatusaidia mengi bila gharama yoyote.
 
Paka hauliwi kizembe namna hii, siyo panya huyu wewe, hujawahi kusikia mtu anaambiwa una roho ngumu kama ya paka?
very simple, kanunue sumu ya panya tia kwenye dagaa au nyama wape wajinome, kwishnei merihagha
 
haina haja ya kuwaua, kaa nao vizuri, walie timing wakamate, waweke kwenye visalfet, wasafirishe mbali na nyumbani, not less than 10km waachie huko, wao ni wanyama wataishi tu baada ya adjustment

kuua ni ukatili uliokubuhu
 
smartapartments Mtu kamtendea mnyama Uwadui kama huu! bado wewe unamsifu na kumshangilia kwa unyama alioufanya? Ama kweli huu ni mwisho wa dunia, wanyama wanahisia kama sisi wanadamu.
 
Last edited by a moderator:
Miaka mingi iliyopita niliishi nyumba ambayo kuna mpangaji alihama na kuacha paka wake hapo. Inaelekea paka hakujua makaz mapya ya bosi wake kwa hiyo akawa around hapo kitaani. Paka huyu alikuwa nunda sijawahi kuona. Anaweza asionekane for weeks then siku mmoja mtamwona kaja katulia tuli juu ya paa anaangalia nani amekaa "vibaya" amlize "mlio". Siku moja nakumbuka tumerudi home jioni ile tunafungua mlango tu tukapishana nae anatoka rum, tukajua tayari tushaumia. Tumeingia ndani tukakuta kavuruga kila kitu pale ndani kakamua msosi wooote iliyokuwa tule jioni ile na kamalizia kwa kutandaza kinyesi cha kutosha tokea kwenye hifadhi ya unga, sakafuni hadi vitandani. Na siku hiyo kulikuwa na giza totoro hakukuwa na umeme...sitak tena kumkumbuka paka yule..

Paka wa ajabu huyo, kawaida ya paka hanyi ndani ya nyumba, anakunya inje tena anafukua chini kisha anafukia.
 
Back
Top Bottom